TANZIA Katibu Tawala mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Tixon Nzunda afariki kwa ajali ya gari

Escort ya polisi imemponza dereva wa RAS,
 

Attachments

  • IMG-20240618-WA0039.jpg
    54.8 KB · Views: 4
Huko serikalini ajali nyingi sana.

Ni kulogana au uzembe wa madereva??

Pole kwa wafiwa.
Juzi asubuhi nilishuhudia msafara wa kiongozi ambaye sikuweza kujua ni nani,
Speed ya magari kwenye msafara huo ilinifanya nijiulize kama hao walioko ndani ya hayo magari wataendelea kupumua baada ya kilomita 20 mbele,
Cha kushangaza sikusikia taarifa zozote za ajali siku hiyo, ile misafara ya viongozi ni hatari kwao na kwetu.
 
Haya madereva yanayopenda kuovateki magari bila kutumia akili ya vipimo ni bure kabisa !

Yatamaliza wengi !
 
Wanaofariki kwa siku kwa namna yoyote ile ni wengi sana.
Who is nzunda
 
Hao wanaokubali kuendeshwa kwa spidi kali huwa nashindwa kuwaelewa ni nini hasa huwa wanakiamini katika usalama wao wanapo kuwa kwenye gari zao ??

Huwa wanaamini breki za gari au Akili za dereva ??
Maana vyote hivyo vinaweza vikafeli wakati wowote ule 🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…