HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Hao wote ni waafrika au vipi?na je nyie yesu ana msaada gani iwapo mnamakubdi/madhehebu tofauti na mnapingana?Yesu ndio msaada, angalia wafuasi wa muhamad walivyo na fujo Afrika, Kuna wafuasi wa muhamad wanaitwa al shabaab, boko haram, kuna wale wapuuzi wanaitwa ADF/IS. Wapi uliona wafuasi wa Yesu wanaua watu?
Mtume mohammed is a disaster all over the world.Iwapo kuna makundi mawili makubwa ya wafia dini wa Yesu na wa Muhamad je ni kundi lipi ambalo liko sahihi na linapata msaada zaidi ya lingine kutoka kwa kiongozi wao?
Na kwanini kuwe na makundi mawili kwa wafia dini wa kiafrika wakati Mungu ni mmoja tu?
Je makundi ambayo hawako kundi la Yesu au Muhamadi wanapungukiwa nini hasa?
Haha makafiri mnamambo lakn nyinyi ndo wauza siraha wakubwa😄😄😄Yesu ni msaada Kaka, Yule jamaa wa upande wa pili amefundisha kumuua mtu asie mfuasi wa dini yake au achukuliwe kama adui.
"Mpende jirani yako kama unavyojipenda", Tumeagizwa upendo.
Angalia ustaarabu nchi zilizofata njia ya Yesu alafu angalia ustaarabu wa upande wa pili. Na wafuasi wa jamaa wa upande wa pili ndo wanaongoza kukimbilia nchi za wafuasi wa Yesu, Kisha kuwa-Force wafuate sharia! Ilhali kwao wamezikimbia.
NB: Vikundi vya kigaidi africa 90% vinatoka upande wa jamaa yule wa pili.
Yesu na Muhammad tofauti yao ndogo sana, wote hawafaiYesu ndio msaada, angalia wafuasi wa muhamad walivyo na fujo Afrika, Kuna wafuasi wa muhamad wanaitwa al shabaab, boko haram, kuna wale wapuuzi wanaitwa ADF/IS. Wapi uliona wafuasi wa Yesu wanaua watu?
Hizo nchi zote mnazosema zimestaarabika ndizo zilimleta na kumtambulisha yesu kwa muafrika kwa njia haramu ya utumwa, isitoshe hizo nchi pia ndio wafadhiri wa ugaidi ktk nchi zinazomfuata mtume wa uongo Muhammad,Yesu ni msaada Kaka, Yule jamaa wa upande wa pili amefundisha kumuua mtu asie mfuasi wa dini yake au achukuliwe kama adui.
"Mpende jirani yako kama unavyojipenda", Tumeagizwa upendo.
Angalia ustaarabu nchi zilizofata njia ya Yesu alafu angalia ustaarabu wa upande wa pili. Na wafuasi wa jamaa wa upande wa pili ndo wanaongoza kukimbilia nchi za wafuasi wa Yesu, Kisha kuwa-Force wafuate sharia! Ilhali kwao wamezikimbia.
NB: Vikundi vya kigaidi africa 90% vinatoka upande wa jamaa yule wa pili.
Mnataja sana "upendo" mkishafika middle east hiyo vocaburaly hamtaki hata kuisikia wala kuitamkaYesu ni msaada Kaka, Yule jamaa wa upande wa pili amefundisha kumuua mtu asie mfuasi wa dini yake au achukuliwe kama adui.