ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #41
Sijui hata unazungumzia kitu gani?Katiba nayo inaendana na culture ya watu, maarifa na mwamko wao. Huwezi kulazimisha katiba ya kumbana kiongozi katika jamii ambayo hakuna utamaduni huo. Utamaduni wa Tanzania kwa sehemu kubwa ni wakubwa hawakosei, kuanzia kwenye familia, ukoo, mtaani mpaka ngazi ya taifa.
Hebu n nyooka Yoda wewe binafsi unatamani katiba bora na muundo bora wa uongozi au unataka viongozi unaodhani ni bora?