Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

yupo Maria Sarungi na Fatma Karume wanaendesha shughuli za chama online....sisi tuko kidigitali zaidi sio kama nyie CCM....ingia space huko na club house tunafanya mikutano na inajaza watu balaa.....subirini katibu mkuu atawapa taarifa week ijayo juu ya majadiliano yetu huku space..
 
Mbona mwendazake alishafutilia mbali chadema, kwani bado IPO?
 
Kwa hali hii dau halina nahodha linakwenda mrama!
 
Ya CHADEMA tuachie sisi SAGAI GALGANO
 
Mandela na Mbowe kweli Ni watu wa kuwalinganisha?
Nyumbu hovyo kabisa.
 
Mbona mwendazake alishafutilia mbali chadema, kwani bado IPO?
Msajili wa Vyama anapaswa akifutilie mbali hiki chama Cha CHADEMA maaana kimekuwa ni maficho/chimbo la Wahalifu, kila aina ya wahalifu sasa wanaweza kujibanza na kujificha ktk kichaka kinacho jiita eti chama cha kisiasa!!!
 
Inaonyesha hakuna mwenye kufahamu katiba ya cdm inaelekeza nin ikitokea mazingira km haya au labda hakuna kipengere kinachotoa ufafanuz wa jambo km hili linapotokea.
 
Ushauri want hangaika na mambo ya ccm, ya Chadema waaachie wenye chama be chap.
 
Baba yake gaidi leo ana siku ya 42 ndani! Je katiba inasemaje iwapo atapelekwa guantanamo!

Tunatoa pole kwa Mwenyekiti wa CCM na Katibu Mkuu kwa kumpoteza mwanachama na mjumbe wa Mkutano Mkuu Wilaya ya Ilala Kamanda Hamza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…