Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

Sidhani Makonda kama Makonda pekee yake anaweza kuwakitisha hao uliowataja.
Mfano mdogo tu. Isreal; NATO, Ulaya wote wapo vitani na vifaa vya kisiasa unavyovijua wiki ya 6 wanashindwa na na waislam wa palestina wanaotumia mawe kujihami badala yake wanaangusha majumba na watoto.
 
Watu wanakuza sana mambo. Makonda alikuwa mbabe sana kwa sababu ya aina ya uongozi wa juu uliokuwepo kipindi kile. Alipata "back up" isiyo ya kawaida kutoka kwa aliyekuwa anamkingia kifua. Tusitake kujisahaulisha kuwa hata huyo aliyekuwa anampa "back up " alifika mahali akamtosa Makonda akabaki peke yake kwani hata marafiki zake wa karibu wengine walimkana hadharani wengine walimkimbia na kumkashifu.

Kwa sasa huyo Makonda hawezi kurudia tena ule ubabe wake wa hovyo kwani amejifunza mengi sana kupitia yeye mwenyewe na rafiki yake Sabaya. Kwani sasa anajua kuwa atakayekutuma leo ukafanye mambo ya hovyo kesho akiwa hayupo wanachi watakusulubu. Fikiria tu mfanyabiashara kama GSM alianza kudai nyumba yake hadharani vipi wale waliodai mali zao gizani? Kwa hakika hawezi kurudia makosa ya ovyo aliyofanya japo yale aliyotenda nyuma hayafutiki. Na yeye mwenyewe anajua wazi jinai haifutiki

Mimi nafikiri suala kubwa la kujadili kuhusu Makonda sio ubabe wake kwani kwa mfumo na aina ya uongozi ulipo sasa haumpi nafasi ya kufanya aliyoyafanya wakati zile. Kwa sasa suala la kubwa la kujiuliza ni je uteuzi wa Makonda ni asset au liability kwa CCM? Je Makonda kashaondolewa kashfa yake na wamarekani?

Ni mtizamo tu.
 
Kuanzia Saa Tatu (3) Kamili pale Ofisi Ndogo Lumumba Mwamba na Kiboko ya Wapinzani wote Tanzania hasa CHADEMA na ACT Wazalendo Ndugu Paul Makonda (Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Taifa) atakuwa anatambulishwa kuanza Kazi ya Kuwanyoosha na Kuwaadabisha Wapinzani wote nchini Tanzania.

Hakika mtamkoma....!!
sure upinzani umekua ukifanya siasa harakati muda mrefu softly, sasa huyo kijana ana mtindo wa siasa harakati pia intakua ni majotrooo na motrooo sana
 
Ni kawaida sana vyama pinzani kufuatiliana katika kila jambo Ili kuweka mikakati ya kudhibitiana

Wanachadema wanasubiri kwa hamu Hotuba ya Mwenezi mpya wa CCM Komredi Makonda

Wasiwasi wa Wapinzani ni endapo Makonda atafufua ile sera bora kabisa ya Kuunga Juhudi iliyoasisiwa na Komredi Polepole

Inasemekana Watema Madini makini bado wapo Chadema na leo Makonda huenda akasindikizwa Lumumba na baadhi ya Wabunge waliounga Juhudi wakiwemo Covid-19

Mungu Ibariki Chadema [emoji3]

Tutakuwa mubashara Channel ten [emoji23]
Mbona unaisemea Chadema wewe boya? Hatuna time naye huyo nyamitako wako
 
Ni kawaida sana vyama pinzani kufuatiliana katika kila jambo Ili kuweka mikakati ya kudhibitiana

Wanachadema wanasubiri kwa hamu Hotuba ya Mwenezi mpya wa CCM Komredi Makonda

Wasiwasi wa Wapinzani ni endapo Makonda atafufua ile sera bora kabisa ya Kuunga Juhudi iliyoasisiwa na Komredi Polepole

Inasemekana Watema Madini makini bado wapo Chadema na leo Makonda huenda akasindikizwa Lumumba na baadhi ya Wabunge waliounga Juhudi wakiwemo Covid-19

Mungu Ibariki Chadema 😀

Tutakuwa mubashara Channel ten 😂
wanasubiri hotuba au neno la mwenezi mpya kwa hofu, masikitiko , huzuni kubwa na hali ya kukata tamaa kabisaaaa. Hawana hamu kabisa....

actually uteuzi wa huyu kijana ulipokelewa kwa taharuki kubwa mno na hisia hasi miongoni mwa upinzanai nchin.....
 
Mh. Makonda Katibu wa Uenezi na Itikadi wa Chama cha Mapinduzi, kiongozi mwenye nyota ya pekee inayong'ara nchini anatarajiwa kupokelewa Leo kwenye ofisi ya CCM, Lumumba, Dar Es Salaam.

Siku ya Leo tarehe 26 Oktoba 2023

Kila la kheri Mheshimiwa, kutoka kwa mwana JF Mimi. Natumaini siku moja nitakutana nawe uso kwa uso kwa mara ya kwanza.

Makonda Oyeeee

Kazi iendelee...
kidogokidogo mmeanza kurejea JF baada mawakala wanuka damu hatari wa Jiwe wameanza kurandaranda mitaani
 
Kuanzia Saa Tatu (3) Kamili pale Ofisi Ndogo Lumumba Mwamba na Kiboko ya Wapinzani wote Tanzania hasa CHADEMA na ACT Wazalendo Ndugu Paul Makonda (Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Taifa) atakuwa anatambulishwa kuanza Kazi ya Kuwanyoosha na Kuwaadabisha Wapinzani wote nchini Tanzania.

Hakika mtamkoma....!!
Unapojamba ili kuficha harufu usimlete aliyejinyea ili kufukuza harufu!
 
Hivi Watanzania mmerogwa mbona mambo ya kufanya kwa ajili ya nchi yetu yapo mengi sana, aya ata ya ngazi ya familiya basi...mnabaki kushadadia habari za abunuasi...Makonda Makonda...
Fanyeni kazi..tuikomboe nchi
 
Laiti ungejua adui mkubwa wa Makonda ni wapambe wa mama na wala sio wapinzani usingesema hayo. Kwa kuteuliwa Makonda;
Hivi Kinana ana furaha?
Hivi JK ana furaha?
Hivi Nape ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi January ana furaha?
Hivi Makamba senior ana furaha?
Hivi Philip Mpango ana furaha?
Hivi Majaliwa ana furaha?
Hivi Ridhwani ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi Abdallah Bulembo ana furaha?
Hivi Bashe ana furaha?
Hivi Sofia Mjema ana furaha?
Hivi mzee Warioba amefurahi?
Hivi Askofu Gwajima amefurahi?
SISI SUKUMA GANG ATUJALI WAO WAPUMBAVU WANACHUKIA NAMNA GANI ...CHAMSINGI LEGACY YA MAGUFULI INAPATA NGUVU TENA ....tunajua samia na hao wahuni wa sa100 kwanini wamempatia makonda icho cheo lengo ni kumtumia tu kufanikisha ufisadi wao na Rostam azizi jambazi la taifa ila wajue tu kuwa sukuma gang siyo wajinga wala wapumbavu ....ni lazima makonda atajigeuza mpumbavu kama walivyo mkusudia kuwa ndani ya icho cheo....maana samia amekusudia kuonyesha watanzania kuwa watu wa LEGACY ya magufuli wapo nyuma yake na wanaunga mkono upumbavu wake....hiyo ndiyo akili ya saa mia moja mbovu .

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Kuanzia Saa Tatu (3) Kamili pale Ofisi Ndogo Lumumba Mwamba na Kiboko ya Wapinzani wote Tanzania hasa CHADEMA na ACT Wazalendo Ndugu Paul Makonda (Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Taifa) atakuwa anatambulishwa kuanza Kazi ya Kuwanyoosha na Kuwaadabisha Wapinzani wote nchini Tanzania.

Hakika mtamkoma....!!

Hivi aliwahi kuwa kiboki ya wapinzani lini?. Acheni unafiki na kujipendekeza
 
sure upinzani umekua ukifanya siasa harakati muda mrefu softly, sasa huyo kijana ana mtindo wa siasa harakati pia intakua ni majotrooo na motrooo sana

Ana siasa za harakati zipi?. Tatizo mnasifia ujinga. Siasa za uharakati CCM ?
 
Zama zimebadilika lakini,filosofi za mama Samia zimejipambanua Kwa R4,Sasa huyo MTU ambae ccm wamemleta hawezi kuishi na vision hiyo, unless otherwise tusubiri tuone.

Lakini unasubir Kwa MTU ambae matendo yake yaliyashajipambanua ni MTU wa aina Gani?
 
▪︎ CHADEMA na wapinzani wengine wameumia na ku-panic sana kurejea kwa Paul Makonda. Ni dhahiri wasiyempenda kaja.

▪︎ Ni dhahiri Paul Makonda anaweza asifanye kazi kwa ufanisi wa mwanzo hasa kwa kuangalia nature ya nafasi aliyopewa na aina ya uongozi uliopo. Asipokuwa makini anaweza kuwa unpopular ukilinganisha na namna ambavyo angekuwa angebaki uraiani.

▪︎ Inapohusisha uhai wa maslahi yao binafsi na ya chama; wanachama wa CCM huwa kitu kimoja. Ndivyo itakavyokuwa kuelekea 2025.

▪︎ Huenda Samia amenusa jaribio la Msoga Gang kutaka kumtoa 2025; anawaletea Sukuma Gang ili kuwa-counterbalance. Ili Msoga na Sukuma wawe busy kupambana, mwisho wa siku waamue kumwacha aendelee 2025.

▪︎ Huu ni mwendelezo wa kuongeza ushawishi Kanda ya Ziwa. Rejea uteuzi wa Makamu wa Waziri Mkuu. Tutarajie Sukuma Gang wengine kurudishwa.

Muda utatupatia majibu sahihi.
 
Back
Top Bottom