Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

Naona hapa Jehanam inaongea.

Moto unaongea

Quran 50 : 30
"Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?"

kwanza kasome biblia yako inasema nini ??

  • Punda alinena
    • Hesabu 22:28
      Mungu alimfanya punda wa Balaamu azungumze kwa sauti ya kibinadamu na kumlaumu bwana wake.
      Huyu hakuwa binadamu wala malaika, bali mnyama.
  • Damu ya Abeli “ilinena”
    • Mwanzo 4:10
      Mungu anamwambia Kaini: “Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka ardhini.”
      Damu inaelezwa kana kwamba inapaza sauti ya ushahidi.
  • Mawe yanaweza kupaza sauti
    • Luka 19:40
      Yesu alisema: “Hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele.”
      Vitu visivyo na uhai vinaweza kunena kwa amri ya Mungu.
  • Mbingu na nchi zinaitwa kuwa mashahidi
    • Kumbukumbu la Torati 32:1
      Musa anaziita mbingu na nchi zisikilize maneno yake.
      Zinaonyeshwa kama viumbe vinavyoweza kuelewa na kutoa ushahidi.

  • Hekima inazungumza
    • Mithali 8:1–4
      Hekima inaelezewa ikinena na kuita watu.
      Hii ni lugha ya picha, lakini bado ni mfano wa kitu kisicho binadamu kinachozungumza.
  • Uumbaji unatoa ushahidi
    • Warumi 8:22
      Uumbaji wote unaelezewa kuwa “unalalamika na kuugua”.
      Lugha ya kuonyesha hali ya viumbe mbele ya Mungu.
 
Safi sana..sijui dini yenu vizur ila unaelekea kuweza kujibu vizuri
 
Quran ni kitabu cha shetani, kimeandikwa hapo Al Azhar University 1924

Chuo chenye mizizi ya freemason na ashashin (assassin)

Quran ni kitabu cha shetani mwenyewe ili kumpinga Mungu muumbaji

Hichi kitabu chako ni cha malaika ?? Kimeandikwa Vatikani

 

Viumbe hai na visivyo hai wanaweza wakapewa uwezo wa kuongea.
Sina shaka kwenye hilo.
" kijiti kiliwaka moto na Kuongea"

Ila jehanamu inaongeaje?.

Qur’an 18:86
“Mpaka alipofika mahali linapozama jua, aliliona linazama katika chemchemi ya matope meusi"
 

Ile jahannam inaongeaje ? , uko kwa ujinga wa kutafuta ubishi tu, sio kujifunza , yaani Ile jahannam inaongeaje?imeandikwa wapi jehannam inaongea ??

Halafu hapo hapo umechomeka aya ya Suratul kahf aya ya 86. ' sasa iweje ??

Hivi mumeishiwa hoja , hiyo aya kuna thread muliileta tukaichambua kwa urefu , sasa hamna cha kuuliza mumeileta tena
 
Mazinge ni kiongozi wa nini🤣🤣🤣🤣
 

Jibu bila jazba.

Imeandikwa hapa kuwa Jehanamu inaongea

Quran 50 : 30
"Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?"

Ndio nikahoji kivip yaan .
 
Jibu bila jazba.

Quran 50 : 30
"Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?"

Kwahiyo Jehanam inaongea.
Kwanza hujakubali makosa yako, unakuja tena kwa ubishi , kwani vijiti kwenye biblia vinaongea ?? au punda anaongea ?? Na ile aya uliyoileta ya suratul Kahf inahusianaje na swali lako ??
 
Kristo ni kiumbe gani hicho kinachopingwa ??
Kristo ni Yesu aliyekufa msalabani Kisha akafufuka baada ya siku Tatu.. na hadi leo mimi na wewe tunamjua, Muhammad hajawahi kufufuka na yeye a anasubiri hukumu siku ya mwisho.

Hivyo hakuna aliye juu ya Yesu, Yesu kristo alishinda yote, amepewa mamlaka yote ya dunia hii pamoja na huko mbinguni, wewe huwezi kuelewa maana tayari ni mtu wa dini, Yesu hakuja kwa ajili yenu ninyi mnaoabudu msichokijua, Yesu alikuja kwa ajili ya wenye shida, matatizo na magonjwa na wenye dhambi ili wapate kuamini na kuokoka, damu yake imesimama kama ushahidi mbele za Mungu, sisi hatuitaji tena kutoa kafara ya mbuzi au ng'ombe kama sadaka, wewe mtu wa dini endelea na dini yako, lakini ukitaka kuofahamu kweli basi utaijua na hiyo kweli itakuweka huru, na kweli ni YESU mwenyewe, kwa kudhibitisha hilo, hakuna nabii wala mtume ambaye hakuwa myahudi, ni huyu mudi tuu na hakuandikwa popote, maana kwanza siyo myahudi ni mwarabu, Mungu mwenyewe hakuweka agano nje ya Uyahudi, sasa kwanini uendelee kushikilia dini isiyo na pumzi ya Mungu?? Yesu hakuleta dini, Muhammad alileta dini,
 
We jamaa unasema Muhammad amewazidi Mitume wengine kutekeleza wahyi wake nimekuuliza je hao Mitume waliuona huo wahyi wa Muhammad hadi sasa hujajibu unabaki kujisifia bure tu🤣🤣🤣
 
Umeshasema viumbe visivyo hai vinaweza kupewa uwezo wa kuongea halafu unashangaa kuongea kwa Jahannam🤣🤣🤣
 

Umeipata dictionary lipi kuwa maana ya christo ni yesu aliyekufa ??
 
Jibu bila jazba.

Imeandikwa hapa kuwa Jehanamu inaongea

Quran 50 : 30
"Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada?"

Ndio nikahoji kivip yaan .
We jamaa unachekesha sasa si umesema unaamini viumbe visivyo hai vinaweza kuongea sasa kwa nini unashangaa kuongea kwa Jahannam🤣🤣🤣
 
Kwanza hujakubali makosa yako, unakuja tena kwa ubishi , kwani vijiti kwenye biblia vinaongea ?? au punda anaongea ?? Na ile aya uliyoileta ya suratul Kahf inahusianaje na swali lako ??

Sawa jehanam itaongea kama ilivyo kwa vijiti na Punda.

Aya gan unasemea.
Ni hii ya Binadamu ameubwaje?.

Quran 86 : 5-7
"Hebu naajitazame mwanaadamu ameumbwa kwa kitu gani?
Ameumbwa kwa maji yatokayo kwa kuchupa
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu."
 
Mohamed alikuwa ni hodari wa vita! Yaani hapa africa ni kama shaka zulu! Akawa na tamaa ya kuwa mfalme ndipo akajaribu kufanya mapinduzi yaliyofeli ikabidi akimbilie madina! Ila baada ya tafakuri ya muda mrefu, akang'amua njia ya kuwa na wanajeshi wengi ni kuanzisha dini inayoendana na matakwa ya waarabu wenzie! Ndo maana mudi alikua anatoa ahadi za kipumbavu kwa wajeshi wake! Eti ukifa allah atakupa wanawake virgins 72 ko usiogope! Mara ohh allah anataka watakaoingia peponi wawe hodari so ukiua unakuwa na kibali cha kwenda peponi! Hizi ni mojawapo za ahadi ambazo jamaa aliwaahidi waarabu wenzie na akafanikiwa kuwalaghai mpaka akauteka mecca na kuendelea kutawala sehemu nyinginezo! Mudi akijua kuwa hii dini ambayo ameianzisha ndo silaha yake nambari one, akawa anaieneza kwa nguvu zote kila anapotawala sehemu fulani! Utawala wake ni moja ya falme ambazo zimo kwenye historia ya dunia ambazo zimeonyesha umuhimu wa kuwa na dini moja kama taifa linataka kuendelea! Hata new world order hutumia mifano ya hizi falme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…