Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,677
- 18,561
Sijavamia Mada:Naona umevamia mada usiyoielewa🤣🤣🤣
Hapo la muhimu ni kuwa vimechakachukuliwa kwa kuwa umekubali hilo basi ni vizuri haijalishi tumeshindwa kuvitunza au laSijavamia Mada:
Mada inasema:
"Kati ya Allah na Waislamu nani Muongo"?
Mimi najibu Waongo Waislamu:
Kwakuwa Allah amesema kawapa vitabu vyake vya Torati, Zaburi na Injiri.
Tukiwauliza viko wapi na katika hali gani ?
Mnajibu kuwa "Mayahudi wamevichakachua na vingine wamevipoteza"
Mi ndio nawauliza, Allah alimkabidhi nani vivyo vitabu?
Mnajibu aliwakabidhi Manabii na Waumini wa Kiislamu:
Sasa inakuwaje mnawalaumu watu ambao Allah hakuwakabidhi hivyo vitabu vyenu?
Mbona hamkubali kuwa mmeshindwa kuvitunza vitabu vya Allah mlivyokabidhiwa?
Allah kasema ukweli ila nyinyi Waislamu ni
Waongo sana:
Tito (Tit) 1:12
Mtu wa kwao, nabii wao wenyewe, amesema, Wakrete ni waongo siku zote, hayawani wabaya, walafi wavivu.
Asalamalekum 🙂🙂🙂
Kwa Mujibu wa Waislamu na Qurani yao:Hapo la muhimu ni kuwa vimechakachukuliwa kwa kuwa umekubali hilo basi ni vizuri haijalishi tumeshindwa kuvitunza au la
SawaKwa Mujibu wa Waislamu na Qurani yao:
Mimi sijakubali popote hiyo hoja yenu:
Hivi ukikutana na Anti Baraka wakakuambia ama uwe Mkristo wakubatize au upigwe risasi wakuue, utachagua nini Shehe,Sawa
Mimi hao Anti Baraka siwafahamu ila nikikutana na watu ambao watanipa options hizo nitajaribu kujilinda ili niepukane na hatari yao kwa maana nitajitahidi kadri ya uwezo wangu ili nijilindeHivi ukikutana na Anti Baraka wakakuambia ama uwe Mkristo wakubatize au upigwe risasi wakuue, utachagua nini Shehe,
Al-mukheef
Umedanganywa bro Allah ana Majina 99Tenganisha Mungu na Allah. Kwanza wanaomfuata Allah, wanakuambia Allah hana jina jingine zaidi ya Allah. Allah siyo Mungu, na Mungusiyo Allah.
Hapo wala haijatajwa habari ya uongo hapo imetajwa habari za vitimbi au njama kwamba ukipanga vitimbi dhidi Yake na Yeye pia anapanga vitimbi dhidi yakoKwenye kumtafuta mwongo, hata kama waislam wakiwa waongo, Quran inasema hawawezi kumzidi Allah.
Quran 3:54
Allah is the best deceiver.
Hivyo ni visomo na tunasomeshwa na vina julikana, bali Qur'an imesomwa kwa visomo hivyo tangu Mtume yuko hai, ndio maana vimedhibitiwa.
Ni maneno ya Allah ambayo kwa sasa hayapo.Kwa hiyo Injili, Torati na Zaburi ni maneno ya nani?
Hivyo ni visomo na tunasomeshwa na vina julikana, vali Qur'an imesomwa kwa visomo hivyo tangu Mtume yuko hai, ndio maana vimedhibitiwa.
Sasa usichanganye visomo (Viraa) na Qur'an kuwa tofauti. Shida yenu huwa hamsomi mnayachukua mambo mitandaoni na kuyatapanya.
Anajua Allah yalipo, ila kwa sasa hakuna aliyenayo.Yameenda wapi
Siku nyingine uache kuandika vitu ambavyo hauna Elimu navyo. Ona unashindwa hata kukitetea ulichokiweka unaweka vibonzo.
Injili zilizo potoshwa kimaandishi na kimaneno zipo ila siyo hizi injili zilizo andikwa na mitume wa yesu ...zile zimenyoka kabisa ...zinaonekana zimepinda kwa watu dhaifu akilini ...ushahidi ni maswali ya waislamu waliyo kuwa wana hoji hapa jf kuhusu injili ....Katika kipindi cha Mtume Isa Injili haikuwa kwenye mfumo wa kitabu bali ilihifadhiwa kichwani na baadae ndipo watu walianza kuandika na hapo ndipo palipoanza upotoshaji
Na kwenye Taurat pia ilihifadhiwa kichwani isipokuwa amri au maagizo yaliyokuwepo kwenye mbao maalum ndio zilikuwa kwa maandishi
Wewe ndiye ambaye unaleta maelezo bila kuwa na ushahidiInjili zilizo potoshwa kimaandishi na kimaneno zipo ila siyo hizi njili zilizo andikwa na mitume wa yesu ...zile zimenyoka kabisa ...zinaonekana zimepinda kwa watu dhaifu akilini ...ushahidi ni maswali ya waislamu waliyo kuwa wana hoji hapa jf kuhusu injili ....
FAFANUZI NILIZO ZIELEZA MIMI NDIYO FAFANUZI SAHIHI KWA ASILIMIA 100% hata wewe Al-mukheef siku ukija kuachana na uislamu na kuwa mkristo tumia maelezo yangu kwenye huo ukristo wako usije ruka kinyesi kwa kukimbia uislamu na kukanyaga uhalo kwa kuingia kwenye ukristo ...kumbuka shetani anafanya kazi kwenye dini zote kupotosha hata kwenye fini ya kweli shetani katega mitego ya upotoshaji na uovu.
Hii ndio hoja uliyobakiza
Nimekuelimisha sana wewe mwendawazimu bora hata FaizaFoxy nilipoanza kutoa elimu alikuja moto baadae kagundua shida siyo injili shida ni uelewa wa injili siyo kwa waislamu tu hata wakristo wote injili imewapiga chenga ndiyo maana wengine wanatunga uongo wa Mungu mwenye nafsi 3 na wrngine wanakuja na maswali yasiyo na akili mfano unakuta muislamu anakuambia ..👉kama Yesu ni Mungu mbona alikufa msalabani kwa mujibu wa injili ...ili swali linatokana na kukosa akili ya logic ya kufahamu yote yaliyo tokea msalabani na maneno ya yesu alipokuwa msalabani ...pia muislamu anakuuliza kama yesu ni Mungu mbona msalabali anasema ..BABA MBONA UNANIACHA AU UMENIACHA KISHA AKAKATA ROHO .. SASA WEWE TUMIA FAFANUZI ZANGU UTAONA MAJIBU YA YA HAYO MASWALI.Wewe ndiye ambaye unaleta maelezo bila kuwa na ushahidi
Nimekuelimisha sana wewe mwendawazimu bora hata FaizaFoxy nilipoanza kutoa elimu alikuja moto baadae kagundua shida siyo injili shida ni uelewa wa injili siyo kwa waislamu tu hata wakristo wote injili imewapiga chenga ndiyo maana wengine wanatunga uongo wa Mungu mwenye nafsi 3 na wrngine wanakuja na maswali yasiyo na akili mfano unakuta muislamu anakuambia ..👉kama Yesu ni Mungu mbona alikufa msalabani kwa mujibu wa injili ...ili swali linatokana na kukosa akili ya logic ya kufahamu yote yaliyo tokea msalabani na maneno ya yesu alipokuwa msalabani ...pia muislamu anakuuliza kama yesu ni Mungu mbona msalabali anasema ..BABA MBONA UNANIACHA AU UMENIACHA KISHA AKAKATA ROHO .. SASA WEWE TUMIA FAFANUZI ZANGU UTAONA MAJIBU YA HAYO MASWALI.Wewe ndiye ambaye unaleta maelezo bila kuwa na ushahidi
Wewe achana na dini hiyo ambayo kamungu kake ndiye yule shetani. Maandiko yenu yenyewe yana sema hivyo. Ona hii Sahih al-Bukhari 4983Siku nyingine uache kuandika vitu ambavyo hauna Elimu navyo. Ona unashindwa hata kukitetea ulichokiweka unaweka vibonzo.