Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo

waacheni wahangaike endapo rais JK atasaini muswada "aaaah kumbe ilikuwa danganya totooo" Mch. Zakaria Kakobe
 
kuna uzi kauleta Tandale one , anakanusha , nani mkweli ?
 

Wewe Nape kwani ni nani sisiemu ww ni msukule wa Chama kama hujijui, ndo maana wanakupotezea kwa uropokaji wapo....
 
Hao ni Green Devils. Bosi wao anatalii Marekani. Hoa ndio watakaoipeleka nchi hii kwenye machafuko kutokana na akili zao finyu na ulafi wa madaraka!
 
halafu kuna fununu kuwa protea ina umiliki wa JK..
 

Labda kuna anayetaka kuharibu ili dakika za mwisho ajitoe akagombee binafsi kama EL anavyojiandaa.
 

Hizi ni habari njema kwa wafuasi wa upepo. Otherwise kwa wenye akili tumeshajua kuwa ni uongo kwa sababu CCM hawawezi kufanyia vikao kwenye Hotel ya Mbowe.
 
...sasaivi utasikia serikali sikivu,hahahaaa...!
 
We nape ndio huaminiki kabisa umekuwa muongo matamko yako ni double standard hata sisi wanaccm wenzako unatukera kuwa realistic wewe ni mtu muhimu suala la balozi wa china limetuchafua kwa ajili ya uropokaji wako ni kweli hawa watu wameingia protea wamekuaga.acha mbwembwe dogo.
 
Ngoma wacheze wao, kucheza wacheze wao na kukaa mlangoni wakae wao. Misisiem. Shame!!!!!!!! Kikao cha wachawi.
 
kuna uzi kauleta Tandale one , anakanusha , nani mkweli ?

Huyo Tandale one inaonekana ndiye Nape mwenyewe. Alionoa posting yake inapigwa vishoka huku akaamua kuja na uzi wake. Sijui kwa nini wana CCM wanapenda sana kutumia ID fake tofauti na wana CDM wengi tunaowafahamu humu jamvini??
 

Mkuu achana na nape mzee wa kuropoka,hicho kikao cha siri hawajamshirikisha kwa sababu hakawii kuropoka wameshamjua
 

Ah jamaa wapo kwenye kikao, hawajakuaga tu mkuu wa propaganda, unajua wenzio wanakuogopaga na mdomo huo, na wewe itabidi usikilizie kama mgeni. We usikae mbali na hapa, utajua tu kinachoendelea, mradi watu werevu wako standby-uskae mbali unga robo
 
wahuni wakikutana, ujue kuna mimba zisizotarajiwa zitatokea, TV=Tusubiri Vitu
 

Mkuu unataka kuniambia hivi ndo vichwa tunavyotegemea kutoka na majibu ya kina kwenye hili swala?
 
Nape Nauye tumekuzoea kuropoka hata tulipokwambia Balozi wachina amekiuka misingi ya kibalozi ukaja hapa na kwenye vyombo vya habari na kutetea huku ukijua unadanganya umma wa Watanzania kuwa balozi alikuwa sahihi. Sasa na leo unakuja bila hata aibu unasema Mzee wa pembe za ndovu mpo nae kwani sisi hatujui? Sijui kwanini ccm hawapendi kuchukua watu makini wanaweka watu kama wewe ambaye ni mbabaishaji na muongo kila siku unazusha mambo ya uongo na aibu.....Jirekebishe bwana tumekuchoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…