Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Antonio Guterres apigwa marufuku kukanyaga Israel kwa kushindwa kulaani shambulizi la Iran na kuunga mkono magaidi

Israel nayo ni kama spoilt child! Anachokoza ugomvi anategemea support ya wazazi!
Siku itafika hii cancer itaondoka!

akipigwa kwenzi, atatulia
Hata mii nilivyokuwa mdogo, nilikuwa napenda kuanzisha ugomvi. Sasa nilivyoanza shule drs la kwanza, nikawa nataka niendeleze ule ujinga wa kuanzisha ugomvi. Kuna kachalii fulani kamekomaa, nikakachokoza. Kakanipiga kwenzi, nikatulia. Mpaka leo sichokozagi watu hovyo
😛 😛
 
Iran kama nchi bado haijapata justification ya moja kwa moja ku declare vita na Israel. Ikitokea hiyo sababu nakuhakikishia itafanya hivyo!

Na hapa ndipo alipopatumia Israel kushambulia Hezbollah na atapatumia tena kufanya shambulizi linaloweza kuwagharimu mno Iran.

Yaani Hezbollah style labda hata dhidi ya miundo mbinu nyeti na uongozi wa juu wa Iran, mwanzoni tu.
 
Kila muda unavyozidi kwenda Hizbullah inazidi kuimarika na kwa jinsi situation inavyozidi kuwa nina imani Irqn wanafanya tathmini.

Hizbullah ya mwaka 2006 tofauti na 2024. Nguvu ya Israel ni anga. Hatuwezi jua pengine mbeleni Iran inaweza ikamjengea uwezo zaidi na kumpatia Air defensive system.

Pengine akaifanya ikawa kama Russia ilivyoiwezesha Wagner.
 
Taabu kubwa ni hao wengine wanaoingilia. Hasa Marekani ni vibaraka wao.
Justification anayoitafuta Iran ni kwamba atapata uungwaji mkono wa kijeshi kutoka kwa washirika wake endapo hao wa pembeni wataingilia.

Ikiwa kama kule wanamchokoza Russia na huku wakalianzisha kwa Iran si ajabu China na North Korea zikaingia moja kwa moja kwa sababu target inayofuata itakuwa ni wao!

Kuliko Iran aonekane mchokozi kwanza anaitafuta hii Justification.
 
Kila muda unavyozidi kwenda Hizbullah inazidi kuimarika na kwa jinsi situation inavyozidi kuwa nina imani Irqn wanafanya tathmini.

Hizbullah ya mwaka 2006 tofauti na 2024. Nguvu ya Israel ni anga. Hatuwezi jua pengine mbeleni Iran inaweza ikamjengea uwezo zaidi na kumpatia Air defensive system.

Pengine akaifanya ikawa kama Russia ilivyoiwezesha Wagner.

Ngoja tuone ila uelekeo wa kwenda kwa sasa ni huu:

IMG_20241002_170629.jpg

Diplomacy.
 
Kila muda unavyozidi kwenda Hizbullah inazidi kuimarika na kwa jinsi situation inavyozidi kuwa nina imani Irqn wanafanya tathmini.

Hizbullah ya mwaka 2006 tofauti na 2024. Nguvu ya Israel ni anga. Hatuwezi jua pengine mbeleni Iran inaweza ikamjengea uwezo zaidi na kumpatia Air defensive system.

Pengine akaifanya ikawa kama Russia ilivyoiwezesha Wagner.
Na ndipo tunapo kwenda na uzuri huko Iran anacho takiwa ni kuleta siraha na instructor tu. Au kuwapeleka watu kutrain kisha wanarudi full mkazuzu.

Nawaza hivi nchi kama misri ikijoin na Iran na turkey mbona watatafutiwa pakuhamia hapo northern Uganda.
 
Justification anayoitafuta Iran ni kwamba atapata uungwaji mkono wa kijeshi kutoka kwa washirika wake endapo hao wa pembeni wataingilia.

Ikiwa kama kule wanamchokoza Russia na huku wakalianzisha kwa Iran si ajabu China na North Korea zikaingia moja kwa moja kwa sababu target inayofuata itakuwa ni wao!

Kuliko Iran aonekane mchokozi kwanza anaitafuta hii Justification.
Ila nyie hivi inamaana Ile safu ya air defence ya.

Iron dome
Arrow
David sling
Thaad na wengineo wamevukwa wote. Ila ndio maana ayatollah haangaiki na madege yeye ni makombora tu mpaka uyambe mpepo
 
Hizi ni hasira za mkizi

Bado wana wenge hao baada ya mkong'oto mkali kutoka kwa Wairan jana.

Wenge likiisha watakumbuka kuwa wao ni member wa UN na watampa katibu mkuu heshima anayostahili
 
Na ndipo tunapo kwenda na uzuri huko Iran anacho takiwa ni kuleta siraha na instructor tu. Au kuwapeleka watu kutrain kisha wanarudi full mkazuzu.

Nawaza hivi nchi kama misri ikijoin na Iran na turkey mbona watatafutiwa pakuhamia hapo northern Uganda.

Waarabu walipaswa kusimama na Iran lakini sasa yale yale ya wapinzani wa kwetu na CCM:

IMG_20241002_170629.jpg

Hawajui wanataka au hawataki nini.

Mbona taifa la Palestina (kama katiba mpya) lilikuwa linanukia leo kuliko wakati wowote?

imhotep, binti kiziwi FYI.
 
Hizi ni hasira za mkizi

Bado wana wenge hao baada ya mkong'oto mkali kutoka kwa Wairan jana.

Wenge likiisha watakumbuka kuwa wao ni member wa UN na watampa katibu mkuu heshima anayostahili

Hapo Guterres atakuwa kapewa jina jipya, mwislam au kobaz .. 🤣🤣
 
Bahati mbaya ni kuwa busara ya kuchagua mazungumzo ya dhati dhidi ya matumizi ya nguvu haipo karibu.

Laiti UNSC leo kungekubaliwa wawili hawa waachwe wachapane, hakuna kuingilia Hadi kieleweke, heshima ingeweza kurudi.
Ndio muelekeo huo..Mnafiki Mmarekani lazima atie mkono..aliona Ku Moto atamuachie jamaa yake aselebuke kivyake..
 
Huku ndiko kuweweseka kwenyewe sasa:

View attachment 3113109

Kwa hakika hawa ndugu bila mbeleko ya Marekani ni wepesi kuliko sufi.
Afu kuna watu wanawasifu wana akili 😄 Hata mtoto mdogo hawezi kufanya hivyo.

Leo wamepokea kipigo kutoka Lebanon ma Major 3 na Captain 5 na askari 15 wamepelekwa kwa masanduku.

Yule waziri wa majeshi yao anaonyesha vita ya zamani kuwa eti wameshika silaha za Hezbullah kumbe video ya zamani. Hezbullah kawaibisha kasema kipigo walicho wapa lazima waseme uwongo.
 
Kipigo cha mbwa koko halali yao
 
Back
Top Bottom