Pre GE2025 Katibu Mkuu CCM, Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi amehitimisha ziara ya siku mbili mkoani Singida kwa kusambaratisha hoja zote za Lissu za kibaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Amesambaratisha hoja za ubaguzi wa kikabila na maeneo kinyume kabisa na maadili ya Nchi hii kama waasis walivyoturithisha.

Wananchi wamekataa ubaguzi wa omba omba Lisu maana mnaowaona wanachinjama chanzo ni Hawa vibaraka wa Ulaya,wakaimnachinjana wao watakimbilia Ubelgiji,Ulaya na Marekani.
Maneno gani sasa kijana,lisu aliongea ukabila upi?
 
Amesambaratisha hoja za ubaguzi wa kikabila na maeneo kinyume kabisa na maadili ya Nchi hii kama waasis walivyoturithisha.

Wananchi wamekataa ubaguzi wa omba omba Lisu maana mnaowaona wanachinjama chanzo ni Hawa vibaraka wa Ulaya,wakaimnachinjana wao watakimbilia Ubelgiji,Ulaya na Marekani.
CHADEMA wenyewe wamego kabisa kumchangia Lissu pesa maana wameona Lissu ni mzinguaji tu.
 
Amesambaratisha hoja za ubaguzi wa kikabila na maeneo kinyume kabisa na maadili ya Nchi hii kama waasis walivyoturithisha.

Wananchi wamekataa ubaguzi wa omba omba Lisu maana mnaowaona wanachinjama chanzo ni Hawa vibaraka wa Ulaya,wakaimnachinjana wao watakimbilia Ubelgiji,Ulaya na Marekani.
Tanzania hii nani ataanza kumchinja yupi?Acha kufananisha nchi za wajingawajinga na Tanzania.Msilete uzushi wenu kama ule wa mwaka 1995 wa kumuogopa Mrema hadi mkaanza kuweka filamu za mauaji ya kimbari ya Rwanda ili kuwatisha wapigakura/wananchi.CCM is a curse of the nation!Acheni uzushi na kugeuzageuza maneno.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena Amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani hapo kwa kishindo kikubwa sana kilichotikisa Mikoa ya kanda ya kati nzima.

Ambapo ametoa hotuba nzito sana katika siku zake hizo mbili za ziara. Ambapo katika kuonekana kujibu mapigo ya Lissu . Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi amewataka wana Singida na watanzania wote kwa ujumla kukataa katakata kuvuruga umoja wetu ,kupandikizwa mbegu ya ubaguzi kwa misingi ya Udini ,ukabila ,ukanda na aina yoyote ile ya ubaguzi.

Amesisitiza na kuwaasa watanzania kuhakikisha tunadumisha umoja wetu na Amani yetu , ambayo ndio imekuwa nguzo kuu ya maendeleo yetu kama Taifa. Amesema tukatae kabisa kubaguana sisi kwa sisi.

Hotuba hii imeonekana kugusa mioyo ya watu wengi sana, ambao wameonyesha masikitiko yao na kuendelea kulaani kauli za kibaguzi na chuki zilizotolewa na Lissu wiki chache zilizopita,kauli ambazo zimeendelea kulaaniwa na kupigwa vita kila kona ya Nchi yetu na hata kupelekea CHADEMA kwa sasa kuchukiwa na watu wengi sana kwa kuonekana kuwa ni chama kinacho chochea ubaguzi na chuki kwa wananchi baada ya kuwa kimeishiwa hoja za kuwashawishi watanzania kukiunga mkono.

Kwa sasa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi anakwenda kuitikisa kanda ya kaskazini kwa kupiga mikutano mizito kwenye mikoa ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro na kumalizia kwa kishindo Mkoa wa Tanga.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

HIVI NCHIMBI YUPO? MAANA HASIKIKI KABISA. NLISIKIA TU ALIVYOTEULIWA SINCE THEN NDO NAONA THREAD YAKE UMEMUANZISHIA. UMEACHWA NA MAKONDA? MAANA NAONA KWA SASA UNADANDIA DANDIA WATU. TAFUTA KAZI DOGO.
 
Viongozi wanasema wewe kupata uteuzi bado sana maana hujui kujenga hoja mpaka una haribu. Walikuwa wana discuss kuwa wewe na Mwashambwa ni empty set hamna kitu kichwan. Samia alijitambulisha yeye ni Mzanzibar. Wewe kilaza unakataa hilo.
Tangia lini na wewe ukawa na akili mpaka ushirikishwe na watu wenye akili katika mazungumzo?
 
Viongozi wanasema wewe kupata uteuzi bado sana maana hujui kujenga hoja mpaka una haribu. Walikuwa wana discuss kuwa wewe na Mwashambwa ni empty set hamna kitu kichwan. Samia alijitambulisha yeye ni Mzanzibar. Wewe kilaza unakataa hilo.
Samia ni Mzanzibari,Mimi mhehe Je inahusikaje na masuala ya kuendesha Nchi? Ukabila sio sehemu ya identity ya Watanzania kama nyumbu wa Chadema mnavyotaka kuturudisha enzi za ukoloni.Tumekataa
 
HIVI NCHIMBI YUPO? MAANA HASIKIKI KABISA. NLISIKIA TU ALIVYOTEULIWA SINCE THEN NDO NAONA THREAD YAKE UMEMUANZISHIA. UMEACHWA NA MAKONDA? MAANA NAONA KWA SASA UNADANDIA DANDIA WATU. TAFUTA KAZI DOGO.
Nani kakwambia kuwa mimi sina kazi kama ulivyo wewe mpiga porojo na umbea?
 
HIVI NCHIMBI YUPO? MAANA HASIKIKI KABISA. NLISIKIA TU ALIVYOTEULIWA SINCE THEN NDO NAONA THREAD YAKE UMEMUANZISHIA. UMEACHWA NA MAKONDA? MAANA NAONA KWA SASA UNADANDIA DANDIA WATU. TAFUTA KAZI DOGO.
Nani kakwambia kuwa mimi sina kazi kama ulivyo wewe mpiga porojo na umbea?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena Amehitimisha ziara yake ya siku mbili mkoani hapo kwa kishindo kikubwa sana kilichotikisa Mikoa ya kanda ya kati nzima.

Ambapo ametoa hotuba nzito sana katika siku zake hizo mbili za ziara. Ambapo katika kuonekana kujibu mapigo ya Lissu . Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi amewataka wana Singida na watanzania wote kwa ujumla kukataa katakata kuvuruga umoja wetu ,kupandikizwa mbegu ya ubaguzi kwa misingi ya Udini ,ukabila ,ukanda na aina yoyote ile ya ubaguzi.

Amesisitiza na kuwaasa watanzania kuhakikisha tunadumisha umoja wetu na Amani yetu , ambayo ndio imekuwa nguzo kuu ya maendeleo yetu kama Taifa. Amesema tukatae kabisa kubaguana sisi kwa sisi.

Hotuba hii imeonekana kugusa mioyo ya watu wengi sana, ambao wameonyesha masikitiko yao na kuendelea kulaani kauli za kibaguzi na chuki zilizotolewa na Lissu wiki chache zilizopita,kauli ambazo zimeendelea kulaaniwa na kupigwa vita kila kona ya Nchi yetu na hata kupelekea CHADEMA kwa sasa kuchukiwa na watu wengi sana kwa kuonekana kuwa ni chama kinacho chochea ubaguzi na chuki kwa wananchi baada ya kuwa kimeishiwa hoja za kuwashawishi watanzania kukiunga mkono.

Kwa sasa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi anakwenda kuitikisa kanda ya kaskazini kwa kupiga mikutano mizito kwenye mikoa ya Manyara, Arusha, Kilimanjaro na kumalizia kwa kishindo Mkoa wa Tanga.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Leo umekula???? Ubaguzi upo kwenye katiba!!!!
 
Weka yako ndugu yangu.kwani wewe hutaki uteuzi?
Umemjibu vizuri kiungwana kabisa. Hao nyumbu wana njaa sana. Uteuzi wanajua uko na nafasi gani sahvi. CCM haiwezi kuindolewa na vinyumbu km hvyo, watu wenye akili, wenye elimu nzuri, wastaarabu, waungwana wako CCM. CCM wapinzani wao watatoka ndani ya CCM si nje ya hapo. Nchimbi anaijua siasa siyo hivi vitoto. Kwanza wajua kufikia hadhi ya Emanuel Nchimbi si rahisi
 
Ma CHADEMA yamechanganyikiwa na kuvurugwa kabisa akili zao.
 
Mkuu wewe ndiye mwenye shida ama ya uwezo wa kufikiri au unafanya makusudi kwa sababu Tundu Lisu kastate facts in accordance to the two constitutions na Samia hajawahi kukanusha.

Mkuu wewe tu na kimbele mbele chako mbuzi, umejipachika msemaji wa Samia na CCM kinyume na utaratibu wa ajira ya CCM na kuleta porojo ushuzi usio na mashiko kikatiba!!!

Kama wewe kweli ni muumini wa hoja kujibiwa kwa hoja basi kwa kuzingatia katiba zote mbili jibu hoja hizi 5 za Tundu Lisu:

1. Je, rais Samia kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar sio Mzanzibari??

2. Sema kweli kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, Zanzibar sio nchi???

3. Sema kweli kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar, mtangayika anaruhusiwa kuajiriwa na serikali ya Zanzibar au kumiliki Aridhi Zanzibar!???

4. Sema kweli kwa mujibu wa katiba ya JMT nani anasimamia mambo ya Tanganyika ndani ya Muungano kama ilivyo kwa Zanzibar.

5. Sema ukweli kwa mujibu wa katiba ya JMT kina nani ndio wawakilishi wa Tanganyika kwenye bunge la Tanzania kama ilivyo kwa Zanzibar ???

Na kama kwa kusema hayo Tundu Lisu anachochea ubaguzi kwa nini JMT isimfungulie mashtaka na sio kupanda majukwaani kupangua hoja zake.

Lucas ukijibu hoja hizo alizo hoji Mheshimiwa Tundu Lisu kwa usahihi, tutaamini kweli Lisu anasambaza ubaguzi na chuki, tutakabiliana naye wenyewe bampa to bampa.

Kama hutaweza, maneno yako yatabaki kuwa porojo ushuzi tu! Muda ukifika utatulia kama Musiba!
Hapa hata kwa mtutu wa bunduki Lucas Mwashambwa hawezi kujibu. Siku zote ninaposema Lucas Mwashambwa ni kilaza naonekana namuonea,lakini tangu aingie humu jukwaani hajawahi kujibu maswali kama uliyomuuliza,sana sana ataanza kukujashifu kwa kusema 'tangu lini na wewe ukawa na akili ya kuhoji',kama naongopa tusubiri kama atajibu hizi hoja zako. Huyu Lucas Mwashambwa uwezo wa akili yake ni kusifia viongozi tu na atasimamia mtazamo wake huo hata umshikie bunduki.
 
Nani kakwambia kuwa mimi sina kazi kama ulivyo wewe mpiga porojo na umbea?
Kazi uliyo nayo ni kusifia wanaume wanakurushia pesa ya voucher. Ungekuwa na kazi usingekuwa muda wote unashobokea wanaume. Ungekuwa busy. We unawaona wao wana shobokea mtu humu ndani?
 
Back
Top Bottom