Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Wewe makende brain umeandika nini hapa?
Hebu rudia kusoma huu upupu wako
 
Mkuu hawa Waislamu yaani ni shida tupu, hata ukimuonyesha fact ambayo ni historically or scientifically proven, hawezi kubali kile amekaririshwa katika Quran yao; nadhani fate yao ni implosion from within like what is happening in Iran au anachowafanyia Saudi Crown Prince Mohamed Bin Salman.
Mfano hata ukiwaambia kuoa katoto kadogo kama alivyofanya paedophile Muhammad ni ubakaji, wao watabisha. Ona hii picture
 

Bro Clever505 nadhan unajua Quran imesetiwa kijanja . Na kuna mitego imejaribu kuikwepa hasa visa walizozichukua kwa Biblia.

1. kwanza kwa kutengeneza story nyingne au kuacha visa vingne au kuweka maneno mengne ambayo hayakuwepo awali kwenye visa husika.

Katika visa vya mitume na manabii . Quran ina visa 14 vya manabii waliokuwepo kwenye vitabu vya Biblia na ambao ni wayahudi Na visa 4 vya manabii wa Kiarabu ( angalia ratio hapa).
- Jiulize Je Jibril ndio alimuahidhia mtume hivyo visa vya manabii na mitume wa Israel? .

Kumbuka aya zote za Quran zilishuka kwa siku moja . Usiku mmoja wa mwez wa Ramadhani. Allah alishuka Quran mpaka mbingu ya 1 na hizo aya Jibril alitumia miaka 23 kumsomea mohamed kwenye ndoto (maana face to face alimtokea mara 2 tu) hadi kukamilika na mtume akawa anawahadithia maswahaba kidogo kidogo waandike kwenye magome ya miti na wengne watunze kwa kukariri.

Does this make sense?...

2. Baada ya miaka 600+ mtu ndio aje aseme vitabu vimechakachuliwa . Mtu ambaye hajui kusoma wala kuandika.

Je ? Tuamini kuwa Yesu alizaliwa chini ya mtende (quran) au zizin kwa ngombe (biblia).

3. Quran na waislam wanajinasibu sana na Wakristo/Biblia .
Alaf wanasema wakristo wamepotea na wamfuate Mohamed . Why bother na dini ya watu wengne?. Kama wamepotea si uwaache.

Eti wao wanamjua Yesu zaid ya kwakristo.
 
Wanazuoni wenye kufahamu kuliko wewe wametoa maelezo na maelezo yao ni sahihi kabisa maana ufahamu wao kuhusiana na dini ni mkubwa

Wewe tafsiri unayolazimisha baki nayo itakusaidia kwenye harakati zako
Harakati zipi mkuu?😂😂 Kwani ufahamu si ni kujifunza tu au kuna watu wanazaliwa wakiwa wanajua mambo? Wanazuoni hawana cha ziada cha kukuzidi zaidi ya yale waliyojifunza. Kwa hiyo na wewe ukiongeza juhudi kwenye kufatilia mambo unakuwa na ufahamu unaolingana na hao wanazuoni.
 
Wewe makende brain umeandika nini hapa?
Hebu rudia kusoma huu upupu wako
Wenzako wote wameelewa, we mtoto mdogo kichwa ngumu Kaa pembeni haya mambo hayakufai
 
Eti mazinge aliulizwa kwa nini Muhammad alioa mtoto mdogo wa miaka 6?
Akajibu,
"Kama wazazi wake walikubali mtoto wao aolewe wewe ni nani upinge?"
Baada ya kusikia jibu hilo nikajithibitishia kwamba kama kiongozi anaongea hivi ni dhahili kwamba hii dini imejaa wajinga tu.
 
Wote ni waongo. Maana, allah alitengenezwa na akina Muhamad sawa na Yesu alivyotengenezwa na wazungu.
 
Ni jambo la kushangaza zaidi tuache kuwaamini watu waliokuwepo kipindi cha matukio yenyewe tumuamini mudi ambaye amekuja Karne kibao baada ya Yesu.!
Mitume wenzake walikuja na habari za kufanana na hawakupingana ila ye anakuja anajifanya anajua zaidi kuliko wenzie. Halafu unamkuta muislam anasema Muhammad ndo mbora wa viumbe. Ni ajabu hii.
Quran ni kitabu ambacho hata ukikisoma mara moja unagundua sio maneno ya Mungu. Kimejaa stori za kitoto sana.
Kuwa muislam inabidi kichwani uwe na matatizo ya ubongo.
 
Wote ni waongo. Maana, allah alitengenezwa na akina Muhamad sawa na Yesu alivyotengenezwa na wazungu.
😂😂 Nakubaliana na wewe kwamba Muhammad na washkaji zake ndo walimtengeneza Allah.
Hapo unaposema Yesu katengenezwa na wazungu, nielekeze vizuri nikuelewe
 
😂😂 Nakubaliana na wewe kwamba Muhammad na washkaji zake ndo walimtengeneza Allah.
Hapo unaposema Yesu katengenezwa na wazungu, nielekeze vizuri nikuelewe
Ukitaka kujua wote wametengenezwa, jiullize. Ni kitu gani kipya walileta ambacho waswahili hatukuwa nacho? Ni pm kwenye box nikutumie bonge la book ya mchizani mmoja ambaye huwa namkubali juu ya mambo haya. Ila kimeandikwa kwa kimombo.
 
Qur'an yenyewe zilikuwa tano. Zikachomwa nne ikabaki moja. Kingine hiyo Qur'an yenyewe inawaambia waislam kama kuna mambo wasiyoyaelewa wawaulize manasara yaan wakristo au wayahud. Sasa unawaulizaje watu ambao ushasema wamechakachua kitabu chao?
 
Quran imekuja mwisho baada ya zaburi,taurati na injili walizopewa waisrael.baada ya kuona huo uharibifu akaja na huo muhuri wa Quran usiweza kugeuzwa
 
Nukuu yako ya Qur'an mbona inaongelea habari za Qur'an hapo biblia inaingiaje? Kwanza Mungu hawezi kuwa na akili mbovu kiasi hicho atoe vitabu vitakatifu viwili tofauti vinavyopingana kwa jambo lilelile. Nyie waislam achaneni na biblia haiwahusu wala qur'an haiwahusu wakristo. Hivyo vitabu viwili havinaconnection.
Mtu unaulizwa habari za yesu unaenda kunukuu qur'an au unaulizwa habari za Mtume Mohamad unaenda kunukuu Biblia hiyo ni akili mbovu.
 
Quran imekuja mwisho baada ya zaburi,taurati na injili walizopewa waisrael.baada ya kuona huo uharibifu akaja na huo muhuri wa Quran usiweza kugeuzwa
Acha kuchanganya vitu tofauti. Biblia ni mkusanyiko wa vitabu, iliandikwa na binadamu kutokana na mapokeo na shuhuda mbalimbali haikushushwa. Quran mnasema ilishushwa. Hivyo vitabu havina uhusiano. Kujaribu kuviunganisha ni akili mbovu. Mungu hawezi kuwa na ujinga huo wa kujipinga mwenyewe, hivyo quran sio mwendelezo wala marekebisho ya zaburi au torati.
 
QUR’AN NI AYA ZA SHETANI NA MUHAMMADI AWEZI KAMWE KUWA MTUME WALA MTAKATIFU ....SIKU NIKIONYESHA UPUUZI ULIOPO NDANI YA UISLAMU WAISLAMU MTABAKI MIDOMO WAZI ...MUHAMMADI ALIKUWA HAJUI HATA 👉MTUME NI NINI ?
 
soma Biblia yako vizuri wewe .
Luka 1-3
kwa Taafifa Luka ni mganga wa kienyeji
 
QUR’AN NI AYA ZA SHETANI NA MUHAMMADI AWEZI KAMWE KUWA MTUME WALA MTAKATIFU ....SIKU NIKIONYESHA UPUUZI ULIOPO NDANI YA UISLAMU WAISLAMU MTABAKI MIDOMO WAZI ...MUHAMMADI ALIKUWA HAJUI HATA [emoji117]MTUME NI NINI ?
Umeishia hoja umeanza kuonyesha hasira na chuki huwezi kudhibitisha maneno yako zaidi ya kuongozwa na mihemuko ya chiki dhidi ya Uislamu.
 
Umeishia hoja umeanza kuonyesha hasira na chuki huwezi kudhibitisha maneno yako zaidi ya kuongozwa na mihemuko ya chiki dhidi ya Uislamu.
Mwezako Al-mukheef jana alikuwa ana angaika kutafuta jibu la VIPI MUHAMMAD NI MUISLAMU WA KWANZA 😁😁😁 KILA HOJA ANAYO TUNGA NA DHANA MPYA ANAYO KUJANAYO INABUMA KILOGIC ...NA MIMI NDIYO MZEE WA LOGIC ...JANA KAJA NA DHANA MPYA YA 👉 MUHAMMAD NI WA KWANZA KWA KUUTII WAHY KIKAMILIFU 😁 👉 hii dhana inapingana na mashekh wote tz walio jibu ilo swali...pia inapingana kilogic kwa sababu maana ya kutii wahy kikamilifu ni kumcha mungu kwa kiwango cha juu na kumcha mungu kwa kiwango cha juu maana yake ni kuyatii maneno ya Mungu kwa ukamilifu zaidi na hayo maneno ya Mungu ndiyo WAHY, sasa kama ni hivyo basi kusema....maana ya muhammad kuwa muislamu wa kwanza kwenye uma wake ime BATILIKA kwa maana hizo hapo juu ulitakiwa iwe kuwa muhammad ni muislamu wa kwanza kwenye NYUMA ZOTE....kwa sababu uislamu unamtambua muhammad kuwa ni mbora kuliko wanadamu wote ...na uislamu unasema aliye mbora kwa Allah ni yule aliye mcha mungu zaidi ...hoja nyingine kama dhana ni hivo basi bi khadija asinge tajwa kuwa yeye ni wapili kwa sababu bi khadija kazidiwa na maswahaba wa kiume zama za muhammad na kazidiwa na Mariamu mama yake yesu zama za nyuma. adriz FaizaFoxy Malaria 2 Jagina OHB11
 
Umeishia hoja umeanza kuonyesha hasira na chuki huwezi kudhibitisha maneno yako zaidi ya kuongozwa na mihemuko ya chiki dhidi ya Uislamu.

Naona hapa Jehanam inaongea.

Moto unaongea

Quran 50 : 30
"Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…