Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

Katibu Mkuu ni Bulembo, kama una mahaba na hao uliowataja utasubiri wakati mwingine. Huyo Chongolo mwenyewe hajajiuzuru kwa kupenda, kalazimishwa baada ya kashifa za aibu.
 
Katibu mkuu ni Bulembo, kama una mahaba na hao uliowataja utasubiri wakati mwingine. Huyo Chongolo mwenyewe hajajiuzuru kwa kupenda, kalazimishwa baada ya kashifa za aibu.
Aibu ya nini, wengi wanasema kakashifiwa kashfa gani hiyo au ni mimi tu sijui au sifuatilii.
 
Katibu Mkuu ni Bulembo, kama una mahaba na hao uliowataja utasubiri wakati mwingine. Huyo Chongolo mwenyewe hajajiuzuru kwa kupenda, kalazimishwa baada ya kashifa za aibu.
Bulembo huyu aliyejimilikishia shule za jumuiya ya wazazi alipokuwa katibu mkuu.
 
Kuna uwezekano mkubwa wa watu hao wawili kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM taifa kama itakuwa kweli kwamba chongolo amejiuzulu Kwa heshima.

Na ikitokea chongolo kajiuzulu atakuwa mmoja wa viongozi wenye utu na wenye uzalendo wa kweli kuliko majitu mezi mengine yanayoiba fedha za umma na yapo tu hata kijutia hakuna.

Hongera chongolo, kiongozi mzalendo wa kweli.

Viva chongolo, viva chongolo
Walishajipanga kama ilivyo kwa spare tyre kwenye gari
 
Katibu Mkuu ni Bulembo, kama una mahaba na hao uliowataja utasubiri wakati mwingine. Huyo Chongolo mwenyewe hajajiuzuru kwa kupenda, kalazimishwa baada ya kashifa za aibu.

Kashifa gani tena
 
Jamaa hapa daresalaam ana majumba ya kifahari yasiyopungua 40
 
Kuna uwezekano mkubwa wa watu hao wawili kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM taifa kama itakuwa kweli kwamba chongolo amejiuzulu Kwa heshima.

Na ikitokea chongolo kajiuzulu atakuwa mmoja wa viongozi wenye utu na wenye uzalendo wa kweli kuliko majitu mezi mengine yanayoiba fedha za umma na yapo tu hata kijutia hakuna.

Hongera chongolo, kiongozi mzalendo wa kweli.

Viva chongolo, viva chongolo
Ngoma tayari Bulembo kala uteuzi wa katibu mkuu

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Duru zinabainisha ndie Mrithi wa code Chongolo ambae amejiuzulu
 
Back
Top Bottom