Wananchi wanataka uwepo wa serikali ya Tanganyika na ile ya Zanzibar zilizo sawa katika Muungano. Wazanzibari, wamechoshwa na "serikali ya Tanganyika" kujivika koti la serikali ya Muungano!Wananchi wanataka serikali mbili. Ila vibaraka wa wazungu wakiongozwa na dr slaa ndo wanataka kulazimisha serikali tatu
Funika uozo wako.Futa kauli yako nyepesi
Funika uozo wako.
Nguvu ya umma ni dawa gani hapa tanzania.endeleeeni kujitoa fahamu tu.. subiri nguvu ya umma tu
We mburula naona unataka kupasuka unapingana na ukweli ccm ya watanzania hutaki unaacha.
NEC ya CCM ipo. Ndio hiyo ilikuwa inakutana juzi na jana. Zipo NCHI mbili tayari. Na kila NCHI ina serikali yake. Katiba ya sasa ya JMT ni kichekesho tu. Haina maana yoyote.Hizo serikali tatu koja wewe utaihudumia wewe,
kwanza leo hakuna NEC ya ccm huyu mburula sijui hiyo nec ya machame au kibosho.
Nguvu ya umma ni dawa gani hapa tanzania.
Nguvu ya umma imeshindwa hata zitto itaweza kwa watanzania wote,tuacheni na tanzania yetu nendeni kwenu kwa kagame.
mkuu, wananchi ndo tutaamua na si kelele za akina lema na mbowe
Serikali tatu ndiyo mdudu gani unatuletea hatutaki serikali za majaribio ulishawahi kuona wapi duniani muungano wa serikali tatu kama siyo mambo ya kihuni.
Msimamo wa ccm ndo msimamo wa Watanzania
ccm wametengeneza dili nyingine ya kupiga hela. Kwa msimamo huu wa ccm suala la katiba halipo tena!Kikao cha siku 2 cha NEC ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kimemalizika na kutoa taarifa kupitia katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho,bwana Nape Nnauye kuwa wamekubaliana kuendelea na msimamo wa kuunga mkono serikali 2.
Pia,bwana Nape ameongeza kuwa watafanyia kazi changamoto za muungano zinazolalamikiwa.
Katika hatua nyingine,Nape amesema hawatishiwa na hatua ya vyama vingine kwenda kwa wananchi kwani hata wao(CCM) wanaweza kwenda kwa wananchi na kuwaeleza jambo hilo.
CHANZO:ITV
MY TAKE:
Hatua hii ni sawa na kutangaza mgogoro mapema!
daah? Sikutegemea kazenj kuburuza nchi kubwa kama Tanganyika na kuifanya koloni lake! Nahisi watanganyika tumelaaniwa!Kikao cha siku 2 cha NEC ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kimemalizika na kutoa taarifa kupitia katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho,bwana Nape Nnauye kuwa wamekubaliana kuendelea na msimamo wa kuunga mkono serikali 2. Pia,bwana Nape ameongeza kuwa watafanyia kazi changamoto za muungano zinazolalamikiwa. Katika hatua nyingine,Nape amesema hawatishiwa na hatua ya vyama vingine kwenda kwa wananchi kwani hata wao(CCM) wanaweza kwenda kwa wananchi na kuwaeleza jambo hilo. CHANZO:ITV MY TAKE: Hatua hii ni sawa na kutangaza mgogoro mapema!
Nguvu ya umma ni dawa gani hapa tanzania.
Nguvu ya umma imeshindwa hata zitto itaweza kwa watanzania wote,tuacheni na tanzania yetu nendeni kwenu kwa kagame.
serikali mbili ni sawa, lakini ziwe ni ya zanzibar na ile ya tanganyika!
Hayo ya Msando Topic ingine kabisa. Hili la Muungano na Katiba ya Zanzibar fuatilia tu hotuba zake kama Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria Bungeni.Unazmzungumzia Lisu gani? Huyu huyu aliyegaragazwa na Albert Msando, kijana mdogo kabisa hadi akaomba poo pale alipoomba watumie lugha ya kiswahili badala ya kiingereza?