Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

Laiti ungejua adui mkubwa wa Makonda ni wapambe wa mama na wala sio wapinzani usingesema hayo. Kwa kuteuliwa Makonda;
Hivi Kinana ana furaha?
Hivi JK ana furaha?
Hivi Nape ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi January ana furaha?
Hivi Makamba senior ana furaha?
Hivi Philip Mpango ana furaha?
Hivi Majaliwa ana furaha?
Hivi Ridhwani ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi Abdallah Bulembo ana furaha?
Hivi Bashe ana furaha?
Hivi Sofia Mjema ana furaha?
Hivi mzee Warioba amefurahi?
Hivi Askofu Gwajima amefurahi?
nenda basi kawafurahishe basi kiburudisho chao....
 
Wewe ni mpuuzi, hakuna mtu mwenye akili nzuri ndani ya CCM anaweza kushabikia upuuzi wa Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa!
Makonda hana hadhi, uadilifu wa uweledi wa kuwa kwenye nafasi hiyo.
Makonda ni Mla rushwa na tapeli wa kutupwa!
Kesi yake kupora ghorofa la GSM imefikia wapi!?
Samia anajenga CCM ya hovyo!!
Huenda kuna mpasuko. ! Sasa ni kukomoana tu ! Au vipi ?!
Kwanza Chalamila alisemaga wapo mawaziri wanautaka Urais 2025 !
Mkuu wa zamani akasema hakuna kitu kama hicho na kwamba ahojiwe ili atoe ushahidi ! Badala yake Chalamila akaletwa Dar kutoka BKB !!
Sasa Makonda ndani ya nyumba !!
Ngoja tuone what’s cooking 🍳 !! 😅😅🙏🙏
Wanasemaga katika siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu !! 😅

Lakini mimi wamenifanya adui wa kudumu 😅😅 ! Nawashangaa 😱😱
 
Laiti ungejua adui mkubwa wa Makonda ni wapambe wa mama na wala sio wapinzani usingesema hayo. Kwa kuteuliwa Makonda;
Hivi Kinana ana furaha?
Hivi JK ana furaha?
Hivi Nape ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi January ana furaha?
Hivi Makamba senior ana furaha?
Hivi Philip Mpango ana furaha?
Hivi Majaliwa ana furaha?
Hivi Ridhwani ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi Abdallah Bulembo ana furaha?
Hivi Bashe ana furaha?
Hivi Sofia Mjema ana furaha?
Hivi mzee Warioba amefurahi?
Hivi Askofu Gwajima amefurahi?
Wote hao lao moja
 
Back
Top Bottom