Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chama kikabidhiwe jambazi? Kweli Ccm imekufa.Duru zinabainisha ndie Mrithi wa code Chongolo ambae amejiuzulu
Una maana gani?Huko sahihi 100%
Kipo, uenyekiti Chadema.Ukiangalia hii picha na ile clip ya wakati ule una conclude hakuna cheo cha kudumu duniani
CCM bara hata bila kuiba kura itashinda, lakini kila uchaguzi CCM inaiba kura kupata ushindi wa a kishindo. CCM haijawahi shinda uchaguzi Zanzibar.CCM haijawahi kuiba kura, mnaipigia wenyewe sema mnasahau mapema
Huu ni utabiri wako au ni taarifa za uhakika ambazo unazo tayari?Katibu Mkuu ni Bulembo, kama una mahaba na hao uliowataja utasubiri wakati mwingine. Huyo Chongolo mwenyewe hajajiuzuru kwa kupenda, kalazimishwa baada ya kashifa za aibu.
Sasa Gwajima na Team yake walipokuwa wanakimbiza kura kenye mabag ..... hiyo wewe unaiitaje!!?CCM haijawahi kuiba kura, mnaipigia wenyewe sema mnasahau mapema