Huyo lugola kwa jinsi alivyokuwa anawanyanyasa Polisi Haki ya Mungu hata akiwa barabarani na gari lake watamuuliza helmet iko wapi na kama hana na lockup watamuweka,cheo dhamana ya muda tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi atayakatia vilabuni akipiga wanzuki kwaowalionyuma ya MEKO wote ndio style ya huyu mlugaluga mkata mauno hovyo
Na mipua yake ile kaa kenge.Kigwangala pressure imempanda huko alipo hana hamu na ile vita yake uchwara anayopambana
Leo amejua kwamba matumizi bila kupitishwa na Bunge ni makosa.
Miradi yake ya Chato na ununuzi wa midege ilipitishwa na Bunge la Rwanda?
Tatizo lako ni kwamba huwa hujikombi kombi kwa mode...Niliandika uzi humu miezi michache iliyopita kutabiri kutumbuliwa huyu Lugola moderator 1 akaufuta sijui ana undugu na Lugola.
Humu kuna watu mnawapendelea hata wakiandika nini hamfuti
Tukanyage kwa adabu ardhi ya Muumba.Cheo ni dhamana. Karibu mtaani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina familia hivyo siwezi kujichekesha kwa kijana mwenzangu ambaye hanipi ulajiTatizo lako ni kwamba huwa hujikombi kombi kwa mode...
Wengine wanaotafuta umaarufu humu
kila mda ni kuomba omba kwa modez!
Sent using Jamii Forums mobile app
hata yeye mfukuzaji nae vilevile ni shida na kunauwekezano oopss!! uwekezano...aghh!! UWEZEKANO mkubwa wa kutimuliwa asigombee muhula ujao. wekeni kumbukumbu zenu juu ya hili.Hii inaweza kuwa indicator mbaya kwake kwenye uteuzi wa chama chake kwenye uchaguzi ujao hii kashfa inaweza kuwa sababu ya kuonekana hafai kupitishwa na chama kuwa mgombeaji wake kwenye jimbo lake
Ni vyema akajiandaa kisaikolojia na kuangalia kazi nyingine ya kufanya kwa malipo atakayopata
Wilfred lwakatare.Haya jamani,nani unaona atafaa kuwa waziri wa mambo ya ndani?
Simbachawene yuko kwenye power mkuu anashugulikia muungano
masauni uyo uyo ndio anaewaunguza wenzie.Hivi kwanini MASAUNI haaminiwi kupewa hiyo wizara kama waziri kamili ?
Kama hatoshi ni kwanini haondolewi kwenye unaibu maana huyu ni bosi wake wa tatu au wa nne kuondolewa lakini yeye yupo tu.
Kwenye masakata yote hayo yeye hajawahi kuhusika tu ?
Kama hajawahi kuhusika hicho sio kigezo cha kupewa uwaziri kamili ?
Nawaza tu.
Nitamsifu sana akiendelea kuvaa zile nguo zake zenye bendera ya Taifa na pia awe na kile kitabu pendwa alichukuwanacho muda wote.
Apande Ilani Impeke kwakeJamani Lugola anatakiwa kuondoka na gari gani baada ya tukio kama itifaki inazingatiwa?