Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

6)ushahidi wa kifo upo hata sasa


Kwa nini mwanamke Maria Magdalena alifurahi alipomwona Yesu , akamkumbatia lakini wanafunzi wa Yesu wanaume walishtuka?


Sababu ni kwamba Mariamu aliyaona yote yaliyojiri wakati Yesu aliteswa msalabani. Lakini wanaume hawakuona chochote. Mariamu alikwenda kaburini akijua atamwona Yesu aliye hai.

Lakini wanaume walidhani waliona roho kwa sababu hawakuwa mashahidi wa yote yaliyotokea.


Luka anasema:

"Lakini wakashangaa na kuwa na hofu, wakadhani kuwa waliona roho." (Luka 24:37)


Kwa nini walihofu?

Wanafunzi walidhani Yesu alikufa na kuzikwa. Hawakuwa mashahidi wa kilichotokea, walijua tu kwa maneno ya kusikia . Hivyo walidhani waliona roho, si Yesu aliye hai.


Hata hivyo, Mariamu alikuwa amesikia na kuona yote, kwa hivyo alifurahi kumwona Yesu. Wanaume walishangaa kwa sababu walijua habari za kifo chake tu, hawakuwa mashahidi.


Katika wakati mgumu zaidi wa maisha yake, : wanafunzi wake :
"Wote walimuacha na wakakimbia."
(Marko 14:50)
 
Tumia akili ..Yesu alifufua wafu wengi tu ...kasome hata uislamu unasema hivyo ...kwa hiyo kufufuka kilicho kufa kwa uwezo wa Mungu siyo ajabu
 
Yesu mwenyewe alisema atauliwe sasa unamuamini mudi boy na kubishana ya yesu mwenyewe ...soma yesu kashuhudia mara kadhaa kuwa ana budi kukataliwa na kuuliwa ila siku ya 3 atafufuka.
 
Tumia akili ..Yesu alifufua wafu wengi tu ...kadome hata uislamu unasema hivyo ...kwa hiyo kufufuka kilicho kufa kwa uwezo wa Mungu siyo ajabu
Lete jina la mtu mmoja tu aliyefufuliwa na Yesu na ushahidi wa aya, please
 
Yesu mwenyewe alisema atauliwe sasa unamuamini mudi boy na kubishana ya yesu mwenyewe ...soma yesu kashuhudia mara kadhaa kuwa ana budi kukataliwa na kuuliwa ika siku ya 3 atafufuka
Lete ushahidi wa aya please, sitaki hadithi za wachungaji wako
 
Uongo ..mudi alimaanisha kisayansi na kielimu kuwa milima inashikilia dunia isitingishike....tumia akili ...tena usijaribu kabisa kuj9bu mambo ya uislamu maana nitakuuliza maswali kuhusu Uislamu ambayo utakimbia
 
Uongo ..mudi alimaanisha kisayansi na kielimu kuwa milima inashikilia dunia isitingishike....tumia akili ...tena usijaribu kabisa kuj9bu mambo ya uislamu maana nitakuuliza maswali kuhusu Uislamu ambayo utakimbia
Kwa hivyo hii mistari ya biblia ni sayansi ??

  • 1 Samweli 2:8 – β€œYeye huinua maskini kutoka vumbi, na kuondoa mfukara kutoka kwa vumbi, na kumweka pamoja na wafalme, na kufanya yeye kuwa na viti vya heshima; kwa kuwa nguzo za dunia ni za Bwana, naye ndiye ametupa.”

  • Zaburi 104:5 – β€œAmeweka dunia juu ya misingi yake, wala haiwezi kutikisika milele.”
 
Lete ushahidi wa aya please, sitaki hadithi za wachungaji wako
Kwanza waislamu hamna akili kabisa ...kwa mujibu wa mudi boy ni kwamba mtu aliye kamatwa na kushitakiwa akuwa Yesu ..sasa swali mbona hadi majibizano baina ya Yesu na Pilato na Herode yana shuhudia kuwa ni Yesu ...hivi angekuwa siyo asinge lia mbele ya Herode na Pilato kulilia msamaha na kusema siyo yeye ...hivi wewe ukamatwe ukizaniwa ni tundu lissu arafu usikanushe kwa nguvu zote kuwa wewe siyo lissu ....hivi waislamu mudi boy kawalogeni akili au ni kitu gani ? Jiulizeni ? Huyo mtu aliye fananishwa na Yesu ilikuwaje alipo kuwa mahakamani nini alijitetea ...siyo mudi anakuambini tu ..alifananishwa basi na nyinyi mnakubali kama maanithi wa akili .
 
Leo hii waislamu mnakanusha sayansi na tekinolojia ndani ya msahafu 😁😁😁😁😁 huwa manajinadi sana kuwa hayo mambo ni sayansi kubwa sana ndani ya uislamu 😁😁 ...soma kuhusu milimq huone tofauti na hayo uliyo andika ....mudi hakuwa anakusudia fumbo na kama ni fumbo au mashahiri basi elezea maana ya fumbo au mashairi ya milima kuwa kishikio cha dunia isitingishike..maana yake nini
 

Ndiyo umeleta aya ???
 

Jibu swali usipaparike:

Kwa hivyo hii mistari ya biblia ni sayansi ??


  • 1 Samweli 2:8 – β€œYeye huinua maskini kutoka vumbi, na kuondoa mfukara kutoka kwa vumbi, na kumweka pamoja na wafalme, na kufanya yeye kuwa na viti vya heshima; kwa kuwa nguzo za dunia ni za Bwana, naye ndiye ametupa.”

  • Zaburi 104:5 – β€œAmeweka dunia juu ya misingi yake, wala haiwezi kutikisika milele.”
 


PLEASE

Lete jina la mtu mmoja tu aliyefufuliwa na Yesu na ushahidi wa aya, please
 
Soma soma somq au hujui kudownload biblia simuni πŸ€”
Ndiyo aya umeleta kuthibitisha maneno yako ?? Ndani ya biblia mna maelfu ya aya mkuu , hujathibitisha maneno yako
 
Ni yeye ametaka vipotee.
Kwa hiyo waliovipoteza na kuandika vingine ambavyo sio vya Mungu hawana makosa kwa sababu wametimiza lengo la Mungu la kuvipoteza vitabu halisi au sio mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…