Hangaikia ya chama chako huko na magaidi wenuNi sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio guantanamo,makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,je katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu je!
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!
Makamu akisha uwawa mchana kweupe na Mwenye kiti kabambikiwa shauri la ugaidiNi sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio guantanamo,makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,je katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu je!
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!
HapanaMandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.
Km ukijibu binafs nitanufaika na nadhan kuna wengi humu watanufaika kwa sabab kuna wengi ambao tunakuaga wavivu kusoma katiba kila kipengere km unajua fafanua kwa manufaa ya wengiHata kama kinafahamika,ndiyo umjibu Huyo mpunyufu kipara feki
Kwanini mnaogopa TUME HURU iliyo fair kwa vyama na watu wote ?!.Hivyo wananchi tutegeemee Mbowe Rais 2025.
Ila kule Sauzi wakati ule wafuasi hawakuwa wakipiga vinanda, ilikuwa heka heka patashika ngua kuchanika kwa miaka yote 27.Mandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.
Hapana
Kulikua na akina Oliver tambo in the 80s
tusidanganye
Ila kule Sauzi wakati ule wafuasi hawakuwa wakipiga vinanda, ilikuwa heka heka patashika ngua kuchanika kwa miaka yote 27.
Tokeni hata kidogo kwani chama kimeshikwa pabaya kama mnasubiri maamuzi ya mahakama hapo sawa.
Mandela na Mbowe kweli Ni watu wa kuwalinganisha?
Nyumbu hovyo kabisa.
Hivyo wananchi tutegeemee Mbowe Rais 2025.
Huna ujualo katiba ipo nyumbani ukweni hakuna mwenye ruksa!Hata kama kinafahamika,ndiyo umjibu Huyo mpunyufu kipara feki
Sasa,kama unajua ilipo usiende kuisoma?Merde!Huna ujualo katiba ipo nyumbani ukweni hakuna mwenye ruksa!
Mandela hakua kiongozi akiwa jela…. Na mleta mada kauliza without chair na Vice chair who isKwahiyo viongozi wote wa Chadema wamezuiliwa ndani??!!, akina Mnyika, Heche, John Mrema nk, hao nao wamezuiliwa ndani??.
Kumbuka Mandela aliitwa Gaidi na mhaini na makaburu historia inajirudia kwa Mbowe kwa kuitwa Gaidi. ----- siku zote Historia huwa inatoa mafunzo na wenye akili tu ndio hujifunza.
Mandela hakua kiongozi akiwa jela…. Na mleta mada kauliza without chair na Vice chair who is
Leading
jibu lilikua rahisi tu - kwamba chadema ina bionhozi
kuleta ya mandela ilikua siyo lazima
Najaribu kuwasaidia kuhoji R.I.P chacha wangwe!Hangaikia ya chama chako huko na magaidi wenu
Then if ni historia basi umekoseaNi lazima kwa case hii kwani historia ni mwalimu mkuu.
Intarahamwe!Ya CHADEMA tuachie sisi SAGAI GALGANO
La mgambo lilia Lissu hakuungwa mkono maandamano kwanini lakini?!Kwanini mnaogopa TUME HURU iliyo fair kwa vyama na watu wote ?!.
Mbowe usimfananishe hata kidogo na Mandela. Mbowe ni gaidi. Mandela hakuwa.Mandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.
Hawana lolote hao waliitwa waandamane wala hawakutoka!Mbowe usimfananishe hata kidogo na Mandela. Mbowe ni gaidi. Mandela hakuwa.