Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laiti ungejua adui mkubwa wa Makonda ni wapambe wa mama na wala sio wapinzani usingesema hayo. Kwa kuteuliwa Makonda;
Hivi Kinana ana furaha?
Hivi JK ana furaha?
Hivi Nape ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi January ana furaha?
Hivi Makamba senior ana furaha?
Hivi Philip Mpango ana furaha?
Hivi Majaliwa ana furaha?
Hivi Ridhwani ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi Abdallah Bulembo ana furaha?
Hivi Bashe ana furaha?
Hivi Sofia Mjema ana furaha?
Hivi mzee Warioba amefurahi?
Hivi Askofu Gwajima amefurahi?
Kumbe nawe ni papaiWewe ni team mtoa taarifa?
Kwa mujibu wa makonda sasa hapo mkuu kosa liko wapiKumbe nawe ni papai
Sophia mjema leo body language imeonyesha hajafurahi kabisaLaiti ungejua adui mkubwa wa Makonda ni wapambe wa mama na wala sio wapinzani usingesema hayo. Kwa kuteuliwa Makonda;
Hivi Kinana ana furaha?
Hivi JK ana furaha?
Hivi Nape ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi January ana furaha?
Hivi Makamba senior ana furaha?
Hivi Philip Mpango ana furaha?
Hivi Majaliwa ana furaha?
Hivi Ridhwani ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi Abdallah Bulembo ana furaha?
Hivi Bashe ana furaha?
Hivi Sofia Mjema ana furaha?
Hivi mzee Warioba amefurahi?
Hivi Askofu Gwajima amefurahi?
Hata kama hajafurahi tangu apewe hiyo nafasi amefanya nini?Sophia mjema leo body language imeonyesha hajafurahi kabisa
Unatumai ukutane nae ili umpe kitumbua chako? Aah be ok!Mh. Makonda Katibu wa Uenezi na Itikadi wa Chama cha Mapinduzi, kiongozi mwenye nyota ya pekee inayong'ara nchini anatarajiwa kupokelewa Leo kwenye ofisi ya CCM, Lumumba, Dar Es Salaam.
Siku ya Leo tarehe 26 Oktoba 2023
Kila la kheri Mheshimiwa, kutoka kwa mwana JF Mimi. Natumaini siku moja nitakutana nawe uso kwa uso kwa mara ya kwanza.
Makonda Oyeeee
Kazi iendelee...
Inasikitisha sanaNdio Atatatua shida ya ajira kwa Wahitimu? amekuja kutatua tatizo la upungufu wa Dolla?
Post zako zimejaa ujinga mtupu
Siasa harakati ni zipi?sure upinzani umekua ukifanya siasa harakati muda mrefu softly, sasa huyo kijana ana mtindo wa siasa harakati pia intakua ni majotrooo na motrooo sana
@FaizaFoxy Stuxnet Lord denning The Boss watafurahiMagufuli amerudi ndani ya Makonda ,timu msoga na ufipa watanyooka tu
Ni drama tupu.Siasa za Tanzania acha tu.
Makonda katoka mafichoni kaibuka na msafara wa bodaboda baada ya uteuzi!
Ameanza drama zake.
Na Sabaya pia!Next anarudi Pole pole, hapo ndio upinzani unakuwa hauna chao 2025
Mataga wanaanza kupata furahaBASHILU,POLE POLE,MAKONDA,SABAYA,MNYETI, NDANI YAKE YUMO MAGUFULI.
Mkuuu kwan hao wote hapo si kamati kuuu si ndio walipitisha kuchaguliwa kwake? Nahis wote ni wahusika kma nao walileta unafiki kwenye kuchagua basi imekula kwako wamekwenda na maji ila kasema hana kisasiLaiti ungejua adui mkubwa wa Makonda ni wapambe wa mama na wala sio wapinzani usingesema hayo. Kwa kuteuliwa Makonda;
Hivi Kinana ana furaha?
Hivi JK ana furaha?
Hivi Nape ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi January ana furaha?
Hivi Makamba senior ana furaha?
Hivi Philip Mpango ana furaha?
Hivi Majaliwa ana furaha?
Hivi Ridhwani ana furaha?
Hivi Chongole ana furaha?
Hivi Abdallah Bulembo ana furaha?
Hivi Bashe ana furaha?
Hivi Sofia Mjema ana furaha?
Hivi mzee Warioba amefurahi?
Hivi Askofu Gwajima amefurahi?
TULIA UBWEDEHuyo nyamitako tunamuona boya tu.Nilidhani kipaumbele ni kuondoa kero kwa watanzania kama vile mgao wa umeme nk. lakini kama ni kuonyesha ubabe kwa Chadema basi ajihesabu ameshashindwa kabla ya kuanza. Kama alishindwa Magu aliyekuwa CIC atakuwa huyo MC wa chama chakavu.
Point mkuuuWatu wanakuza sana mambo. Makonda alikuwa mbabe sana kwa sababu ya aina ya uongozi wa juu uliokuwepo kipindi kile. Alipata "back up" isiyo ya kawaida kutoka kwa aliyekuwa anamkingia kifua. Tusitake kujisahaulisha kuwa hata huyo aliyekuwa anampa "back up " alifika mahali akamtosa Makonda akabaki peke yake kwani hata marafiki zake wa karibu wengine walimkana hadharani wengine walimkimbia na kumkashifu.
Kwa sasa huyo Makonda hawezi kurudia tena ule ubabe wake wa hovyo kwani amejifunza mengi sana kupitia yeye mwenyewe na rafiki yake Sabaya. Kwani sasa anajua kuwa atakayekutuma leo ukafanye mambo ya hovyo kesho akiwa hayupo wanachi watakusulubu. Fikiria tu mfanyabiashara kama GSM alianza kudai nyumba yake hadharani vipi wale waliodai mali zao gizani? Kwa hakika hawezi kurudia makosa ya ovyo aliyofanya japo yale aliyotenda nyuma hayafutiki. Na yeye mwenyewe anajua wazi jinai haifutiki
Mimi nafikiri suala kubwa la kujadili kuhusu Makonda sio ubabe wake kwani kwa mfumo na aina ya uongozi ulipo sasa haumpi nafasi ya kufanya aliyoyafanya wakati zile. Kwa sasa suala la kubwa la kujiuliza ni je uteuzi wa Makonda ni asset au liability kwa CCM? Je Makonda kashaondolewa kashfa yake na wamarekani?
Ni mtizamo tu.