TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

Wakilijua hili tumeisha βœ”οΈπŸ˜‚ mtaomba bora traffic wangeendelea kusimama road!

Na hata hivyo speeds kwa hawa jamaa wa serikali hawatozingatia vile vile. Wao gari zao si zinaweza kuwa excluded kwenye system ya camera tu.
To and Fro
.... vijna wa kitaa wanakwambia "kampelekea". Hatari sana.
hawa jamaa huwa wanaambiwa kabisa wakae siti ya nyuma upande wa dereva lakini hawasikiagi maagizo ya itifaki !! Hata mimi nikiwa dereva ngoma hili linakuja uso wa uso aisee lazima nichomoe betry - nailazia kwa boss weeee !!!
 
Siti ya mbili Ni siti ya mabosi na viongozi , Hii ni kwa wafanyakazi wote . Ukikaa nyuma unaonekana kuruta tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matumizi ya seat kwa viongozi hutofautiana kutokana na hadhi ya kiongozi huyo - Rais, Makamu, Waziri Mkuu, Jaji Mkuu bila shaka hata Spika hukaa seat za kati na mlinzi huanza mbele (for security reasons)
 
Unaweza ukafafanua kidogo hapo mkuu

V8 ni gari nzito ina body ngumu ukilinganisha na gari nyingine ndogo.

Kwa ajali ambazo nimewahi kusikia na kuzishuhudia, watu hupata majeraha ila siyo kifo.

Pia angalia ajali ya gari mfano Passo vs Nissan Extrail vs Prado nk.
 
kuna sheria na vifungu vinawabana. ila havifuatwi.
unakuta kiongozi anamwambia wahi mkoa fulani kuna kikao cha haraka. ndio hiyo kimbiza kimbiza. kiongozi haogopi hata mwendo. wengine huwa wanawaambia madereva wao wapunguze mwendo.
 
V8 ni gari nzito ina body ngumu ukilinganisha na gari nyingine ndogo.

Kwa ajali ambazo nimewahi kusikia na kuzishuhudia, watu hupata majeraha ila siyo kifo.

Pia angalia ajali ya gari mfano Passo vs Nissan Extrail vs Prado nk.
basi kwa impact hii. speed inaonekana ilikuwa kubwa. V8 mpaka ivurugike hivyo means impack force ilikuwa kubwa na gari waliligongana nalo litakuwa ni zito zaidi ya V8
 
Wezi wa Kura Kumbe Mnakufa, poleni sana
 
Mwendo kasi unaua sheria za barabarani zifuatwe bila shuruti kwa kila mtumiaji.
Asante
 
basi kwa impact hii. speed inaonekana ilikuwa kubwa. V8 mpaka ivurugike hivyo means impack force ilikuwa kubwa na gari waliligongana nalo litakuwa ni zito zaidi ya V8

Halafu gari kama V8, Prado, Nissan Extrail, Safari, Patroo nk zina mbio na tulivu sana barabarani.

Sasa ukute umefunga vioo tena, hapo unaweza ukawa mwendo wa hatari na usijue.

Cha msingi dereva anatakiwa awe makini na kufuata kanuni za usalama.
 
Maisha yana maana sana. Muhimu ni kutambua kwamba duniani tupo kwa muda mfupi, baada ya muda tutaondoka kwenda kwenye makazi ya milele.

Utaondoka kwa ajali, ukimwi au hata korona haijalishi.
Hivi kuna makazi ya milele? Ukifa uzaliwi tena?
 
Mmh hii ajali ni kama ilimtaka yeye tuu
 
To and Fro
hawa jamaa huwa wanaambiwa kabisa wakae siti ya nyuma upande wa dereva lakini hawasikiagi maagizo ya itifaki !! Hata mimi nikiwa dereva ngoma hili linakuja uso wa uso aisee lazima nichomoe betry - nailazia kwa boss weeee !!!
Sasa wanaopewa lift wabanane na boss nyuma
 
Na bado huo ujinga wa maonyesho umekukaa kichwani,achana na stori za 28 october.
Fanya mambo mengine unayoona sio ujinga wa maonyesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…