Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

Siyo siri ujio wa Mskonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya.
Hapa mama Samia alilamba dume ka karata.
Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion.
Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa.

Katibu Mkuu changamka!
Hakika
 
Naomba kuelemishwa. Hivi anayofanya kwa mawaziri na viongozi wengine ni sawa kikatiba na kiprotokali?
Si sawa kikatiba wala ki protokali Konda Boy ni Magufuli type ila yeye ni zaidi ya Magufuli!, hivyo hayo aliyoanza nayo alikuwa akiyayafanya ki Magufuli Magufuli, alianza na moto sana!, tukamshauri Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka! amepokea ushauri, ame cool down sasa anakwenda sawa.
P
 
Mh chongolo kujiuzulu
Imekaaje hii
 
Siyo siri ujio wa Mskonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya.

Hapa mama Samia alilamba dume ka karata.

Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion.

Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa.

Katibu Mkuu changamka!
Du ....yametimia tuliyotabiri!
 
BREAKING NEWS!!

𝗞𝗮𝘁𝗶𝗯𝘂 𝗠𝗸𝘂𝘂 𝘄𝗮 𝗖𝗖𝗠 𝗗𝗮𝗻𝗶𝗲𝗹 𝗖𝗵𝗼𝗻𝗴𝗼𝗹𝗼 𝗮𝗷𝗶𝘂𝘇𝘂𝗹𝘂

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu.

Taarifa zilizotufikia ni kuwa Chongolo amewasilisha barua ya kujiuzulu kwa Rais Samia Suluhu Hassan leo usiku

View: https://x.com/MfanyakaziNews/status/1729235090075525376?t=1DwEMEGv0F3avAQ_8TMX9g&s=08

Yametimia!
 
Kwanza nijulishe: nani ni mmiliki wa MFANYAKAZI ONLINE NEWS!!??
 
Wapo watakaokejeli makonda anahusikaje kwenye hii inshu!?

Huwezi kumuona uhusika wake kwa juujuu... Maana ana play indirect!..

Makonda knows... not only how to play... But knows how&when to play it right!
 
Kuna uwezekano mkubwa wa watu hao wawili kuteuliwa kuwa katibu mkuu wa CCM taifa kama itakuwa kweli kwamba chongolo amejiuzulu Kwa heshima.

Na ikitokea chongolo kajiuzulu atakuwa mmoja wa viongozi wenye utu na wenye uzalendo wa kweli kuliko majitu mezi mengine yanayoiba fedha za umma na yapo tu hata kijutia hakuna.

Hongera chongolo, kiongozi mzalendo wa kweli.

Viva chongolo, viva chongolo
 
Back
Top Bottom