Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwarabu huko kanda ya ziwa. Kaandika miradi yake "FIMBO YA MNYONGE" .Story ya Lwanda Magere nimeikumbuka, ajali hii inafanana na alizokuwa anasababisha
Ila akifa mtu wa chadema ni tatizo?Nimeka wazi kabisa na wala usitake kubadili nilichosema, nimesema hata akifa mtu wa ccm sio tatizo, maana ccm imeua watu ili ikae madarakani kwa shuruti. Lisu hakushindwa uchaguzi maana hakukuwa na uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Mbona hamsemi chanzo cha ajaii ni mwrndo kasi wa gari ya katibu tawala?Salaam Wakuu,
Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
View attachment 1693548
Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake iligongana na Basi la Makala uso kwa uso, basi lilikuwa linalotoka Babati.
Baada ya ajali akakimbizwa kituo cha afya cha Magugu ili baadaye apelekwe Babati kwa matibabu zaidi.
Ilipofika saa tisa na dakika 50 akafariki Dunia. Mipango inafanyika ya kuurudisha mwili Arusha.
Apumzike kwa amani
View attachment 1693569
View attachment 1693583View attachment 1693584View attachment 1693585
Pole wafiwa, sasa baada ya Mengi kuongelewa tungependa kujua, shida ilikuwa ni Bus au Gari la STL au yote mawili, ili iwe fundisho kwa sisi SoteSalaam Wakuu,
Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
View attachment 1693548
Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake iligongana na Basi la Makala uso kwa uso, basi lilikuwa linalotoka Babati.
Baada ya ajali akakimbizwa kituo cha afya cha Magugu ili baadaye apelekwe Babati kwa matibabu zaidi.
Ilipofika saa tisa na dakika 50 akafariki Dunia. Mipango inafanyika ya kuurudisha mwili Arusha.
Apumzike kwa amani
View attachment 1693569
View attachment 1693583View attachment 1693584View attachment 1693585
Jamani kifo ni kifo lakini Hawa madereva wa magari ya serikali inawezekana wanazo sheria zao za traffic kwani zilizopo wengi wao hawazizingatii...inawezekana huyu wa Arusha siyo kosa la dereva lakini madereva wengi wa magari ya serikali wanaendesha spidi wanaovertake Kila mahali mlimani, kwenye daraja mteremkoni na kadhalika...juzi juzi dereva mwenye gari namba SM 1248..(namba ya mwisho naweka mfukoni) nusura atusababashie ajali mbaya Dar es Salaam...anaovertake kwenye kilima...magari yako foleni yeye anaona hastahili kusimama kwenye foleni anaovertake na mbele linakuja gari...Hawa madereva wa serikali wengi wengi wao Kama siyo baadhi yao ni ovyo kabisa...dah impact inaonekana ni kubwa.. gari halifai.. R.I.P kwake
Hata ingekuwa wewe ungejiua mkuu?Halafu inaelekea madereva walijihami mbona zote zimepiga upande wa kushoto
Aliyenyanganywa gari kafanya yake, chezea gam...booooooooVyote viwili, gari si ilikuwa ya Mh. Mbunge anayefanyiwa visa huko jimboni.
Nilimuona huyo fala alitanua kituo cha daladala, pumbavu sanaapumzike anapostahili Ila hawa watu wenye magari ya serikali wanayaendesha vibaya Sana maybe kwa sababu hayasimamishwi na traffic Leo jioni nimekutana na lingine linapita service road maeneo ya Boko kidogo limgonge mwanafunzi na Wala dereva hakujali kusimama aone Kuna madhara amesababisha au laa sio sawa kabisa.
Dereva hapo kapona maana sio mlengwa.Mbona sioni taarifa za dereva?? Au yeye kapona
Wakilijua hili tumeisha ✔️😂 mtaomba bora traffic wangeendelea kusimama road!
.... vijna wa kitaa wanakwambia "kampelekea". Hatari sana.Dereva kwakwepa upande wake na kulengesha upande wa boss
... sijui kwanini taarifa ya wizara imeficha hiyo? Kuna kitu hakiko sawa.Alikua na v8 akitokea Arusha kuelekea Dodoma.Walipofika mdori mkoa wa Manyara wakagongana na Bus.Ndani walikuwemo na wanawake 3 ambao ni majeruhi pamoja na dereva.Pole zao wafiwa.