TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

Unaiba kura na kupoteza utu ili kufanikisha "mitano tena", kisha unakufa! Uliowaibia kura na kuwadharau sasa ndio waende kukuzika?!. Ngoja niende shambani mie.
 
Tangu vyeti feki kwa watumishi wa umma viwapitie hata madereva waliokuwa wakongwe kwenye kazi na sasa kuajiriwa wanyoa viduku ajali zimekuwa haziishi kwa magari ya umma.

RIP......
 
Ila akifa mtu wa chadema ni tatizo?

Hakukuwa na uchaguzi? Kwa mujibu wa hisia zako labda
 
Mbona hamsemi chanzo cha ajaii ni mwrndo kasi wa gari ya katibu tawala?
Maana ingekuwa ni uzembe wa dereva wa bus siku nyingi ingesha semwa.
 
Viongozi wengi wa serikalini mara nyingi hawafuati sheria za barabarani. Sijui wapo juu ya sheria? Pia magari yao yanaendeshwa kwa kasi sana. Wana overtake hata zile sehemu zisizo ruhusu overtake. Mwenyezi Mungu awanusuru majeruhi na awajalie pumziko la amani wale waliopoteza maisha kwasababu ya kutofuata sheria kwa magari ya viongozi wetu.
#Maendeleo hayana Chama#
 
Pole wafiwa, sasa baada ya Mengi kuongelewa tungependa kujua, shida ilikuwa ni Bus au Gari la STL au yote mawili, ili iwe fundisho kwa sisi Sote
 
dah impact inaonekana ni kubwa.. gari halifai.. R.I.P kwake
Jamani kifo ni kifo lakini Hawa madereva wa magari ya serikali inawezekana wanazo sheria zao za traffic kwani zilizopo wengi wao hawazizingatii...inawezekana huyu wa Arusha siyo kosa la dereva lakini madereva wengi wa magari ya serikali wanaendesha spidi wanaovertake Kila mahali mlimani, kwenye daraja mteremkoni na kadhalika...juzi juzi dereva mwenye gari namba SM 1248..(namba ya mwisho naweka mfukoni) nusura atusababashie ajali mbaya Dar es Salaam...anaovertake kwenye kilima...magari yako foleni yeye anaona hastahili kusimama kwenye foleni anaovertake na mbele linakuja gari...Hawa madereva wa serikali wengi wengi wao Kama siyo baadhi yao ni ovyo kabisa...
 
Nilimuona huyo fala alitanua kituo cha daladala, pumbavu sana
 
Hawa wanawenda speed hadi 180 sababu hakuna Trafic anawakamata kama sisi wenye IST - Hizi barabara za Tanzania ukishafika speed 130km/h unaanza kumbeep islael mtoa roho

RIP Afisa Tawala - Dunia ni mapito !! Cha msingi siti tunaobaki ni kutenda wema hapa duniani ili tukipumzika basi tupumzike kwa amani
 
Alikua na v8 akitokea Arusha kuelekea Dodoma.Walipofika mdori mkoa wa Manyara wakagongana na Bus.Ndani walikuwemo na wanawake 3 ambao ni majeruhi pamoja na dereva.Pole zao wafiwa.
... sijui kwanini taarifa ya wizara imeficha hiyo? Kuna kitu hakiko sawa.
 
Nakumbuka uchaguzi wa 2020 basi naendelea kunywa chai yenye mchai chai tuu. Mshahara wa dhambi ni mauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…