Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Wewe! Tumwambie Tulia anyofoe fyuzi, utakufa njaa chawa wewe.Mimi sina cha kujiuzulu maana sina kazi zaidi ya jembe na kilimo ambacho siwezi nikajiuzulu,maana jembe ndio linaloonilisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe! Tumwambie Tulia anyofoe fyuzi, utakufa njaa chawa wewe.Mimi sina cha kujiuzulu maana sina kazi zaidi ya jembe na kilimo ambacho siwezi nikajiuzulu,maana jembe ndio linaloonilisha.
Siwezi nikafa na njaa maana mimi ni mkulima. Labda nyie wa mijini mnashinda kwenye vibaraza mkipiga umbea na habari za simba na yanga ndio mtakufa na njaa kama panya.Wewe! Tumwambie Tulia snyofoe fyuzi, utakufa njaa chawa wewe.
Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo.
Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.
Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama (NEC), ambavyo vinafanya vikao vyake vya kawaida jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2023, huenda vikampitisha Katibu Mkuu mpya wa CCM ambaye atachukua nafasi ya Chongolo.
Sababu za kujizulu kwa Chongolo tutawaletea baadae.
Naanza kuelewaelewa kitu .....Chongolo hapa huchomoki we na mademu badala uimarishe chama chako
[emoji1593]Huyu demu umempa Mpaka mali kadhaa kwa kutumia kofia ya CCM ukasahau ni mtu wa mtu! Hapa unajaribu kukimbia fumanizi unapata ajali na Mali ya Umma
[emoji1593]Lakin Jua Vita ya Panzi furaha ya Kunguru ndani ya CCM
Kambi za January Makamba na Mwigulu Nchemba zaungana kumshughulikia Daniel Chongolo
[emoji1593]TISS na CCM watoa Siri za ndani za Chongolo ili kummaliza kupitia UVCCM
Mwenyewe kaapa kupambana asitolewe NEC hiiView attachment 2827339View attachment 2827340View attachment 2827341
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana skendo gani Chongolo?Kwanza hiyo nafasi ya ukatibu mkuu .. ilikuwa haimfananii kabisa!... Frankly Speaking ...
Wenye chama chao... Kindakindaki.. toka UVCCM... Kina Makonda...Wako Frontline... Hili lilitarajiwa kabisa licha ya hiyo skendo...
Skendo imetumika kama Daraja tu..... La kupitisha mzigo uliokuwa unasubiriwa wakati wowote na walaji
D.G ni kifupi Cha Daniel GeofreyH
Hebu tuisome kwa makini, tuanzie alipomalizia "D. G. Chongolo"? Huyu D. G. Chongolo ni nani ndani ya CCM? Najua CCM yumo Daniel, je, ni huyu D. G. Chongolo? Mimi ninaona siye yeye na kama angekuwa yeye angeliandika jina lake kamili na si kwa kifupi ukizingatia anamuandikia bosi wake yaani mwenyekiti wa chama.
Ninaamini bado yumo.
CHADEMA NI Kufungiwa nje ya Nyumba na Mke kama Dkt Slaaa au kuitwa msaliti kama Zitto, Kitila
Au Kutekwa na kugekul chupa
Tembelea X mzee..Ana skendo gani Chongolo?
Siyo kwamba Makonda hana akili,ana akili ndiyo maana hajaja na swaga za kishamba za;"Nani kama Mama na Mama anaupiga mwingi",kumbe kwa ground mambo ni utapeli mtupu,nchi inapigwa kulia na kushoto!Unajua fika kuwa wakati Makonda akiwa RC wa Dar es Salaam na Chongolo ni DC wa Kibindoni walikuwa hawapatani kwani kuna Mmoja kati yao ana Akili na Mmoja ni Mpumbavu Kiasili halafu leo tena unaowaleta pamoja ndani ya Chama Tawala ( CCM ) huku kwa Makusudi, Mahaba na kupenda Kudanganya na Wanafiki unampa Jeuri na Upendo wa wazi wazi Mtu ambaye ndani ya Katiba ya Chama ni mdogo kuliko Katibu Mkuu na unataka Katibu Mkuu amnyenyekee yule anayetakiwa Kumyenyekea Yeye.
Kwa hapa / kwa hili kama ni la kweli ninampongeza sana Bwana Chongolo kwani alichofanyiwa ilikuwa ni Dharau isiyovumilika.
Na najua Chongolo ana Watu wake ndani ya System ya Nchi na Chama ( CCM ) ambao wamemdokeza mapema kuwa Kikao cha leo ( cha CCM ) anaenda Kung'olewa hivyo nae kawa very smart kwa kuwawahi kwa kupeleka Barua ya Kujiuzuru hivyo hatongolewa tena hii leo ( Jumanne ) Kikaoni CCM kwa Mipasho ya Paje Kizimkazi Zanzibar.
.....bin vuuuu!Ghafla
Sasa Chongolo kama ana akili mbona alikuwa DC na asiye na akili akapewa nafasi ya RC!!Usiseme Makonda hana akili! Ana akili sana! GENTAMYCIME
Na kesho kikao cha CC na NEC, Makonda kuwa Katibu Mkuu.Wanafiki tu nyie leo ndiyo mmeyaona hayo??? Kesho keshokutwa akiulamba tena teuzi mtarudi tena kusifia kama mlivyofanya kwa Konda Boy.
Sababu za kujiuzulu Chongolo ni kukimbia kukaa meza moja na muuaji Makonda.
Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo.
Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.
Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama (NEC), ambavyo vinafanya vikao vyake vya kawaida jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2023, huenda vikampitisha Katibu Mkuu mpya wa CCM ambaye atachukua nafasi ya Chongolo.
Sababu za kujizulu kwa Chongolo tutawaletea baadae.
Ndiyo maana hawataki kutangaza kuwa Chongolo amejiuzulu ila wanataka watangazi kuwa anetenguliwa. Namsifu sana Chongolo kuivujisha hii barua kulinda heshima yake. Hata hiyo kesho wakimtangaza Makonda kuwa KM ukatibu mkuu wake ni wa damuHuwezi kuondoka ccm kwa amani , ama utadhalilishwa au utalishwa sumu kama Mangula
Na Kesho Makonda yule henchman wa wa dhalim anatangazwa kuwa Katibu Mkuu.Sishangai, chongolo kwa Ukatibu mkuu alikuwa chongo kweli. Alipwaya sana.