Israel nayo ni kama spoilt child! Anachokoza ugomvi anategemea support ya wazazi!
Siku itafika hii cancer itaondoka!
Kwa kipigo cha jana Israel amefahamu yupo uchi kwa Iran na hana ubavu naye wa jino kwa jino.Wanasema asiyefunzwa na mamaye ..
Iran kama nchi bado haijapata justification ya moja kwa moja ku declare vita na Israel. Ikitokea hiyo sababu nakuhakikishia itafanya hivyo!
Kwa kipigo cha jana Israel amefahamu yupo uchi kwa Iran na hana ubavu naye wa jino kwa jino.
Maamuzi yoyote ya kijinga yatamuathiri zaidi.
Israel wamepanic wanatafuta namna ya kuzima aibu ya mwaka 😝😝😝😝😝😝 hawana ulinzi weupe kama Somalia 😝 Iran ongeza doziHuku ndiko kuweweseka kwenyewe sasa:
View attachment 3113109
Kwa hakika hawa ndugu bila mbeleko ya Marekani ni wepesi kuliko sufi.
Kila muda unavyozidi kwenda Hizbullah inazidi kuimarika na kwa jinsi situation inavyozidi kuwa nina imani Irqn wanafanya tathmini.Na hapa ndipo alipopatumia Israel kushambulia Hezbollah na atapatumia tena kufanya shambulizi linaloweza kuwagharimu mno Iran.
Yaani Hezbollah style labda hata dhidi ya miundo mbinu nyeti na uongozi wa juu wa Iran, mwanzoni tu.
Israel wamepanic wanatafuta namna ya kuzima aibu ya mwaka 😝😝😝😝😝😝 hawana ulinzi weupe kama Somalia 😝 Iran ongeza dozi
Justification anayoitafuta Iran ni kwamba atapata uungwaji mkono wa kijeshi kutoka kwa washirika wake endapo hao wa pembeni wataingilia.Taabu kubwa ni hao wengine wanaoingilia. Hasa Marekani ni vibaraka wao.
Kila muda unavyozidi kwenda Hizbullah inazidi kuimarika na kwa jinsi situation inavyozidi kuwa nina imani Irqn wanafanya tathmini.
Hizbullah ya mwaka 2006 tofauti na 2024. Nguvu ya Israel ni anga. Hatuwezi jua pengine mbeleni Iran inaweza ikamjengea uwezo zaidi na kumpatia Air defensive system.
Pengine akaifanya ikawa kama Russia ilivyoiwezesha Wagner.
Na ndipo tunapo kwenda na uzuri huko Iran anacho takiwa ni kuleta siraha na instructor tu. Au kuwapeleka watu kutrain kisha wanarudi full mkazuzu.Kila muda unavyozidi kwenda Hizbullah inazidi kuimarika na kwa jinsi situation inavyozidi kuwa nina imani Irqn wanafanya tathmini.
Hizbullah ya mwaka 2006 tofauti na 2024. Nguvu ya Israel ni anga. Hatuwezi jua pengine mbeleni Iran inaweza ikamjengea uwezo zaidi na kumpatia Air defensive system.
Pengine akaifanya ikawa kama Russia ilivyoiwezesha Wagner.
Ila nyie hivi inamaana Ile safu ya air defence ya.Justification anayoitafuta Iran ni kwamba atapata uungwaji mkono wa kijeshi kutoka kwa washirika wake endapo hao wa pembeni wataingilia.
Ikiwa kama kule wanamchokoza Russia na huku wakalianzisha kwa Iran si ajabu China na North Korea zikaingia moja kwa moja kwa sababu target inayofuata itakuwa ni wao!
Kuliko Iran aonekane mchokozi kwanza anaitafuta hii Justification.
Na ndipo tunapo kwenda na uzuri huko Iran anacho takiwa ni kuleta siraha na instructor tu. Au kuwapeleka watu kutrain kisha wanarudi full mkazuzu.
Nawaza hivi nchi kama misri ikijoin na Iran na turkey mbona watatafutiwa pakuhamia hapo northern Uganda.
Hizi ni hasira za mkizi
Bado wana wenge hao baada ya mkong'oto mkali kutoka kwa Wairan jana.
Wenge likiisha watakumbuka kuwa wao ni member wa UN na watampa katibu mkuu heshima anayostahili
Team Israel njooni huku.Huku ndiko kuweweseka kwenyewe sasa:
View attachment 3113109
Kwa hakika hawa ndugu bila mbeleko ya Marekani ni wepesi kuliko sufi.
Team Israel njooni huku.
Ndio muelekeo huo..Mnafiki Mmarekani lazima atie mkono..aliona Ku Moto atamuachie jamaa yake aselebuke kivyake..Bahati mbaya ni kuwa busara ya kuchagua mazungumzo ya dhati dhidi ya matumizi ya nguvu haipo karibu.
Laiti UNSC leo kungekubaliwa wawili hawa waachwe wachapane, hakuna kuingilia Hadi kieleweke, heshima ingeweza kurudi.
Afu kuna watu wanawasifu wana akili 😄 Hata mtoto mdogo hawezi kufanya hivyo.Huku ndiko kuweweseka kwenyewe sasa:
View attachment 3113109
Kwa hakika hawa ndugu bila mbeleko ya Marekani ni wepesi kuliko sufi.
Afu kuna watu wanawasifu wana akili 😄 Hata mtoto mdogo hawezi kufanya hivyo.
Leo wamepokea kipigo kutoka Lebanon ma Major 3 na Captain 5 na askari 15 wamepelekwa kwa masanduku.
Yule waziri wa majeshi yao anaonyesha vita ya zamani kuwa eti wameshika silaha za Hezbullah kumbe video ya zamani. Hezbullah kawaibisha kasema kipigo walicho wapa lazima waseme uwongo.
na huko US jews ndio wame tapakaa na wana pesaHuku ndiko kuweweseka kwenyewe sasa:
View attachment 3113109
Kwa hakika hawa ndugu bila mbeleko ya Marekani ni wepesi kuliko sufi.