Kati ya Yesu na Muhamad nani ni msaada kwa Waafrika?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao?

Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu?

Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu au Muhamadi wanapungukiwa nini hasa?
 
Yesu ndio msaada, angalia wafuasi wa muhamad walivyo na fujo Afrika, Kuna wafuasi wa muhamad wanaitwa al shabaab, boko haram, kuna wale wapuuzi wanaitwa ADF/IS. Wapi uliona wafuasi wa Yesu wanaua watu?
 
Hao wote ni waafrika au vipi?na je nyie yesu ana msaada gani iwapo mnamakubdi/madhehebu tofauti na mnapingana?
 
Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao?

Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu?

Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu au Muhamadi wanapungukiwa nini hasa?
Mtume mohammed is a disaster all over the world.
 
Yesu ni msaada Kaka, Yule jamaa wa upande wa pili amefundisha kumuua mtu asie mfuasi wa dini yake au achukuliwe kama adui.

"Mpende jirani yako kama unavyojipenda", Tumeagizwa upendo.

Angalia ustaarabu nchi zilizofata njia ya Yesu alafu angalia ustaarabu wa upande wa pili. Na wafuasi wa jamaa wa upande wa pili ndo wanaongoza kukimbilia nchi za wafuasi wa Yesu, Kisha kuwa-Force wafuate sharia! Ilhali kwao wamezikimbia.

NB: Vikundi vya kigaidi africa 90% vinatoka upande wa jamaa yule wa pili.
 
Haha makafiri mnamambo lakn nyinyi ndo wauza siraha wakubwa😄😄😄
 
Hizo zote ni TAKATAKA hazina maana wala msaada kwa muafrika na mtu mweusi yeyote yule, kwanza ktk dini zao na maandiko yao mtu mweusi katengwa as if si chochote au hayupo duniani,

Pili dini zao tangu ziletwe hakuna la maana zimefanya zaidi ya kuchochea ubaguzi, chuki, roho mbaya,wizi, mafundisho ya kitapeli, pia huyo Mungu wao (Yehova/Allah) mbaguzi hana msaada kwa muafrika maana hata iyo injili yake aliileta Afrika kwa njia haramu ya vita na utumwa.

Ukristo na uislamu haukuja kwa amani bali kuharibu na kufisha maisha ya Afrika, Yesu na Muhammad ni siraha za kisaikolojia dhidi ya mtu mweusi, Kiuhalisia kabisa na kihistoria tukifanya utafiti utagundua kuwa hata huyu kiumbe yesu wa kutungwa hawajawai kuwepo zaidi ya copy ya nadharia na hadithi zilizotokea maelfu ya miaka, ukirudi kwa huyu muarabu Muhammad huyu naye ni useless hana msaada wowote zaidi ya kupandikiza chuki kwa hao wanaojiita waislamu dhidi ya wasiofuata dini yao.

Ukristo na uislamu ni siraha ya mwisho ya mkoloni kumtawala mtu mweusi kwa kumuaminisha vitu ambavyo kiuhalisia havipo, havijawai kuwepo na havitawai kuwepo.
 
Yesu ndio msaada, angalia wafuasi wa muhamad walivyo na fujo Afrika, Kuna wafuasi wa muhamad wanaitwa al shabaab, boko haram, kuna wale wapuuzi wanaitwa ADF/IS. Wapi uliona wafuasi wa Yesu wanaua watu?
Yesu na Muhammad tofauti yao ndogo sana, wote hawafai
 
Yesu ni msaada Kaka, Yule jamaa wa upande wa pili amefundisha kumuua mtu asie mfuasi wa dini yake au achukuliwe kama adui.

"Mpende jirani yako kama unavyojipenda", Tumeagizwa upendo.

Angalia ustaarabu nchi zilizofata njia ya Yesu alafu angalia ustaarabu wa upande wa pili. Na wafuasi wa jamaa wa upande wa pili ndo wanaongoza kukimbilia nchi za wafuasi wa Yesu, Kisha kuwa-Force wafuate sharia! Ilhali kwao wamezikimbia.

NB: Vikundi vya kigaidi africa 90% vinatoka upande wa jamaa yule wa pili.
Hizo nchi zote mnazosema zimestaarabika ndizo zilimleta na kumtambulisha yesu kwa muafrika kwa njia haramu ya utumwa, isitoshe hizo nchi pia ndio wafadhiri wa ugaidi ktk nchi zinazomfuata mtume wa uongo Muhammad,

kiufupi dini zote ni uhuni ulioundwa kwa malengo maalumu ,na hili waafrika wakilielewa basi mateso na dhiki tunazopitia zitafika mwisho.

Huwezi kuabudu kiumbe ambacho umeletewa na mgeni ambaye hajui wala kuutambua uhalisia wako, tumeyaharibu maisha yetu kwa kuabudu nje ya ASILI inavyotaka,
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Kama mungu wa warabu na wazungu ana nguvu na anajibu maombi kwanini waumini wa makanisa na misikiti wasimuombe awape stahashada,shahada,ajira,nk kuliko kupoteza muda mashuleni na kulipia fedha nyingi wakati hamna kazi.

Tafakari!
 
Yesu ni msaada Kaka, Yule jamaa wa upande wa pili amefundisha kumuua mtu asie mfuasi wa dini yake au achukuliwe kama adui.

"Mpende jirani yako kama unavyojipenda", Tumeagizwa upendo.

Angalia ustaarabu nchi zilizofata njia ya Yesu alafu angalia ustaarabu wa upande wa pili. Na wafuasi wa jamaa wa upande wa pili ndo wanaongoza kukimbilia nchi za wafuasi wa Yesu, Kisha kuwa-Force wafuate sharia! Ilhali kwao wamezikimbia.

NB: Vikundi vya kigaidi africa 90% vinatoka upande wa jamaa yule wa pili.
Mnataja sana "upendo" mkishafika middle east hiyo vocaburaly hamtaki hata kuisikia wala kuitamka
 
Back
Top Bottom