GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Ni usemi ule ule wa kilatini, "La cuta causa Finita" -The decision of the president is Final, don't challenge president decisions
Makonda usiyempenda ndio huyo kaja tena CCM kama Kiongozi wa Itikadi na Uenezi. Maneno mengi yamesemwa juu yake lakini hakuna uthibitisho wa Mahakama juu ya tuhuma.
Maeneo ya Kariakoo hasa makutano ya Mtaa wa Livingstone na Kariakoo mambo ni moto. Ni umati wa madereva bodaboda wakiwa kwenye mapokezi ya Paul Makonda.
Mtaa wa Kariakoo upande wa Lumumba umezibwa kuruhusu umati mkubwa wa wana CCM waliojitokeza kumpokea Paul Makonda.
Paul Makonda ni muumini wa siasa za kibabe na nguvu ambazo ndio hitaji kwa sasa kwenye siasa za Tanzania kujibu hoja za upinzani.
Tumeshuhudia operation za CHADEMA wakijitamba na kujisifia lakini majibu ya CCM ni Paul Makonda.
Paul Makonda ni mtu wa propaganda.