Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

Katibu Mkuu wa CCM ni Mtendaji wa Shughuli za CCM za Kila siku akiwa ofisini na sio kurandaranda. Katibu Mwenezi ndio anatakiwa kufanya kazi ya kueneza Yale anayoelekezwa na Sekretariati ya Chama ikiongozwa na Komredi Chongolo.
Huko sahihi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…