Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Niliandika uzi humu miezi michache iliyopita kutabiri kutumbuliwa huyu Lugola moderator 1 akaufuta sijui ana undugu na Lugola.
Humu kuna watu mnawapendelea hata wakiandika nini hamfuti
Tatizo lako ni kwamba huwa hujikombi kombi kwa mode...
Wengine wanaotafuta umaarufu humu
kila mda ni kuomba omba kwa modez!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama we kiongozi siku ukisikia Magu anazindua kitu kinachousika na wizara/idara yako; usiku wake kabla inabidi uongee sana na mungu wako maana lolote linaweza tokea.
 
Lugola pamoja na kuvaa masuti yenye mibendera mifukon na kutembea na ilani ya chama chao ila kafukuzwa hadharani....next stop utalii na maliasili.
 
Hii inaweza kuwa indicator mbaya kwake kwenye uteuzi wa chama chake kwenye uchaguzi ujao hii kashfa inaweza kuwa sababu ya kuonekana hafai kupitishwa na chama kuwa mgombeaji wake kwenye jimbo lake

Ni vyema akajiandaa kisaikolojia na kuangalia kazi nyingine ya kufanya kwa malipo atakayopata
hata yeye mfukuzaji nae vilevile ni shida na kunauwekezano oopss!! uwekezano...aghh!! UWEZEKANO mkubwa wa kutimuliwa asigombee muhula ujao. wekeni kumbukumbu zenu juu ya hili.
AMEVURUNDA KIASI KIKUBWA HAIJAPATA KUONEKANA NNJIHIII.
 
Mpika majungu wa CCM leo kuni zimegoma kuwaka..chali

Njoo mzee tuvae kininja mtaani..
 
Hivi kwanini MASAUNI haaminiwi kupewa hiyo wizara kama waziri kamili ?
Kama hatoshi ni kwanini haondolewi kwenye unaibu maana huyu ni bosi wake wa tatu au wa nne kuondolewa lakini yeye yupo tu.
Kwenye masakata yote hayo yeye hajawahi kuhusika tu ?
Kama hajawahi kuhusika hicho sio kigezo cha kupewa uwaziri kamili ?
Nawaza tu.
masauni uyo uyo ndio anaewaunguza wenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom