Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

Team!
Hii iko very serious na to be frank ni kwamba ili twende vizuri kisiasa lzm tuwe kundi la watu wanaojiheshimu na kuheshimu wengine.

Nasema hivi kwa kuwa wafuasi kibao wa CDM, CUF, NCCR, NLD, Umoja, ACT nk wana kautamaduni walikojenga vichwani ka kutukana, kumkashifu na kudhihaki viongozi wa CCM. Siku zote hudhani kwamba bila kutukana basi chakula hakitapita kooni.

SASA:
Atakayemtukana CDE Paul Makonda kwa namna yoyote ile atakuwa ameitukana CCM na kwa hali hiyo tutamuwajibisha nje na ndani. CDE Paul Makonda sawa na wewe anastahili kushika nafasi yoyote na sifa anazo za kutosha. CCM tumefurahi kwa kuwa ujio wake utainyima CDM usingizi.

Tusilaumiane kwa atayeshupaza shingo.

Ngaika Ndenda
Kakonko.
Pumba sana unaongea hbu zipeleke Kuku wapate chakula
 
Ni usemi ule ule wa kilatini, "La cuta causa Finita" -The decision of the president is Final, don't challenge president decisions

Makonda usiyempenda ndio huyo kaja tena CCM kama Kiongozi wa Itikadi na Uenezi. Maneno mengi yamesemwa juu yake lakini hakuna uthibitisho wa Mahakama juu ya tuhuma.

Maeneo ya Kariakoo hasa makutano ya Mtaa wa Livingstone na Kariakoo mambo ni moto. Ni umati wa madereva bodaboda wakiwa kwenye mapokezi ya Paul Makonda.

Mtaa wa Kariakoo upande wa Lumumba umezibwa kuruhusu umati mkubwa wa wana CCM waliojitokeza kumpokea Paul Makonda.

Paul Makonda ni muumini wa siasa za kibabe na nguvu ambazo ndio hitaji kwa sasa kwenye siasa za Tanzania kujibu hoja za upinzani.

Tumeshuhudia operation za CHADEMA wakijitamba na kujisifia lakini majibu ya CCM ni Paul Makonda.

Paul Makonda ni mtu wa propaganda.
Je Nape yupo?? au ndo anasafari za kikazi mikoani. Vipi report yake kuhusu Clouds? ataiendeleza ua vipi. Aaangalie jina lisije likakatwa 2025
 
Tangu ateuliwe Paul Christian Makonda kuwa katibu wa itikadi na uenezi wa CCM. CHADEMA kuanzia viongozi mpaka chawa wake mitandaoni mmegeuka kuwa washauri wa CCM.

Tunamuona Lissu huko Marekani kilio ni Makonda, humu JF tunawaona Pro CHADEMA woote ni kilio!

Imekuwaje leo CHADEMA imegeuke kuisaidia CCM isianguke? Iweje CHADEMA leo mnakuwa sehemu ya washauri wa CCM kuhusu namna ya kukiendesha chama chao, ilihali huku kwenu nako yamejaa makandokando lukuki?

Tukiwaambia CHADEMA ni chama la kudandia Matukio mnakuja juu! Sisi wenye weledi tunamuonea huruma Makonda sababu amelazimishwa kuja kuwatetea watesi wake!

Amelazimishwa kuja kukisaidia chama ambacho tayari kimejaa majeraha mwilini hususani mabegani huku Kanda ya Ziwa.

View attachment 2793370
Slaa alisha waambia chama kilikwisha jifia katika kujenga hoja zenye nguvu!
 
Ni usemi ule ule wa kilatini, "La cuta causa Finita" -The decision of the president is Final, don't challenge president decisions

Makonda usiyempenda ndio huyo kaja tena CCM kama Kiongozi wa Itikadi na Uenezi. Maneno mengi yamesemwa juu yake lakini hakuna uthibitisho wa Mahakama juu ya tuhuma.

Maeneo ya Kariakoo hasa makutano ya Mtaa wa Livingstone na Kariakoo mambo ni moto. Ni umati wa madereva bodaboda wakiwa kwenye mapokezi ya Paul Makonda.

Mtaa wa Kariakoo upande wa Lumumba umezibwa kuruhusu umati mkubwa wa wana CCM waliojitokeza kumpokea Paul Makonda.

Paul Makonda ni muumini wa siasa za kibabe na nguvu ambazo ndio hitaji kwa sasa kwenye siasa za Tanzania kujibu hoja za upinzani.

Tumeshuhudia operation za CHADEMA wakijitamba na kujisifia lakini majibu ya CCM ni Paul Makonda.

Paul Makonda ni mtu wa propaganda.
Wewe ni mpuuzi, hakuna mtu mwenye akili nzuri ndani ya CCM anaweza kushabikia upuuzi wa Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa!
Makonda hana hadhi, uadilifu wa uweledi wa kuwa kwenye nafasi hiyo.
Makonda ni Mla rushwa na tapeli wa kutupwa!
Kesi yake kupora ghorofa la GSM imefikia wapi!?
Samia anajenga CCM ya hovyo!!
 
Team!
Hii iko very serious na to be frank ni kwamba ili twende vizuri kisiasa lzm tuwe kundi la watu wanaojiheshimu na kuheshimu wengine.

Nasema hivi kwa kuwa wafuasi kibao wa CDM, CUF, NCCR, NLD, Umoja, ACT nk wana kautamaduni walikojenga vichwani ka kutukana, kumkashifu na kudhihaki viongozi wa CCM. Siku zote hudhani kwamba bila kutukana basi chakula hakitapita kooni.

SASA:
Atakayemtukana CDE Paul Makonda kwa namna yoyote ile atakuwa ameitukana CCM na kwa hali hiyo tutamuwajibisha nje na ndani. CDE Paul Makonda sawa na wewe anastahili kushika nafasi yoyote na sifa anazo za kutosha. CCM tumefurahi kwa kuwa ujio wake utainyima CDM usingizi.

Tusilaumiane kwa atayeshupaza shingo.

Ngaika Ndenda
Kakonko.
Mtawashughulikia au mtaomba vyombo vya Dola viwasaidie?
 
Una maana Paul Makonda mwenyewe ama unamaanisha Daud Albert Bashite. Tatizo lenu nyie watu wenye vyeti feki huwa mnaangaika sana kama vile mtetea anapotaka kutaga yai.

Mkiambiwa ukweli mnapaniki na kuhisi mnatukanwa. Ama kwa hakika upumbavu ni kipaji.
 
Team!
Hii iko very serious na to be frank ni kwamba ili twende vizuri kisiasa lzm tuwe kundi la watu wanaojiheshimu na kuheshimu wengine.

Nasema hivi kwa kuwa wafuasi kibao wa CDM, CUF, NCCR, NLD, Umoja, ACT nk wana kautamaduni walikojenga vichwani ka kutukana, kumkashifu na kudhihaki viongozi wa CCM. Siku zote hudhani kwamba bila kutukana basi chakula hakitapita kooni.

SASA:
Atakayemtukana CDE Paul Makonda kwa namna yoyote ile atakuwa ameitukana CCM na kwa hali hiyo tutamuwajibisha nje na ndani. CDE Paul Makonda sawa na wewe anastahili kushika nafasi yoyote na sifa anazo za kutosha. CCM tumefurahi kwa kuwa ujio wake utainyima CDM usingizi.

Tusilaumiane kwa atayeshupaza shingo.

Ngaika Ndenda
Kakonko.
Je, sasa na wewe na genge lako mtaheshimu Mama yetu SSH?
 
SASA:
Atakayemtukana CDE Paul Makonda kwa namna yoyote ile atakuwa ameitukana CCM na kwa hali hiyo tutamuwajibisha nje na ndani. CDE Paul Makonda sawa na wewe anastahili kushika nafasi yoyote na sifa anazo za kutosha. CCM tumefurahi kwa kuwa ujio wake utainyima CDM usingizi.

Tusilaumiane kwa atayeshupaza shingo.

Ngaika Ndenda
Kakonko.
wewe ni mwendawazimu kama wendawazimu wengine tu
 
Sijafanikiwa kufika Lumumba kutokana na kukwama kwenye foleni ya kwenda huko Hapa Magomeni

Kwahiyo nipo Hapa Sea Boys ghorofani nashiriki mapokezi kupitia Channel ten tv

Cha ajabu nasikia shangwe za Magufuli, Magufuli Ndio najiuliza anayepokelewa ni Makonda sasa Magufuli inakuwaje tena?

Dogo ametisha sana, akabidhiwe tu Chama hakuna namna 😂😂😂🔥
 
Back
Top Bottom