Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo aandika barua ya kujiuzulu

H

Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo.

Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama (NEC), ambavyo vinafanya vikao vyake vya kawaida jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2023, huenda vikampitisha Katibu Mkuu mpya wa CCM ambaye atachukua nafasi ya Chongolo.

Sababu za kujizulu kwa Chongolo tutawaletea baadae.
Hebu tuisome kwa makini, tuanzie alipomalizia "D. G. Chongolo"? Huyu D. G. Chongolo ni nani ndani ya CCM? Najua CCM yumo Daniel, je, ni huyu D. G. Chongolo? Mimi ninaona siye yeye na kama angekuwa yeye angeliandika jina lake kamili na si kwa kifupi ukizingatia anamuandikia bosi wake yaani mwenyekiti wa chama.
Ninaamini bado yumo.
 
Kwa hiyo mnapenda mtu anayepayuka hovyo kama mwendawazimu? Namfahamu Chongolo kwa sehemu, kwa kuwa niliwahi kufanya naye kazi mahali. Ni mchapa kazi asiyependa mbwembwe za hovyo.
Sishangai, chongolo kwa Ukatibu mkuu alikuwa chongo kweli. Alipwaya sana.
 
Ni kweli, wanataka kumfanyia mchezo mchafu kama walivyomfanyia Ndugai. Alafu mods wanafuta futa nyuzi ili uzushi usambae.
 
Unajua fika kuwa wakati Makonda akiwa RC wa Dar es Salaam na Chongolo ni DC wa Kibindoni walikuwa hawapatani kwani kuna Mmoja kati yao ana Akili na Mmoja ni Mpumbavu Kiasili halafu leo tena unaowaleta pamoja ndani ya Chama Tawala ( CCM ) huku kwa Makusudi, Mahaba na kupenda Kudanganya na Wanafiki unampa Jeuri na Upendo wa wazi wazi Mtu ambaye ndani ya Katiba ya Chama ni mdogo kuliko Katibu Mkuu na unataka Katibu Mkuu amnyenyekee yule anayetakiwa Kumyenyekea Yeye.

Kwa hapa / kwa hili kama ni la kweli ninampongeza sana Bwana Chongolo kwani alichofanyiwa ilikuwa ni Dharau isiyovumilika.

Na najua Chongolo ana Watu wake ndani ya System ya Nchi na Chama ( CCM ) ambao wamemdokeza mapema kuwa Kikao cha leo ( cha CCM ) anaenda Kung'olewa hivyo nae kawa very smart kwa kuwawahi kwa kupeleka Barua ya Kujiuzuru hivyo hatongolewa tena hii leo ( Jumanne ) Kikaoni CCM kwa Mipasho ya Paje Kizimkazi Zanzibar.
akiondolewa kama sii kwa yeye kuamua ccm kwishney.
makonda kumbuka aliwadukua makamu(kinana, kumtilia sumu makamu mstaafu pia kamdukua makamba,jk nk
 
Umekuja umesoma na umetia lako.

CCM juu, juu, juu zaidi.
Chama kinaungua wewe unasema CCM juu. Ni bahati mbaya chama kimejaa makada wanafiki, waongo na wanaopenda kujipendekeza. Kwa sasa CCM inaendeshwa kwa majungu, upendeleo na inatafunwa na udini pamoja na ukanda.
 
Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo.

Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan.

Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama (NEC), ambavyo vinafanya vikao vyake vya kawaida jijini Dar es Salaam, Novemba 29, 2023, huenda vikampitisha Katibu Mkuu mpya wa CCM ambaye atachukua nafasi ya Chongolo.

Sababu za kujizulu kwa Chongolo tutawaletea baadae.
Ccm hawana huo utaratibu atafia hapo kama nzi kwenye kidonda

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
H

Hebu tuisome kwa makini, tuanzie alipomalizia "D. G. Chongolo"? Huyu D. G. Chongolo ni nani ndani ya CCM? Najua CCM yumo Daniel, je, ni huyu D. G. Chongolo? Mimi ninaona siye yeye na kama angekuwa yeye angeliandika jina lake kamili na si kwa kifupi ukizingatia anamuandikia bosi wake yaani mwenyekiti wa chama.
Ninaamini bado yumo.
Leo muhusika alikua mwenyekiti wa kikao Cha Sekretariet ya Chama ( kikao Cha maandalizi ya vikao vya Cc na Nec)
 
Kwanza hiyo nafasi ya ukatibu mkuu .. ilikuwa haimfananii kabisa!... Frankly Speaking ...

Wenye chama chao... Kindakindaki.. toka UVCCM... Kina Makonda...Wako Frontline... Hili lilitarajiwa kabisa licha ya hiyo skendo...

Skendo imetumika kama Daraja tu..... La kupitisha mzigo uliokuwa unasubiriwa wakati wowote na walaji
 
Back
Top Bottom