Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Wako wengi ndani ya CCM waliovurugwa na ingizo jipya. Ni suala la muda tu, yetu macho.
 

Unatuletea sababu gani tena wakati zimetajwa katika barua.

Hii inji ni ngumu sana, tumelea uhuni acha uendelee kufanya kazi.

Ajivue na uanachama pia, huku hatutaki mtu wa namna yakr aliyejaa tuhuma lukuki. [emoji23]
 
Naanza kuelewaelewa kitu .....
 
Ana skendo gani Chongolo?
 
D.G ni kifupi Cha Daniel Geofrey
 
Kwa Tz hii mtu anaachia kwa hiari ulaji mezani sijapata kusikia au kuona isipokuwa Mara 3 tu ilitokea , inahitajika ushujaa !
1. Mwalimu alifanya hivyo kung’atuka
CHADEMA NI Kufungiwa nje ya Nyumba na Mke kama Dkt Slaaa au kuitwa msaliti kama Zitto, Kitila

Au Kutekwa na kugekul chupa

Ila huyu gekul itakuwa anatumia chupa upande wa mbele
 
Siyo kwamba Makonda hana akili,ana akili ndiyo maana hajaja na swaga za kishamba za;"Nani kama Mama na Mama anaupiga mwingi",kumbe kwa ground mambo ni utapeli mtupu,nchi inapigwa kulia na kushoto!
Chongolo hamna kitu ata alipokuwa DC Kinondoni alikuwa msanii tu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Sababu za kujiuzulu Chongolo ni kukimbia kukaa meza moja na muuaji Makonda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuondoka ccm kwa amani , ama utadhalilishwa au utalishwa sumu kama Mangula
Ndiyo maana hawataki kutangaza kuwa Chongolo amejiuzulu ila wanataka watangazi kuwa anetenguliwa. Namsifu sana Chongolo kuivujisha hii barua kulinda heshima yake. Hata hiyo kesho wakimtangaza Makonda kuwa KM ukatibu mkuu wake ni wa damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…