eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Israel nayo ni kama spoilt child! Anachokoza ugomvi anategemea support ya wazazi!
Siku itafika hii cancer itaondoka!
akipigwa kwenzi, atatulia
Hata mii nilivyokuwa mdogo, nilikuwa napenda kuanzisha ugomvi. Sasa nilivyoanza shule drs la kwanza, nikawa nataka niendeleze ule ujinga wa kuanzisha ugomvi. Kuna kachalii fulani kamekomaa, nikakachokoza. Kakanipiga kwenzi, nikatulia. Mpaka leo sichokozagi watu hovyo
😛 😛