Kati ya Wizara ya Fedha na TRA mmoja kadanganya mahesabu kwenye ripoti ya mapato 2022/23

Typing error tuu ila Kuna haters watatumia hii kama kigezo..

Ni vizuri watu wa Serikali wakawa makini kwenye kutunza kumbukumbu..

Ukiingia kwenye tovuti ya TRA utakuta makusanyo ya mwaka 2021/2022 ni tofauti na hayo waliyoonesha kwenye taarifa Yao ya kulinganisha hapo Juu
Na ni vyema Mamlaka Usika kutolea taarifa hili kuepusha mikanganyiko
 
Utapata majibu haya. Hotuba ya Waziri ilikuwa inatoa hesabu hadi April 2023 wakati TRA walitoa hesabu mpaka Mwezi June 2023.

Kwa hiyo 24-18 trillion ni sawa na 6 trillion.
===
Swali la kujiuliza kwa miezi miwili May na June 2023, nchini Tanzania ilifanyika Biashara gani iliyoiwezesha TRA kukusanya trillion 6???

Maelezo na maswali yangu haya nikama assumptions zangu zimepita mule.mule?
 
kwenye Ripoti ya mapato ya TRA ukijumlisha mapato kwa mwezi kuanzia Julai 2022 Hadi Aprili 2023 unapata jumla ya makusanyo ni Trilioni 20.00 na sio Trilioni 18.81 alizosema waziri kulikoni?
 
Maswali yanaongezeka. Sasa kama Hata kujumlisha hawawezi, Kuna tatizo. Vinginevyo, waje mbele waueleze umma msingi wa tofauti za kimahesabu zinazoibuliwa.
 
Yes inatakiwa kupaza sauti hili tupate majibu sahihi
 
Back
Top Bottom