Hapo chama na nchi vinakutania wapi?
Ccm itatumia dola kubaki madarakani
Unamuitaje "mstaafu" labda mimi sijui kiswahili vizuri (maana ya kustaafu). Anafanya rough gani tena huko? Kwa sababu nafasi zote mbili (Katibu mkuu wa chama na Katibu mkuu Kiongozi) zote hakustahili. Ameleta mikakati michafu sana ndani ya CCM, mikakati ya manunuzi ya "wanachama" na amechangia uchafuzi mkuu wa October 2020. Angetulia tu na hiyo heshima aliyoheshimishwa ya ubunge wa kuteuliwa wakati akijipanga kwa siasa za majukwaani kama ana uwezo nazo, maana huyu amekuwa ni wa kuteuliwa mwanzo mwisho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Taratibu kada, msitoane macho![emoji2223]
Na wewe no mjinga mbona umefuatilia post?Uongo uongo tu. Amewanyang'anya mali za chama nyie ndio mnaoteseka. Bashiru kuzuia mama asipate asilimia 100 inasaidia nini? Wajinga tu ndio watafuatilia post yako na kuona umeandika topic ya maana.
Mtoto kabebwa halafu anafungua mbeleko😬😬Bashiru kijana mdogo sana ndani ya chama chenu lakini nilishangaa alivopanda panda vyeo kwenye chama na serikali.
We will not give him that luxury... Hukuwepo kwenye mchakato wa kugombea ubunge wewe ndio maaana unaongea hivi. There was no mercy there. Ilikuwa ni mwendo wa kuliwa vichwa. Tuliwaambia kina Bashiru kuwa mmnajaza watu wasioweza kuwasaidia mbele ya safari. Sasa boti imetoboka, kila mtu aogelee kivyake kuokoa nafsi yake!So far, muacheni Bashiru pia aweze ku-heal, maana kimtazamo amekutana na changamoto ya quick shift in position toka SG kwenda CS na ndani ya siku 33 anakuwa mbunge wa kawaida. Bashiru apewe muda wa kupumzika kiakili ili atimize majukumu yake mapya ndani ya Bunge la JMT.
Poleni sana mkuu; siasa zina mambo yake. Hata akina mzee Makamba nao walilaumiwa baada ya uchaguzi wa 2010, ndio maana akaondolewa na kuingia MukamaWe will not give him that luxury... Hukuwepo kwenye mchakato wa kugombea ubunge wewe ndio maaana unaongea hivi. There was no mercy there. Ilikuwa ni mwendo wa kuliwa vichwa. Tuliwaambia kina Bashiru kuwa mmnajaza watu wasioweza kuwasaidia mbele ya safari. Sasa boti imetoboka, kila mtu aogelee kivyake kuokoa nafsi yake!
Bashiru alipaswa awe balozi nje ya nchi kwa kazi nzuri aliyoifanya.Msilitumie vibaya neno mstaafu huyo mtu hajastaafu bali kafurushwa na rais wetu mpendwa mh.Samia,alipewa hiyo nafasi kimagumashi.
Kwenye siasa kufuata makundi na falsafa fulani inaruhusiwa. Lakini hili jambo la kumchukia Bashiru kwa kua alitimiza majukumu yake vizuri na wewe ukaathirika si vema.
Kumgombanisha na Rais si sawa na ninaamini Rais ana vyombo ambavyo vinamsaidia na vitasema km Bashiru ni threat au la.
Ifike mahala tuwe tunareason kidogo tuache majungu na fitina ambazo hazitasaidia kujenga nchi hii.
Mimi na wewe tunaowajibu wa kujenga nchi hii kwa kutoa mawazo ya kujenga sio kufitinisha.
Rais pia anapaswa kutulia naona kuna miruzi mingi mno kipindi hichi.