Waache kazi yakuelekeza watu mambo ya ufalme wa Mungu waamue kufanya tu siasa.
Mzee wa upako ni gamba la nguvuJamani Kakobe ni mwana NCCR kama walivyo wanachama wengi wala hana jipya.Angekwenda mzee wa Upako ningepatwa na mshangao na kuamini kinachoendelea hapo kwani mzee wa upako hajawahio kushabikia chama chochote.Lakini Kakobe na Mbatia ni wamoja sana klupitia hama chao vcha Nccr.
kumbe Maalimu Seif (makamu wa pili rais Zanzibar) ni mwanachama wa CCM.
Nanukuu maneno ya Lipumba:"ccm wamemsaliti ccm mwenzao,Maalim Seif"
kayasema hayo leo Jangwani
Ni kakobe huyu huyu mwana Nccr au mwingine? Mnakumbika alivyopita kumnadi mgombea wa Urais wa mwaka 1995 Mh.Lyatonga Mrema kwa tiketi ya NCCR?
Katika hali ambayo sikutarajia nimemsikia Lipumkba akitamka Peopleees, neno linalotumiwa na CHADEMA. It is a good progress
kumbe Maalimu Seif (makamu wa pili rais Zanzibar) ni mwanachama wa CCM.<br />
Nanukuu maneno ya Lipumba:"ccm wamemsaliti ccm mwenzao,Maalim Seif"<br />
kayasema hayo leo Jangwani
Hivi huyu kakobe kesi zake ziliisha? nasikia waumini wake wamemkataa kwa kuwatapeli.