Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

Useme tu ukweli kwamba Ile nguvu aliyokuwa anakupa mwendazake ufanye ulichokuwa unafanya kwa sasa haipo na uwezi kuipata Tena, umeteuliwa kafanye kazi inayokuhusu izo habari za kulipa kisasi ata Kama unataka kulipa itakuwa ngumu kwako kwakuwa huu ni utawala tofauti na ule uliokufanya uwe na kiburi Cha Kila aina, na nafikiri Kama utakuwa na akili sawasawa utakuwa umejifunza jambo wakati wote ambao ulikuwa benchi, sidhani Kama unaweza kurudia ujinga ule na waliokuteua nafikiri watakuwa wamekupa semina elekezi na maonyo ya nini unatakiwa ufanye na miiko ya uongozi wa cheo ulichopewa!
Tunajua lazima Kuna nguvu kubwa imetumika kukupigia debe kurudishwa chamani Sasa kafanye majukumu yako usitoke njia kuu ukawa Kama rafiki yako sabaya!
 
Naona umeanza vibaya kwa kujichetua akili.

Umesahau kwa mkataba mbovu mnauza bandari kwa Mwarabu.

Umesahau Kamanda mwenzangu Lissu alipozunguka nchi nzima kueleza ubovu wa mikataba mibovu ya kifisadi kama huu wa kuuza bandari mlianza kulia na kukumbuka maridhiano?

Lissu akifoka mnalialia kama watoto.

Alafu leo unasema eti sio mpinzani ni mtoa taarifa
Acha uongo wa kitoto.
 
Kijana taratibu..jifunze na urejee kwenye historia yako nyuma.busara inakuhitaji sana la sivyo..

Uongozi bila kutoa lugha za ovyo inawezekana!
 
Makonda ni boya Kama maboya mengine tu Hana jipya. Amewekwa hapo ili kuvutia Sukuma Gang. Lakini bado wataanguka tu.
 
Kama hayo ni kweli basi mama hapaswi kuprint form moja 2025.
 
Hotuba ya alie komaa kabisa kisiasa!!
 
Jambazi sugu lililokuwa limejificha kwa aibu ya matendo yake limeibuka tena.
Kama uliwahi kuitizama picha ya Jesus of Nazareti, huyu makonda ni kama Baraba.
 
Kuna wanaume wengine huwa mnatutia aibu
 
Maneno mazito sana hayo.

Mimi miaka mingi sana humu JF nawaita chadomo, Makonda kawaheshimu sana kuwaita watowa taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…