Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

Mtu wa system huyo na yeye ni kirusi hapo wizarani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NJOLO,
Mwalimu Nyerere alibeba watu wake sana, kama ulikuwa wake alikuruka na kutumbua wengine, ila Magufuli ni noma aisee, Duh!
 


Kwa hiyo kwa kuwa ulisoma naye wewe ndo ulitaka tumruhusu afanye anavyotaka?
 
Mmesoma naye wapi mzee?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cheo ni dhamana jamani tusipenda kuwadharau wale wa chini yako,Ardhi tunayoikanyaga ina siri nyingi sana
 
Najiuliza hawa walipata wapi Go Ahead ya kusaini hivyo walivyovisaini naangalia hivi nasema iiiiiiiiiih wacha tuendelee kuangalia msimu wa filamu pendwa.
 
Meja General amepewa heshima kwa kutosemwa hadharani ametumbuliwa ila 'ameandika barua ya kujiuzulu' ila yule wa kule zimamoto sasa chap chap mchezo umeisha.

Kweli JW wanaheshimika.

dodge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…