Katiba moto moto: CCM wakutana kwa dharura Protea Hotel leo


Wataje basi wote waliopo kikaoni ili nijue wewe ni yupi hapo! Maana bado sipati picha uko nje ya ukumbi lakini unapata yanayoendelea huko ndani. Au wameweka vipaza sauti?
 

Hapa chini je?
Naomba Ufafanuzi wa Jumuiya ya WAZAZI ya CCM

Mimi dukuduku langu ni juu ya Hii jumuiya ya WAZAZI ya CCM nina maswali ambayo najiuliza kila siku lakini sipati majibu, maswali yangu ni haya yafuatayo


Katika hii Jumuiya ili uwe mwanajumuia unatakiwa uwe na sifa zipi?
Nini hasa lengo la kuanzishwa kwa Jumuiya Hii?
Na neno WAZAZI linatumika kwa maana ipi?



Nauliza haya ni kwa sababu kama tunavyojua Jumuiya za Vijana wahusika ni Vijana, Jumuiya za wanawake wahusika ni wanawake na hata kama kungekuwa na jumuiya za wanaume wangeusika wanaume na pia kungekuwa na jumuiya za wazee wangehusika wazee, sasa hii jumuiya wahusika ni akina nani?
 
kikao cha mapanya (makokoi,vibobiri,ngayaya ...) wanapanga namna ya kula
 

Kwani mawaziri waliotajwa unao hapo? Kwani ndani ya ccm kuna kufuata utaratibu? Umesahau kuwa hivi juzi mkoa wa kagera ccm waliwafukuza madiwani bila kufuata utaratibu ulioulalamikia wewe? Hujui kuwa hakuheshimu uamzi wao badala yake mkakubali kulinda ufisadi wa meya? hukumbuki kuwa juzi uliropoka kuwa balozi wa china ni sahihi kushiriki mikutano ya chama chenu kwa madai kuwa wapinzani wanaona wivu na wanatumia matatizo ya wananchi kama mtaji wa kisiasa? Hujui wewe(nyie CCM) ndo mmeshawageuza watz kama magunia ya maharage na mahindi mnawauza kwa wageni kutoka nchi za nje kwa kigezo cha uwekezaji? Kutokuwepo kinana hakuna maana kuwa kikao cha mawaziri hakiwezi kuendelea maana mambo yenu yanafanyika kigiza giza tu. Hata hiv yo kinana siyo waziri na secretariat iliyotajwa hapo siyo lazima iwe ya ccm. Take a little time to think Nape
 
Wajiulize huko waliko marekani walitengeneza katiba miaka 300 iliyopita sasa wao ccm wanayoitaka itatumika muda gani? Halafu waweke maslahi ya taifa mbele kwakeli ccm mnasikitisha
 
katiba ni ya wananchi wote na si ya chama chochote cha siasa,Ma CCM aibu ni yenu
 


Wamemharibu Nape hivi hivi tunaona
 
kweli wameanza kuungua hahahah,moto moto choma ccm hahaha
 

Kaka/ Dada, umefanya vizuri kumhakikishia NAPE NNAUYE kuwa taarifa yako ni ukweli. Zaidi, tunaomba uendelee kutupatia updates za kikao na picha zake, ikiwezekana.
 
hili jiwe limerushwa kwenye mwanga, nnashangaa wahusika wanalilia gizani
cc Nape Nnauye
 
Last edited by a moderator:

Moto moto motooo..................; Halafu?? kuna sababu gani Mh Jk asaini sheria itakayoleta katiba isiyokubalika? maana waliodai katiba mpya hawaridhiki na mkipitisha ilivyo sauti za kudai katiba mpya zitaendelea na safari hii zitakuwa na nguvu zaidi. Someni alama za nyakati enyi watawala. Hivi mlidhani Wtz wanatania kudai katiba mpya?? Ama mlikuwa mnajaribu kina cha Maji.
 
Kimenuka,ni hatari hakuna kulala magamba wameshachanganyikiwa,na bado 2014 watachanganyikiwa zaidi pale vitongoji vingi na vijiji vitakapochukuliwa na wapinzani....lazima Nape na Kinana wakimbie hii nchi.....Moto moto moto choma..Ma CCM
 
Kimenuka,ni hatari hakuna kulala magamba wameshachanganyikiwa,na bado 2014 watachanganyikiwa zaidi pale vitongoji vingi na vijiji vitakapochukuliwa na wapinzani....lazima Nape na Kinana wakimbie hii nchi.....Moto moto moto choma..Ma CCM
 

moto unguza kichwa cha Nape Nnauye ili ajifunze kujibu anayo ulizwa na kufikiri kwa kina kabla ya kujibu mada/hoja.

Nape Nnauye hao waliotajwa huko nao huko?
kwa nini una kichwa kigumu?
Nape Nnauye ninani kasema ni kikao cha secretarity ya chama chako?
kwanini hutulizani ukasoma vizuri?
 
Last edited by a moderator:
protea hotel ni ya mbowe...je nikitu kinachowezekana wapinzani wake wakafanyie vikao vya siri kwenye hotel ya mbaya wao? Basi uwenda hichi kikao siyo cha siri na akina ajenda za maana.
 
Mbona nape hajarudi tena au ndio anaharisha huko aliko.
 
wakae wale vya mwisho mwisho
mwisho wao umeshafika
 
Protea ni chain of hotel ni sawa nakusema kempsiky chain ni ya kikwete , wanaweza wakawa wamekodi majengo ya kina mbowe lakini si yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…