Kwani Babu kaanza kutoa dozi mpya.jamani mleta hoja ni mwongo hakuna hicho kikao mods tafadhali ondoa uongo huu jukwaani baadhi ya mawaziri waliotajwa akiwemo lukuvi wapo kwenye msafara wa pinda huko wilayani loliondo.
Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.

Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya Protea Sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu Muswada ulivyopitishwa Bungeni na moto unavyowawakia .
Nnape, unataka kusema hajui kikao ambacho kinawashirikisha wafuatao na ambacho bado kinaendelea hapa Protea Hotel sea view? Yupo Zakhia Megji, Asharose Migiro, Lukuvi Willium, Marry Nagu, AG, CPD HUYU ni Chief PArliamentary DRafts man , na wengineo? Nataka tuu useme , ntakuletea picha ya kikao.

Kama ya Azam FC jana kwenye goli la tatu...
Umeisha jua wazazi wako ni akina nani? Au nawe unaendeleza game channel ...0Salaam
Mleta hoja anataka kudanganya wasomaji na great thinkers hapa. Kwani mwenyekiti wa Sekretariete ni Ndg. Kinana ambaye tuko naye Nyamongo tukiwa na ziara nzuri ya kikazi, sasa hiyo sekretariete anayoisema ni ipi?!!!? Hii tabia ya kuleta uongo jamvini inapaswa kudhibitiwa ili kulinda heshima ya jukwaa hili.
jamani mleta hoja ni mwongo hakuna hicho kikao mods tafadhali ondoa uongo huu jukwaani baadhi ya mawaziri waliotajwa akiwemo lukuvi wapo kwenye msafara wa pinda huko wilayani loliondo.
waliopo kikaoni.
Zakhia Megji, Asharose, Mama Chitinka, Lukuvi, AG,SEif Khatib, CPD, Mary Nagu, Evod Mmanda......nawataja kwa uchache tuu.....ili Nnape akanushe kama kawaida yake,
mwigulu, Kinana, Nnape ,hawapo kikaoni....
Hao ndio watawala wa kiafrika,suala la katiba wanaenda kujifungia hotelini na kutumia tsh50m per day
Kutokana na moto wa Katiba ambao umewashwa baada ya sheria kupitishwa kinyemela Bungeni , leo uongozi wa CCM ikiwa ni wajumbe wa SEcretariat na Mawaziri wote waliopo chini ya ofisi ya Waziri Mkuu wapo kwenye kikao tangu asubuhi kwenye hoteli ya Protea Sea view, ajenda kuu ikiwa ni kuhusu Muswada ulivyopitishwa Bungeni na moto unavyowawakia .
kutoka ofisi ya Waziri Mkuu yupo Lukuvi, Mary Nagu, na wengine ni Pamoja na mwanasheria mkuu wa serikali et al, ajenda ni Muswada ,,,,,,nitawaletea taarifa za kina baadae .
Kuna presha kubwa sana kutoka SMZ na hasa baada ya CCM kumchangia ya BALOZI Seif Idd, kwenda kutoa kauli za uongo kuwa SMZ ilishirikishwa kumbe hawa kupewa mswada wenye vifungu kumi na moja ambao ndio ulipelekewa Bungeni , wao walipewa mswada wenye vifungu 6 tu, sasa BALOZI Seif Idd, anataka kujitokeza hadharani kuwaomba radhi watz kwa kudhalilishwa kulikofanywa dhidi yake,
Aidha, presha ni kubwa sana kutoka hata kwa Mawaziri wa Bara na baadhi ya wabunge kama wakina SAmweli SItta na wengine, Lukuvi ndio alikuwa ZAnzibar anata kuwa kutoa majibu kabla Rais haja rejea nchini ,
kuhusu, sula la kuvunja Tume ya Warioba , mara baada ya kuwasilisha rasimu yake kwenye Bunge la Katiba , AG na Chikawe kila mmoja anarusha mpira kwa mwenzake , Haijulikani hoja hii ilipotokea, kwani hata Cabinet ya Muungano hawa kujadiliana kuhusu hoja hiyo, ......wait .....

Kwani hao washiriki ni wachawi kiasi hawawezi kuonekana wanapoingia ukumbini? Ndani ya CCM kuna siri/ hiyo siri imeanza leo? Fool is FOOLTutakuamini vipi maana mkutano ni wa ccm na ni wa siri. Wewe umeingia kama nani?