“Waliandika baadhi ya maneno ya Taurat na Injil kisha wategeeze kuwa ni wahyi, na kusahau sehemu za yale waliyopokea.”
(Abu Dawood 3625, Tirmidhi 2642)
“Wayahudi na Manaswara walipotosha maneno ya Allah katika Taurat na Injil kwa kuwa walitaka kufuata tamaa zao.”
(Muslim, Kitabu 4, Hadith 2061)
Kwanini Hafs Quran imepigwa marufuku Tunisia, Morocco na Libya? Pia kwanini huwezi kuingia na Qaloon Quran nchini Saudi Arabia kama Quran zote ni sawa?Hizo Qur’an zote zina maudhui sawa ila utofauti ni namna ya kusoma tu🤣🤣🤣🤣
Nimekuuliza hivyo vitabu vya Allah vilivyosemwa vimepotoshwa wewe unahisi ni vipi?Abu Dawood 3625 haingolei maandiko ya wakristo na wayahudi kuchakachuliwa
Imetuhadithia Abdulazizi bin Yahya Abu al-Asbagh,
akanihadithia Muhammad – yaani Ibn Salamah – kutoka kwa Muhammad bin Ishaq,
kutoka kwa az-Zuhri, kwa hadithi hii na kwa sanad yake.
Akasema: Nimehadithiwa na mtu mmoja kutoka kabila la Muzaynah, ambaye alikuwa mfuasi wa elimu na akaihifadhi vizuri,
ambaye alikuwa akihadithia Sa'id bin al-Musayyib,
na akaeleza hadithi kwa maana yake.
Hii ni sehemu ya sanad pekee (bila matn ya hadithi yenyewe), ambayo inaonyesha jinsi wataalamu wa hadithi walivyopitisha taarifa kwa uangalifu. Ikiwa unahitaji tafsiri ya hadithi nzima (ikiwa una matn yake) au maelezo zaidi, nijulishe!
Tirmidhi 2642
Imesimuliwa na Abdullah bin Amr (radhi za Mwenyezi Mungu zimshukie):
Kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (صلى الله عليه وسلم) alisema:
"Hakika Mwenyezi Mungu, Mtukufu na Mtukuzwa, Aliumba viumbe Vyake katika giza, kisha Akawatupia Nuru Yake, hivyo yeyote aliyeguswa na nuru hiyo ameongoka (amehifadhiwa), na yeyote asiyeguswa nayo amepotea (amepotea njia). Kwa sababu hii ndiyo ninayosema kwamba kalamu (kalamu za takdiri) zimekauka kwa ujuzi wa Mwenyezi Mungu."
Hata hii hadithi ya pili nayo haiongelei ishi ya Injlli na Torati kuchakachuliwa. Naomba kuanzia leo uache kusambaza huu uonge ambao Quran na hadithi zenu haisapoti.
Wewe ni muongo hizo Qira’at zote za Qur'an ni halali katika nchi zote isipokuwa kila nchi hapo ina Qira’at yake rasmi kwa ajili ya kufundishia katika Madrasa zao na sio kwamba eti nyingine zimepigwa marufukuKwanini Hat
Kwanini Hafs Quran imepigwa marufuku Tunisia, Morocco na Libya? Pia kwanini huwezi kuingia na Qaloon Quran nchini Saudi Arabia kama Quran zote ni sawa?
Wewe ni muongo hizo Qira’at zote za Qur'an ni halali katika nchi zote isipokuwa kila nchi hapo ina Qira’at yake rasmi kwa ajili ya kufundishia katika Madrasa zao na sio kwamba eti nyingine zimepigwa marufuku
Ndio nimekwambia kila nchi hapo ina standard Qira’at yake au Qira’at rasmi ya kufundishwa katika mashule yao lakini haimaanishi eti watu wa nchi hizo hawaruhusiwi kusoma Qira’at nyingine
Soma hiyo na uache kuniita muongo.
Morocco hairuhusu Hafs Quran chief,kama zinafanana kila kitu kwa nini imepigwa marufuku?Ndio nimekwambia kila nchi hapo ina standard Qira’at yake au Qira’at rasmi ya kufundishwa katika mashule yao lakini haimaanishi eti watu wa nchi hizo hawaruhusiwi kusoma Qira’at nyingine
Hakuna tofauti yoyote ya kimaudhui katika Qira’at za Qur'an isipokuwa ni mtindo wa usomaji tuMorocco hairuhusu Hafs Quran chief,kama zinafanana kila kitu kwa nini imepigwa marufuku?
Na Saudi Arabia wanaruhusu Qira’at zote zitumike kisheria isipokuwa Hafs ndio Qira’at rasmi ya nchiMorocco hairuhusu Hafs Quran chief,kama zinafanana kila kitu kwa nini imepigwa marufuku?
Hili swali nimeuliza Hadi misikitini wamekosa majibuKwanini Hat
Kwanini Hafs Quran imepigwa marufuku Tunisia, Morocco na Libya? Pia kwanini huwezi kuingia na Qaloon Quran nchini Saudi Arabia kama Quran zote ni sawa?
Mantiki yake nini maono hayo ...maana kila maono yana sababu zake ..ikowapi fasiri ya kuzama kwa jua topeni..pia msahafu na mudi boy anadai milima ipo kushikilia dunia isipeperushwe na kuondoka ilipo ..yaani kama umeweka mawe juu ya mkeka kuzuia usipeperushwe 😁😁Hapo ilikuwa inasimulia story ya Dhul Qarnayn na jinsi alivyoona sasa kukanusha kwa nini
Tuendelee kuwagawia NONDO tu mkuu.Hili swali nimeuliza Hadi misikitini wamekosa majibu
Hii mada niliionaga kwako ,aisee niliipeleka kwa waislamu wengi ,imewafungua sana uelewa
Hakika elimu ni Pana sana
Sijasema ndoto nielewe vizuri nimesema uono sio maonoMantiki yake nini maono hayo ...maana kila maono yana sababu zake ..ikowapi fasiri ya kuzama kwa jua topeni..pia msahafu na mufi boy anadai milims ipo kushikilia dunia isipeperushwe na kuondoka ilipo ..yaani kama umeweka mawe juu ya mkeka kuzuia usipeperushwe 😁😁
Sijasema ndoto nielewe vizuri nimesema uono sio maonoMantiki yake nini maono hayo ...maana kila maono yana sababu zake ..ikowapi fasiri ya kuzama kwa jua topeni..pia msahafu na mufi boy anadai milims ipo kushikilia dunia isipeperushwe na kuondoka ilipo ..yaani kama umeweka mawe juu ya mkeka kuzuia usipeperushwe 😁😁
Tuambie kwa nini Biblia inamtaja mtawala wa kipindi cha Yusuf kama farao wakati kipindi hicho hakukuwa na cheo cha ufarao na wewe mwenyewe umekiriHili swali nimeuliza Hadi misikitini wamekosa majibu
Hii mada niliionaga kwako ,aisee niliipeleka kwa waislamu wengi ,imewafungua sana uelewa
Hakika elimu ni Pana sana
Kwa hiyo milima inazuia ardhi kuyumba 😁😁😁😁 sasa tofauti na nilicho andika ni matukio tu ..bali msingi wa hoja upo vile vile ..kuhusu farao leta hoja vizuri siyo mimi uliye kuwa unajadiliana yaye mada ya farao .. usinisingizie ..leta mada nikujibu ..Sijasema ndoto nielewe vizuri nimesema uono sio maono
Qur’an imesema imewekwa milima ili ardhi isiyumbe bali iwe stable wewe unasema habari za kupeperuka🤣🤣
Sasa unatolea mfano wa jiwe juu ya mkeka kwani milima ipo tu juu ya ardhi au imeingia kwa chini kwa mizizi yake au wewe ndo hufahamu kitu
Tuambie kwa nini Biblia inamtaja mtawala wa kipindi cha Yusuf kama farao wakati kipindi hicho hakukuwa na cheo cha ufarao na wewe mwenyewe umekiri
Lwiva
Hiyo mada ya farao achana nayo hutakuwa huielewi maana ulipaswa ujue kwanza historia inasemaje kuhusu mtawala wa Misri kipindi cha Nabii YusufKwa hiyo milima inazuia ardhi kuyumba 😁😁😁😁 sasa tofauti na nilicho andika ni matukio tu ..bali msingi wa hoja upo vile vile ..kuhusu farao leta hoja vizuri siyo mimi uliye kuwa unajadiliana yaye mada ya farao .. usinisingizie ..leta mada nikujibu ..
Kwa hiyo Injili, Torati na Zaburi ni maneno ya nani?Naam bila shaka kabisa, ili oune hilo, tuletee matini ya Injili ya Yesu, matini ya Taurati ya Musa na kadhalika tuletee matini ya Zaburi ya Daudi kama ilivyo matini ya Qur'an.
Hii ndio maana ya kuilinda, bali Allah ameilinda Qur'an kuanzia matini mpaka maana za aya.
Kiongozi,Kwani Manabii walipopewa hayo maandiko walikuwa wanakaa nayo chumbani kiasi kwamba watu wengine wasiyapate?