Sidhani kama uko timamu kiakiliMsimamamo wa CCM ndio msimamamo wa wanyonge na wazalendo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sidhani kama uko timamu kiakiliMsimamamo wa CCM ndio msimamamo wa wanyonge na wazalendo!
Inaonesha hata ukienda haja chooni pia unawaza udini.
Msimamo wa ccm ndo msimamo wa Watanzania
Infact nimekua nashangazwa jinsi kifo cha CCM kimekua na mapito yale yale walimo pita KANU! Kwa namna hii ya matumizi mabaya ya fedha zetu kugharimia mchakato ambao mwisho unavurugwa kuzilinda familia chache huko Zanzibar zinazo nufaika na Muungano feki sina shaka kusema Kikwete amejihumu mwenyewe kukumbukwa kama mtu aliye leta Katiba ya kwanza iliyoandikwa kwa kushirikisha wananchi!Wajikumbushe tu kilichotokea Draft ya BOMAS nchini Kenya....
Ni vema kuliweka wazi hilo ili watanzania wasipotoshwe na wenye uchu wa madaraka
Kwanini kikwete hataki mambo yooooote ya Nyerere isipokuwa serikali mbili pekee?
Mbona kila siku tupo barabarani wewe unataka barabara ipi au kwa mtei zipo zingine unamaanisha.
Msimamo wa ccm ndio msimamo wa wananchi wote wa tanzania wapenda amani na maendeleo,anayepinga serikali MBILI huyo anataka kutubagua watanzania na kuleta chokochoko zisijo na tija!! Kidumu chama cha mapinduzi
Hakika mkuu. Ccm ndo mlezi halali wa watanzania
Msimamo wa ccm ndo msimamo wa Watanzania
Ni vema kuliweka wazi hilo ili watanzania wasipotoshwe na wenye uchu wa madaraka
hata mimi naungana na CCM kuwa na serikali mbili zinazojitegemea yaaani Zanzibar na Tanganyika......maana yake hakuna Muungano.Serikali mbili ni sawa, lakini ziwe ni ya Zanzibar na ile ya Tanganyika!
viongozi wa ccm hawana hoja kwenye hili, hivi inawezekanaje serikali ya Tanganyika iungane na Serikali ya Zanzibar alafu upate serikali mbili,ili liliwezekana wakati ule wa watanganyika walikuwa hawajasoma lakini kwa sasa haliwezekani kama kweli ccm wanataka muungano angalau wangesimamia serikali moja, hapo ndipo utapoona jinsi ccm wanajitoa akili kwa kusimamia kitu kisichowezekana, ivi ccm wanashindwaje kuelewa kwamba wanzanzibar kungangania kuwa na serikali yao maana yake ni kukataa muungano? kama kweli wazanzibar wanataka muungano wangeomba serikali moja,lakini kinachoshangaza ni kuona wazanzibar hawataki serikali ya Tanganyika lakini wanataka ya kwao iwepo,huu muungano wa kijinga watanganyika hatutoukubali cha msingi hapo ni Serikali moja au Tatu vinginevyo ni kila nchi iwe vyake tuwe majirani wema kama tulivyo na KenyaKikao cha siku 2 cha NEC ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kimemalizika na kutoa taarifa kupitia katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho,bwana Nape Nnauye kuwa wamekubaliana kuendelea na msimamo wa kuunga mkono serikali 2.
Pia,bwana Nape ameongeza kuwa watafanyia kazi changamoto za muungano zinazolalamikiwa ambapo wameendaa hoja za kuziwasilisha katika bunge la katiba.Hoja hizo ambaza amekataa kuzitaja ndio zitakuwa na maelezo ya namna ya kutatua kero za muungano
Katika hatua nyingine,Nape amesema hawatishiwa na hatua ya vyama vingine kwenda kwa wananchi kwani hata wao(CCM) wanaweza kwenda kwa wananchi na kuwaeleza jambo hilo.
CHANZO:ITV
MY TAKE:
Hatua hii ni sawa na kutangaza mgogoro mapema!