Katiba ya CHADEMA inasemaje chama kutokuwa na Mwenyekiti wala Makamu?

CHAMA kimebaki na JOHN MREMA, JOHN MNYIKA na BENSON SINGO KIGAILA.
kimekuwa kichaka cha uhuni na kupanga mikakati ya kuvuruga amani ya nchi, ni bora kifutiliwe mbali, hatuwezi kuwa na Chama kinacho ratibu mipango ya kihalifu, halafu kikawa chama cha kudai haki!!!
Chadema kimekuwa kichaka, waovu wamejificha ndani ya chama ili kutekeleza mambo ya kiovu.
kama unakuwa na Chama ambacho na wakala wa MAGAIDI unategemea nini hapo?!
 
kama unakuwa na Chama ambacho ni wakala wa MAGAIDI, kina nunua na kufadhili wahalifu wa kigaidi unategemea nini hapo?!
 
Kweli kufa kufaana yaani leo hii kipara kipya tayari umesha ukata maana ndiyo unachukua nafasi ya Hamza
Ndio maana nimeuliza katiba kukusaidia kuongoza magaidi waliobaki!
 
CHAMA kimebaki na JOHN MREMA, JOHN MNYIKA na BENSON SINGO KIGAILA.
kimekuwa kichaka cha uhuni na kupanga mikakati ya kuvuruga amani ya nchi, ni bora kifutiliwe mbali, hatuwezi kuwa na Chama kinacho ratibu mipango ya kihalifu, halafu kikawa chama cha kudai haki!!!
Chadema kimekuwa kichaka, waovu wamejificha ndani ya chama ili kutekeleza mambo ya kiovu.
kama unakuwa na Chama ambacho na wakala wa MAGAIDI unategemea nini hapo?!
Hatari kubwa!
 
Mandela alifungwa miaka 27 Rubben Island akiwa kama mkuu wa ANC, je chama kilikufa??!!---- na alipofunguliwa ikawaje ?? kuwafunga viongozi wa vyama ni ishara kwamba saa ya ukombozi ipo karibu na hii ni; last kicks of a dying horse. CCM is a dying horse.
Hivyo wananchi tutegeemee Mbowe Rais 2025.
 
Ni sawa na hawapo tu mwenyekiti yupo mahabusu hatujui atatoboa au ndio guantanamo,makamo mwenyekiti kaamua kujichimbia ughaibuni kula bata kwa namna ya kipekee,je katiba inasemaje na ni kipindi gani chama kitakaa bila viongozi wakuu je!
Makamanda ni matumaini ya wanachama wenu na mashabiki wenu wanataka kujua uchaguzi wa kujaza nafasi utafanyika lini maana mambo yanakwama!
Hivi kwa nini huwa unawaza kwa kutumia kiuno weye jamaa?Huzuni sana kwa ukoo wako.
 
Back
Top Bottom