ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #61
Kumbe sifa ina utamu wakeYeah, lazima ujisifu hapa duniani, la sivyo unaweza kuzikwa bila kuonja utamu wa sifa.
Kumbe sifa ina utamu wakeYeah, lazima ujisifu hapa duniani, la sivyo unaweza kuzikwa bila kuonja utamu wa sifa.
Mno!Kumbe sifa ina utamu wake
Sawa asante sana😅Mno!
Natamani vyote kwa pamoja ila najua mara nyingi mungu hatoi vyote😁, kwa hiyo naona kama inashindikana kubadili katiba kuwa na katiba bora ni heri basi kuwa na viongozi bora kwanza.Sijui hata unazungumzia kitu gani?
Hebu n nyooka Yoda wewe binafsi unatamani katiba bora na muundo bora wa uongozi au unataka viongozi unaodhani ni bora?
Ukitaka kujua watu hawana shida na CCM au ukitaka kujua viongozi waliopo CCM hawana shida bali wana changamoto tu ya kukosa ulaji wa uhakika, una refer tu mapokezi makubwa aliyoyapata Lowasa na wenzake kutoka CCM baada ya kuungwa (zingatia neno kuungwa) na CHADEMA. Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wao aliyepita na huyu mwenyekiti wa sasa walimpokea Lowassa kwa mikono miwili na walienda mbali kwa kuamua kumpa heshima kubwa ya kuwa mgombea wao wa kiti cha urais na walikuwa tayari kumtosa aliyekuwa Katibu Mkuu wao wa wakati huo..Kwa mfano, CHADEMA wakiingia madarakani je, bado tutadai Katiba mpya kwa nguvu ileile, au msimamo wetu utabadilika kwa sababu tu chama tunachokitaka ndicho kinachoongoza?
Unatumia vigezo gani kusema China hawana Katiba nzuri ?tupate tu viongozi bora bila hata katiba nzuri kama China
Yoda umekuaje unataka vyote 😅😅🙆♀️Natamani vyote kwa pamoja ila najua mara nyingi mungu hatoi vyote😁, kwa hiyo naona kama inashindikana kubadili katiba kuwa na katiba bora ni heri basi kuwa na viongozi bora kwanza.
Unasubiri Mungu akupe kimoja wapo 😅😅 I wonderNatamani vyote kwa pamoja ila najua mara nyingi mungu hatoi vyote😁, kwa hiyo naona kama inashindikana kubadili katiba kuwa na katiba bora ni heri basi kuwa na viongozi bora kwanza.
1. Suluhisho la muda mrefu ni watoto walishwe vyakula vyenye protein zaidi, madini na vitamin wakiwa wadogo badala ya kushindiliwa wanga na sukari kama inavyofanyika sasa hivi.Hili IQ umekua ukirudia mara nyingi
Kwahiyo wewe unadhani nini kifanyike ili watu wawe na IQ kubwa
Huwezi kukosoa jambo bila kutoa ushauri itakua sawa na kusutana
Kwahiyo watu wana shida na nini?Ukitaka kujua watu hawana shida na CCM au ukitaka kujua viongozi waliopo CCM hawana shida bali wana changamoto tu ya kukosa ulaji wa uhakika, una refer tu mapokezi makubwa aliyoyapata Lowasa na wenzake kutoka CCM baada ya kuungwa (zingatia neno kuungwa) na CHADEMA. Chadema wakiongozwa na Mwenyekiti wao aliyepita na huyu mwenyekiti wa sasa walimpokea Lowassa kwa mikono miwili na walienda mbali kwa kuamua kumpa heshima kubwa ya kuwa mgombea wao wa kiti cha urais na walikuwa tayari kumtosa aliyekuwa Katibu Mkuu wao wa wakati huo..
kwa Nchi kama Marekani kuna Mifumo bora au haipo ?mifumo bora utoa viongozi bora
Hii no 1 ina mantiki ila haipewi uzito sana1. Suluhisho la muda mrefu ni watoto walishwe vyakula vyenye protein zaidi, madini na vitamin wakiwa wadogo badala ya kushindiliwa wanga na sukari kama inavyofanyika sasa hivi.
2. Shuleni watoto wafundishwe mambo ya maana ya kuamsha critical thinking yao, debates zirudishwe mashuleni na vyuoni na masomo ya dini yafutwe shuleni.
3. Uzazi wa mpango ni muhimu sana pia ili kupata raia bora badala ya kujaza tu watu kwenye nchi.
4. Malezi ya watoto katika familia za Kitanzania yanabidi yafanyiwe mabadiliko makubwa sana.
5. Mkazo mkubwa kwenye lugha ya Kingereza, vijana wengi zaidi wajue Kingereza.
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯Utamaduni wa Tanzania kwa sehemu kubwa ni wakubwa hawakosei, kuanzia kwenye familia, ukoo, mtaani mpaka ngazi ya taifa
Kwanza katiba ya nchi China ni kama nyongeza tu(ni kama vile hata haipo). China katiba ya chama ndio inaongoza nchi na chama cha CCP ndio kinatambulishwa kama muhimili wa kutawala nchi. Mawazo mbadala wa chama cha CCP hayana nafasi.Unatumia vigezo gani kusema China hawana Katiba nzuri ?
Kitendo Cha Chama kimoja kujimilikisha Nchi hilo ni tatizo namba Moja na kubwa sana, tupo tulipo kwa sababu hiyo na wala sio katiba. Mfumo wa Chama kimoja kwa nchi zetu za kiafrica tusahau kuhusu maendeleo.Watanzania tunahitaji mabadiliko, na wengi tunaamini kuwa Katiba mpya ni sehemu muhimu ya mabadiliko hayo
Tunatarajia itasaidia kurekebisha mifumo yenye changamoto kupunguza migogoro na kuweka mipaka na uwajibikaji katika matumizi ya madaraka
Lakini binafsi napokua nafatilia mijadala kuna maswali hua yananijia kicwani
Moja ya swali ni hili👇
JE, TUNAPIGANIA KATIBA MPYA KWA AJILI YA KUBADILISHA MFUMO, AU TUNATAKA KUBADILISHA CHAMA KILICHO MADARAKANI?
Kwa mfano, CHADEMA wakiingia madarakani je, bado tutadai Katiba mpya kwa nguvu ileile, au msimamo wetu utabadilika kwa sababu tu chama tunachokitaka ndicho kinachoongoza?
Tujadili: Je, tunataka mfumo bora utakaomfunga kila kiongozi, au viongozi tunaowaamini ndani ya mfumo uliopo?
Karibu kwa maoni 🫡
ShesRise_1 ✋️
Jana asubuhi wakati najiandaa kibaruani, nilisikia redioni kuwa viwanda kadhaa nchini Afrika Kusini vimeshindwa kuendelea na operations kwa sababu ya kushindwa kuzalisha umeme wa kutosha. Na hilo ni taifa ambalo lilikuwa linaonekana liko hatua kadhaa mbele kwenye maendeleo ya viwanda. Sasa imagine hali za mataifa mengine kiviwanda.ingelikuwa kuwa hili ni tatizo la baadhi ya nchi tu au viongozi basi angalua tungepata hata nchi moja ambayo pengine ngozi nyeusi yenyewe wameijenga na kuwa dunia ya kwanza..
Kama wao kwenye taifa lao wameona mfumo wa utawala au uongozi wa aina hiyo ndiyo unaowafaa tatizo liko wapi ? au wanatakiwa kuiga mifumo ya mataifa ya kimagharibi ili ionekanae wapo relevant ?China katiba ya chama ndio inaongoza nchi na chama cha CCP ndio kinatambulishwa kama muhimili wa kutawala nchi. Mawazo mbadala wa chama cha CCP hayana nafasi.
Chama kimoja kimewezaje kujimilikisha nchi kama sio kwa msaada wa katiba mbovu?Kitendo Cha Chama kimoja kujimilikisha Nchi hilo ni tatizo namba Moja na kubwa sana, tupo tulipo kwa sababu hiyo na wala sio katiba. Mfumo wa Chama kimoja kwa nchi zetu za kiafrica tusahau kuhusu maendeleo.
Linguistic relativity-language influences ones worldview and cognition.5. Kuna umuhimu gani kujua kingereza nasikia china wahajui kingereza kwa ukubwa lakini wapo vizuri kiuchumi
Historia inaonesha watu walio wengi hawajawahi kujua wanachokitaka tangu wanazaliwa hadi wanakufa. Ndio maana kwenye jamii zote lipo kundi dogo linalofanya maamuzi kwa niaba ya walio wengi.Kwahiyo watu wana shida na nini?