Kakobe alionekana mkutano wa jangwani ulioitishwa na vyama vya siasa akihutubia.Swali alienda na gari ya kanisa au binafsi? Maana ana kesi aliyoshitakiwa ya kutumia mali za kanisa kisiasa kuzunguka nazo wakati wa kumpigia kampeni za uraisi Augustino Lyatonga Mrema miaka ile.
Ni muhimu kujua jibu la swali hili kujua kama mali za kanisa hazijatumika ndivyo sivyo.
ukishajua unataka kufanyeje wakati hata sadaka huwa hutoi...
Sioni kosa la kakobe,ukiwa mtu wa dini ndo uhusiki na siasa?

Tangu nianze kujua harakati za Kakobe kwenye maenea mbalimbali sijawahi kumuona au kushuhudia Zakaria Kakobe amefanikiwa kwenye mipango yake yoyote.
Hata huku kwenye siasa alikoamua kuingia tena kwa mara ya pili atafeli tena, alifanya hivyo mwaka 95 akimsapoti Mrema wakafeli wote sasa ameingia tena hatujui ataondoka na nani.
Kakobe ni mtumishi wa Mungu anaongozwa na neno la Mungu si misemo kama huo wako,biblia inasema hamwezi kuwatumikia mabwana wawili pesa(mali) na Mungu na si siasa na Mungu.jambo lingine la kujiuliza kwa nini kakobe anatapatapa kiasi kwa nini asifanye kazi ya mungu mambo ya siasa awachie wanasiasa kwani mshika mawili moja humponyoka.
Kakobe ni mtumishi wa Mungu anaongozwa na neno la Mungu si misemo kama huo wako,biblia inasema hamwezi kuwatumikia mabwana wawili pesa(mali) na Mungu na si siasa na Mungu.
Tangu nianze kujua harakati za Kakobe kwenye maenea mbalimbali sijawahi kumuona au kushuhudia Zakaria Kakobe amefanikiwa kwenye mipango yake yoyote.
Hata huku kwenye siasa alikoamua kuingia tena kwa mara ya pili atafeli tena, alifanya hivyo mwaka 95 akimsapoti Mrema wakafeli wote sasa ameingia tena hatujui ataondoka na nani.
Kakobe ni opportunist
Kama Kakobe ni mtu wa Mungu, mbona anachanganya ya Kaisari na ya Mungu?
Tangu nianze kujua harakati za Kakobe kwenye maenea mbalimbali sijawahi kumuona au kushuhudia Zakaria Kakobe amefanikiwa kwenye mipango yake yoyote.
Hata huku kwenye siasa alikoamua kuingia tena kwa mara ya pili atafeli tena, alifanya hivyo mwaka 95 akimsapoti Mrema wakafeli wote sasa ameingia tena hatujui ataondoka na nani.
Kakobe ni mtumishi wa Mungu anaongozwa na neno la Mungu si misemo kama huo wako,biblia inasema hamwezi kuwatumikia mabwana wawili pesa(mali) na Mungu na si siasa na Mungu.
hapa yote tumpe Mungu hata hayo ya kaisari ni Mungu piausichanganye dini na siasa. Ya Mungu mpe Mungu na ya Kaisari mpe Kaisari