Kodo dyako
JF-Expert Member
- Nov 18, 2025
- 318
- 409
Daah ili swali Kuna watu watakupigaSwali ni kwamba, kwanini vimebadilishwa wakati anasema hakuna wa kubadilisha neno lake? Kwanini aliruhusu vitabu vyake vibadikishwe au hana uwezo wa kuvitunza?
Daah ili swali Kuna watu watakupigaSwali ni kwamba, kwanini vimebadilishwa wakati anasema hakuna wa kubadilisha neno lake? Kwanini aliruhusu vitabu vyake vibadikishwe au hana uwezo wa kuvitunza?
QUR’AN NI AYA ZA SHETANI NA MUHAMMADI AWEZI KAMWE KUWA MTUME WALA MTAKATIFU ....SIKU NIKIONYESHA UPUUZI ULIOPO NDANI YA UISLAMU WAISLAMU MTABAKI MIDOMO WAZI ...MUHAMMADI ALIKUWA HAJUI HATA 👉MTUME NI NINI ?
Naona hapa Jehanam inaongea.
Moto unaongea
Quran 50 : 30
"Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?"
Safi sana..sijui dini yenu vizur ila unaelekea kuweza kujibu vizuriKila kitu kina misingi yake ya kuiendea: Hakuna suala linalojadiliwa au kuhukumiwa kwa hisia, dhana binafsi au uelewa wa juu juu; bali kila jambo lina kanuni, misingi, na mbinu zake za kielimu zinazopaswa kufuatwa ili kufikia hitimisho sahihi.
Mtu akisema: " Mungu anasema hakuna wa kubadilisha neno lake unataka mtu akutafsirie?"
Unachotakiwa kufahamu tafsiri ya Qur'an ina misingi. Qur'an haikuwa kama kitabu ambacho kama unakiona sasa hivi kuwa kimeshakamilika basi kila mtu anasoma.
Kila aya kila sura ilishuka kwa sababu yake kulingana na matukio husika wakati wa Mtume. Hivyo, moja ya misingi ya kuijua aya ina maana gani ni lazima ujue sababu za hiyo aya kushuka (asbab an-nuzul).
Ikiwa kama wewe utatafsiri kwa kutumia uelewa wako pasipo kutumia misingi ya kitu husika fahamu ya kwamba kila mtu atakuwa na dini yake, bali haitokuwa dini moja tena, yaani ya uislamu.
Na kwa namna hiyo, ukiwa unataka kuielewa aya inakubidi urejelee kwenye vyanzo vya tafsiri. Mbali na hapo ufahamu wako utaangukia kama ufahamu waliyokuwa nao magaidi kwa sababu waliruhusu kutafsiri aya kwa kutumia uelewa wao wenyewe.
Kwa msingi huo, maadamu unauhoji uislamu, basi itakuwa ni busara ukafuatisha misingi yake ya kielemu (ya kiislamu) ipoje.
Quran ni kitabu cha shetani, kimeandikwa hapo Al Azhar University 1924
Chuo chenye mizizi ya freemason na ashashin (assassin)
Quran ni kitabu cha shetani mwenyewe ili kumpinga Mungu muumbaji
kwanza kasome biblia yako inasema nini ??
- Punda alinena
- Hesabu 22:28
Mungu alimfanya punda wa Balaamu azungumze kwa sauti ya kibinadamu na kumlaumu bwana wake.
Huyu hakuwa binadamu wala malaika, bali mnyama.- Damu ya Abeli “ilinena”
- Mwanzo 4:10
Mungu anamwambia Kaini: “Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka ardhini.”
Damu inaelezwa kana kwamba inapaza sauti ya ushahidi.- Mawe yanaweza kupaza sauti
- Luka 19:40
Yesu alisema: “Hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele.”
Vitu visivyo na uhai vinaweza kunena kwa amri ya Mungu.- Mbingu na nchi zinaitwa kuwa mashahidi
- Kumbukumbu la Torati 32:1
Musa anaziita mbingu na nchi zisikilize maneno yake.
Zinaonyeshwa kama viumbe vinavyoweza kuelewa na kutoa ushahidi.
- Hekima inazungumza
- Mithali 8:1–4
Hekima inaelezewa ikinena na kuita watu.
Hii ni lugha ya picha, lakini bado ni mfano wa kitu kisicho binadamu kinachozungumza.- Uumbaji unatoa ushahidi
- Warumi 8:22
Uumbaji wote unaelezewa kuwa “unalalamika na kuugua”.
Lugha ya kuonyesha hali ya viumbe mbele ya Mungu.
Viumbe hai na visivyo hai wanaweza wakapewa uwezo wa kuongea.
Sina shaka kwenye hilo.
" kijiti kiliwaka moto na Kuongea"
Ila jehanamu inaongeaje?.
Qur’an 18:86
“Mpaka alipofika mahali linapozama jua, aliliona linazama katika chemchemi ya matope meusi"
Kristo ni kiumbe gani hicho kinachopingwa ??Allah ni mpinga kristo
Mazinge ni kiongozi wa nini🤣🤣🤣🤣Eti mazinge aliulizwa kwa nini Muhammad alioa mtoto mdogo wa miaka 6?
Akajibu,
"Kama wazazi wake walikubali mtoto wao aolewe wewe ni nani upinge?"
Baada ya kusikia jibu hilo nikajithibitishia kwamba kama kiongozi anaongea hivi ni dhahili kwamba hii dini imejaa wajinga tu.
Ile jahannam inaongeaje ? , uko kwa ujinga wa kutafuta ubishi tu, sio kujifunza , yaani Ile jahannam inaongeaje?imeandikwa wapi jehannam inaongea ??
Halafu hapo hapo umechomeka aya ya Suratul kahf aya ya 86. ' sasa iweje ??
Hivi mumeishiwa hoja , hiyo aya kuna thread muliileta tukaichambua kwa urefu , sasa hamna cha kuuliza mumeileta tena
Kwanza hujakubali makosa yako, unakuja tena kwa ubishi , kwani vijiti kwenye biblia vinaongea ?? au punda anaongea ?? Na ile aya uliyoileta ya suratul Kahf inahusianaje na swali lako ??Jibu bila jazba.
Quran 50 : 30
"Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?"
Kwahiyo Jehanam inaongea.
Kristo ni Yesu aliyekufa msalabani Kisha akafufuka baada ya siku Tatu.. na hadi leo mimi na wewe tunamjua, Muhammad hajawahi kufufuka na yeye a anasubiri hukumu siku ya mwisho.Kristo ni kiumbe gani hicho kinachopingwa ??
We jamaa unasema Muhammad amewazidi Mitume wengine kutekeleza wahyi wake nimekuuliza je hao Mitume waliuona huo wahyi wa Muhammad hadi sasa hujajibu unabaki kujisifia bure tu🤣🤣🤣JANA KAJA NA DHANA MPYA YA 👉 MUHAMMAD NI WAKWANZA KWA KUUTII WAHY KIKAMILIFU 😁 👉 hii dhana inapingana na mashekh wote tz walio jibu ilo swali...pia inapingana kilogic kwa sababu maana ya kutii wahy kikamilifu ni kumcha mungu kwa kiwango cha juu na kumcha mungu kwa kiwango cha juu maana yake ni kuyatii maneno ya Mungu kwa ukamilifu zaidi na hayo maneno ya Mungu ndiyo WAHY, sasa kama ni hivyo basi kusema....maana ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye uma wake ime BATILIKA kwa maana hizo hapo juu ulitakiwa iwe kuwa muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye NYUMA ZOTE.
Tuambie nini cha ajabu hapo😃Naona hapa Jehanam inaongea.
Moto unaongea
Quran 50 : 30
"Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?"
Umeshasema viumbe visivyo hai vinaweza kupewa uwezo wa kuongea halafu unashangaa kuongea kwa Jahannam🤣🤣🤣Viumbe hai na visivyo hai wanaweza wakapewa uwezo wa kuongea.
Sina shaka kwenye hilo.
" kijiti kiliwaka moto na Kuongea"
Ila jehanamu inaongeaje?.
Qur’an 18:86
“Mpaka alipofika mahali linapozama jua, aliliona linazama katika chemchemi ya matope meusi"
Kristo ni Yesu aliyekufa msalabani Kisha akafufuka baada ya siku Tatu.. na hadi leo mimi na wewe tunamjua, Muhammad hajawahi kufufuka na yeye a anasubiri hukumu siku ya mwisho.
Hivyo hakuna aliye juu ya Yesu, Yesu kristo alishinda yote, amepewa mamlaka yote ya dunia hii pamoja na huko mbinguni, wewe huwezi kuelewa maana tayari ni mtu wa dini, Yesu hakuja kwa ajili yenu ninyi mnaoabudu msichokijua, Yesu alikuja kwa ajili ya wenye shida, matatizo na magonjwa na wenye dhambi ili wapate kuamini na kuokoka, damu yake imesimama kama ushahidi mbele za Mungu, sisi hatuitaji tena kutoa kafara ya mbuzi au ng'ombe kama sadaka, wewe mtu wa dini endelea na dini yako, lakini ukitaka kuofahamu kweli basi utaijua na hiyo kweli itakuweka huru, na kweli ni YESU mwenyewe, kwa kudhibitisha hilo, hakuna nabii wala mtume ambaye hakuwa myahudi, ni huyu mudi tuu na hakuandikwa popote, maana kwanza siyo myahudi ni mwarabu, Mungu mwenyewe hakuweka agano nje ya Uyahudi, sasa kwanini uendelee kushikilia dini isiyo na pumzi ya Mungu?? Yesu hakuleta dini, Muhammad alileta dini,
We jamaa unachekesha sasa si umesema unaamini viumbe visivyo hai vinaweza kuongea sasa kwa nini unashangaa kuongea kwa Jahannam🤣🤣🤣Jibu bila jazba.
Imeandikwa hapa kuwa Jehanamu inaongea
Quran 50 : 30
"Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?"
Ndio nikahoji kivip yaan .
Kwanza hujakubali makosa yako, unakuja tena kwa ubishi , kwani vijiti kwenye biblia vinaongea ?? au punda anaongea ?? Na ile aya uliyoileta ya suratul Kahf inahusianaje na swali lako ??