Katiba inasemaje kama ikitokea Rais na Makamu wake wote wakifa kwa pamoja?

Katiba inasema waziri mkuu
Article 37 3:b
 
Haya maelezo ukiyasapoti na kifungu cha katiba ya Tanzania, mia tisa itapendeza
) Ikitokea kwamba Kiti cha Rais ki wazi kutokana na
masharti yaliyomo katika ibara ndogo ya (2) au endapo kiti cha
Rais kiwazi kutokana na sababu nyingine yoyote, na endapo
Rais atakuwa hayupo katika Jamhuri ya Muungano, kazi na
shuhguli za Rais zitatekelezwa na mmoja wapo na wafuatao, kwa
kufuata orodha kama ilivyopangwa, yaani-
(a) Makamu wa Rais au kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; basi.
(b) Spika wa Bunge au, kama nafasi yake iwazi au kama
naye hayupo au ni mgonjwa; b
 
Unasoma katiba ipi ?
 
Ikitokea SSH na Philip Mpango wamefarik Kwa wakati mmoja basi Job Ndugai anaapishwa kuwa rais wa JMT

..labda tungejiuliza kama Raisi hayupo, na Makamu hayupo vilevile, nani anakaimu Uraisi?

..ninavyoelewa mimi ktk mazingira hayo Waziri Mkuu ndiye anayekaimu nafasi ya Raisi.

..Sasa sijui utaratibu ukoje ikiwa viongozi hao wakuu wawili hawawezi kutimiza majukumu yao kutokana na kifo, au sababu nyingine.
 

Kamwe haiwezi tokea[emoji3] ilo ni pepo la mauti linakusumbua
 
Unawakatisha tamaa waha ......wanasubiri lolote lile watupandie vichwani......na ubishi ndioslogan ya Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…