ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kwa maoni yako ni lipi litangulie kati ya hayo mawiliTunahitaji viongozi bora kwa Katiba bora
Wewe umefika mapema zaidi wakati tunawasubiri waje toa maoni yako au wewe hutaki mabadiliko bwana ndege?Ngoja waje.
Viongozi bora.Kwa maoni yako ni lipi litangulie kati ya hayo mawili
Mawazo yangu yanafanana na ya Yoda.Wewe umefika mapema zaidi wakati tunawasubiri waje toa maoni yako au wewe hutaki mabadiliko bwana ndege?
Kwahiyo kumbe swala la katiba sio muhimu sana kama tuna viongozi boraViongozi bora.
Ukiwa na kiongozi mzalendo kwa nchi na ana akili kubwa, katiba sio ishu sana ila ukiwa na viongozi wapuuzi hata ukiwa na katiba nzuri vipi haina maana yoyote, ndicho kinawakuta Marekani.
Huu sasa ni uvivu😅Mawazo yangu yanafanana na ya Yoda.
Hiyo ni ID yangu nyingine 😁Huu sasa ni uvivu😅
Kwahiyo huna hata nyongeza
Heb tufumbue macho kwanzaWatanzania shida yetu kubwa ipo vichwani mwetu, siku tukijua ni kwa namna gani sisi ndo virusi wa nchi hii haya mambo madogo madogo kama katiba, mifumo & viongozi vitarekebishika haraka sana.
Dah 😅Hiyo ni ID yangu nyingine 😁
Hizi takwimu umezipata wapi nikajioneeKatika rank mtiririko kwa ubora ni
1. Demokrasia na Maendeleo- Canada, Scandinavia, US, Japan, Ulaya, South Korea
2. Maendeleo bila demokrasia-China, Singapore, Russia, GCC
3.Demokrasia bila maendeleo-Kenya, Malawi, Senegal, India
4. Udikteta bila maendeleo- Tz, Uganda, Rwanda, Cameroon
5. Machafuko tu ya kudumu- DRC, Somalia, Sudan, Haiti, Yemen
tunWatanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo
Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka
Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna maswali hua yananijia kicwani
Moja ya swali ni hili👇
JE, TUNAPIGANIA KATIBA MPYA KWA AJILI YA KUBADILISHA MFUMO, AU TUNATAKA KUBADILISHA CHAMA KILICHO MADARAKANI?
Kwa mfano, CHADEMA wakiingia madarakani je, bado tutadai Katiba mpya kwa nguvu ileile, au msimamo wetu utabadilika kwa sababu tu chama tunachokitaka ndicho kinachoongoza?
Tujadili: Je, tunataka mfumo bora utakaomfunga kila kiongozi, au viongozi tunaowaamini ndani ya mfumo uliopo?
Karibu kwa maoni 🫡
ShesRise_1 ✋️
Tunawe kupata viongozi bora lakini tukachelewa sana kupata mfumo bora. mfano halisi ni Tz bongo.Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo
Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka
Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna maswali hua yananijia kicwani
Moja ya swali ni hili👇
JE, TUNAPIGANIA KATIBA MPYA KWA AJILI YA KUBADILISHA MFUMO, AU TUNATAKA KUBADILISHA CHAMA KILICHO MADARAKANI?
Kwa mfano, CHADEMA wakiingia madarakani je, bado tutadai Katiba mpya kwa nguvu ileile, au msimamo wetu utabadilika kwa sababu tu chama tunachokitaka ndicho kinachoongoza?
Tujadili: Je, tunataka mfumo bora utakaomfunga kila kiongozi, au viongozi tunaowaamini ndani ya mfumo uliopo?
Karibu kwa maoni 🫡
ShesRise_1 ✋️
Kijana wangu Yoda ananiwakalisha vizuri sana 😁Huu sasa ni uvivu😅
Kwahiyo huna hata nyongeza
Shida ni hatujawahi kupata kiongozi mkuu mzalendo na mwenye nidhamu ya utumishi wa umma tena kama Nyerere.Watanzania shida yetu kubwa ipo vichwani mwetu, siku tukijua ni kwa namna gani sisi ndo virusi wa nchi hii haya mambo madogo madogo kama katiba, mifumo & viongozi vitarekebishika haraka sana.
Naunga mkono hojatun
Tunawe kupata viongozi bora lakini tukachelewa sana kupata mfumo bora. mfano halisi ni Tz bongo.
mifumo bora utoa viongozi bora.
mfumo ukiwa bora sometimes mnaweza mkapata viongozi wajinga wajinga lakin mambo yanaenda kwa usawia.