Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

nimecheka sana. 😀 😀 😀 😀 😀 😀 watu wanataka kutusaulisha tu!
 
Waathirika wa hilo zuio ni wachache sana; tupambanie Taifa letu mazao yavunwe kwa wingi, ajira ziongezeke, magonjwa yakae mbali nasi; anayeumuzwa na kusudio la Wamarekani ni yule asiyedhamini chake.

Endapa Wamarekani watakatazwa kuja Tanzania, hapo kuna kila sababu ya kujifikirisha maana utalii na sekta nyingine zitaathirika.
 
ingekuwa enzi za jk ungepigwa mgawo wa harakaharaka, kesho msingesikia dreamliner inakodishwa kwenda Mauritius au Seychelles. watu wanaenda kufungua akaunti
 
Ni vyema tuendelee kutafakali [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
 
Watu wanaishi kwa matukio hapa tena mengine ya kutengenezewa wanarushiwa wahangaike nayo. Hawana huo uwezo kuacha kurukia tukio jipya kama nyani na matawi ya mti.
 
Kujifanya kujua sana matokeo yake unaandika upuuzi. Subiri kwanza tamko litoke rasmi ndio uje hapa uandike hivyo. Sasa USA wamesema huenda wakajumlisha nchi zingene 6 wewe ushaanza kuwashwa washwa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa ni kweli hayo yaweza kuwa manyunyu mvua bado, ni wazo language tu maana na kwingineko Duniani walianza hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu utani sasa, mtu hata hajijui
Akusikie! Atakuporomoshea matusi kama maji ya mafuriko ya Jangwani! Maana CCM nzima tunamtegemea Kibajaji kwa matusi kutukana Vyama vya upinzani.
 
Kangi Lugola amefuata njia ile ile aliyopitia Mwigulu Nchemba kwa kujibandika bendera ya taifa kwenye mashati yao.

Uzalendo kwanza ni sawa lakini hata bendera zenyewe wekeni kwa kiasi basi lakini wapi unaona mtu kajibandika bendera kubwa kama mlingoti ni yeye. Hebu punguzeni munkari ndugu zangu kwani kuchamba kwingi ...

Hongera sana Mhe Rais kwa kazi nzuri.
 

Mkuu hauko peke yako katika kuhuzunika. Na Kangi Lugora, polisi mchukua rushwa hakuwa na amani. Dhamana ilikuwa 24x7. Matochi barabarani yalipata hekima. Hata yule wa kipigo cha mbwa koko alipata brake kidogo.

Bila Kangi Lugora wizara hii yaweza kuwa njiani kurejea tulikokuwa tumetoka.
 
Hizo fedha za nini?. Mbona wasitupe hadithi nzima kuhusu hizo hela?.
 
Sasa Jiwe anahamaki nini watu kusaini mikataba ambayo haijapitishwa na bunge, wakati mchezo huo hao wa chini yake wanamgeza yeye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…