Mwezi March mwaka huu CCM haikuwa na mwenyekiti wala Katibu. Na hakuna mtu aliyeanzisha uzi hapa kuwa ccm haina uongozi.Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio guantanamo,makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,je katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu je!
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!
Uliona juzi maiti ya mwana ccm inamwagiwa risasi karibu 30 . Sijui ni hasira za kukwepa risasi za mwanzo ?!.La mgambo lilia Lissu hakuungwa mkono maandamano kwanini lakini?!
Mandela wakati a anashtakiwa moja ya tuhuma zake ilikuwa ni UGAIDI . Hichelema moja ya mashtaka yake ilikuwa ni UGAIDI. Raila moja ya mashtaka yake ilikuwa ni UGAIDI. Hiyo huwa ni silaha ya mwisho ya kigaidi ya watawala dhidi ya wapigania haki.Mbowe usimfananishe hata kidogo na Mandela. Mbowe ni gaidi. Mandela hakuwa.
Mbowe usimfananishe hata kidogo na Mandela. Mbowe ni gaidi. Mandela hakuwa.
Mandela hakuwai kushtakiwa kwa kesi ya ugaidi. Yake ilikuwa uhaini.Kwa mtazamo wa maadui wa Mbowe yeye anasingiziwa Ugaidi hivyo hivyo kwa mtazamo wa Makaburu wa zama zile Mandela alionekana si gaidi tu bali pia mhaini.
History is a good teacher for the past events and teaches those who ponder deeply in it.
Mandela hakuwai kushtakiwa kwa kesi ya ugaidi. Yake ilikuwa uhaini.
Mbowe ameshtakiwa kwa kosa la ugaidi na siyo uhaini. Kwa mazingira ya leo unafikiri kesi gani ina uzito mkubwa?.
Ukiwa jambazi jwa sasa sehemu nzuri ya kujificha ni CDM, utatetewa na kila mtuCHAMA kimebaki na JOHN MREMA, JOHN MNYIKA na BENSON SINGO KIGAILA.
kimekuwa kichaka cha uhuni na kupanga mikakati ya kuvuruga amani ya nchi, ni bora kifutiliwe mbali, hatuwezi kuwa na Chama kinacho ratibu mipango ya kihalifu, halafu kikawa chama cha kudai haki!!!
Chadema kimekuwa kichaka, waovu wamejificha ndani ya chama ili kutekeleza mambo ya kiovu.
kama unakuwa na Chama ambacho na wakala wa MAGAIDI unategemea nini hapo?!
Mbowe alipata taarifa atakamatwa, akakimbilia Mwanza ili akikamatwa adai ni sababu ya Katiba. Polisi wamelieleza wazi hilo.Yote kwa yote, shutuma za uhaini au ugaidi kwa mbowe na Mandela ni kupitia siasa za mtawala dhidi ya mtu anayedai HAKI.
That's a Political motivated issue, kwasababu watu wanahoji ni kwanini Mbowe asikamatwe kabla na akamatwe saa chache kabla ya lile kongamano la kudai katiba mpya??!!.------ hayo ni mapambano ya kudai haki dhidi ya udhalimu.
Walichukua muda gani kuziba gap!Mwezi March mwaka huu CCM haikuwa na mwenyekiti wala Katibu. Na hakuna mtu aliyeanzisha uzi hapa kuwa ccm haina uongozi.
Mkuu uwe na kiasi kidogo
Ulitakiwa umwambie lissu maneno hayo maana amesusa chama kisa hamkumuunga mkono!Uliona juzi maiti ya mwana ccm inamwagiwa risasi karibu 30 . Sijui ni hasira za kukwepa risasi za mwanzo ?!.
Ulitaka waandamane muwalemaze ? . Police kawaida haiwaandami raia bali wawalinde na ndiyo katiba inavyosema
Mkuu, hili swali lina uzito sana ila unalijibu kirahisi rahisi kiasi hakuna majibu yenye uzito yana wakilishwa.Mandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.
Hatuogopi bali tunangojea.Kwanini mnaogopa TUME HURU iliyo fair kwa vyama na watu wote ?!.
Ngoja nasi tusubiriMakaburu walisema hivyohivyo kwa Mandela.
Kutoka wapi ?!. Kama wananchi walishatoa maoni yao !!.Hatuogopi bali tunangojea.
Magaidi, Majambazi, Wauza madawa ya kilevya, watumiaji, n.k wote wamejificha humo ndani ya CDM.Ukiwa jambazi jwa sasa sehemu nzuri ya kujificha ni CDM, utatetewa na kila mtu
Kutoka madarakani ni kipengele maana kurudi itakuwa kazi zaidi.Kutoka wapi ?!. Kama wananchi walishatoa maoni yao !!.
Hamjiamini pamoja na kukaa madarakani miaka 60 .
Miezi 3Walichukua muda gani kuziba gap!
WEwe inakuhusu nini?Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio Guantanamo, makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,
Je, katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu?
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!